Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima (CCM) amekwepa kujibu swali la Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atachaja au hachanji chajo ya Corona...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo kwa simu na Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021KESI ya ugaidi, inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, imepangwa kusikiliza Ijumaa wiki hii. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 1, 2021SERIKALI imesema tangu tozo za miamala ya simu ianze kukusanywa tayari zimepatikana Sh. 63 bilioni hadi kufiki tarehe 30 Agosti, mwaka huu....
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amewataka wamiliki nyumbaamewataka wasihamishie mzigo wa kodi ya majengo kwa wapangaji na badala yake...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 1, 2021MBUNGE wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, ameshangazwa na kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutomchukulia hatua Mbunge wake wa Kawe, Askofu Josephat...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021SERIKALI ya Tanzania, imelipa madai ya mishahara kiasi cha Sh. 2.6 bilioni, kwa watumishi 1,643, walioondolewa katika orodha ya malipo ya mishahara...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe amekiomba Kituo cha sheria na Haki za binadamu (LHRC) kusaidia kupata mkaguzi wa...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021MAWAKILI wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika kesi ya kula njama za kufanya ugaidi, wameweka pingamizi kwa Mahakama Kuu...
By Regina MkondeAugust 31, 2021SAA chache baada ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili wabunge wa...
By Gabriel MushiAugust 31, 2021WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga), wamepewa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili mfululizo ya...
By Masalu ErastoAugust 31, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, leo tarehe 31 Agosti, 2021, imemtia hatiani Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima (CCM)...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili...
By Regina MkondeAugust 31, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania ameanza mchakato wa kutumia maabara katika kufanya kaguzi mbalimbali za maendeleo...
By Jonas MushiAugust 31, 2021HATIMA ya gharama za tozo ya miamala ya simu kupungua au kubaki kama zilivyo itafahamika leo Jumanne tarehe 31 Agosti 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2021 amefungua majengo ya Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida na Ofisi za Mkuu...
By Masalu ErastoAugust 30, 2021SERIKALI imetoa kiasi cha Sh. bilioni 1.3 kukamilisha mradi wa maji kwa wakazi wa Njendengwa, Ihumwa, Nzuguni, Nyumba miatatu, Iyumbu, soko kuu...
By Danson KaijageAugust 30, 2021WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameangua kilio wakati mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, akirudishwa rumande katika gereza la Ukonga, anakoshikiliwa...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka mapingamizi manne katika kesi ya kikatiba, iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akipinga utaratibu uliotumika kumkamata...
By Regina MkondeAugust 30, 2021VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, vimevutana katika kushiriki chaguzi ndogo za ubunge zinazotarajiwa kufanyika tarehe 9 Oktoba 2021, katika majimbo...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021VYAMA vya Upinzani nchini Tanzania, vimelaani kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo, IGP Simon Sirro, dhidi ya familia ya Hamza...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021ALIYEKUWA mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo), Mkoa wa Pwani, Mhandisi Mohamed Mtambo, amerejea jimboni kuwashukuru wananchi kwa ushirikiano waliompa wakati wa kampeni za...
By Kelvin MwaipunguAugust 30, 2021ASASI za kiraia nchini Tanzania, zimeifikisha katika Mahakama ya Afrika Mashariki serikali ya nchi hiyo kwa kukiuka amri halali ya Mahakama. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 28, 2021MWENYEKITI wa chama cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kuwa...
By Masalu ErastoAugust 28, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, jumla ya wananchi wake 300,000 wamepata chanjo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Patricia...
By Masalu ErastoAugust 28, 2021JESHI la Polisi Ilala, Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limezuia kikao cha kamati kuu ya chama cha siasa cha...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi wa marudio wa ubunge katika majimbo ya Konde mkoa wa Kaskazini Pemba na Ushetu...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021MBUNGE wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ametaja sababu tatu, ikiwemo kwenda kwenye mazishi jijini Arusha na kutokuwa sawa kiafya, zilizomfanya jana Alhamisi,...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakazi wanaoishi katika makazi ya wakimbizi ya Mishamo Wilayani Tanganyika kuimarisha ulinzi na usalama katika...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeomba kibali kutoka kwa Spika Job Ndugai, cha kumkamata Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo, lifanye uchunguzi wa kina kuhusu tukio la mauaji ya watu...
By Regina MkondeAugust 25, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Josephat Gwajima, ameendeleza mgomo wake wa kutotumia viti alivyopangiwa kutumia, wakati akihojiwa na Kamati...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi kuacha kutumia nguvu kubwa katika utekelezaji wa majukumu yake ili kuondoka na aibu...
By Gabriel MushiAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi, lishirikiane na raia katika kuwabaini watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo kurekebisha sheria ya kuweka mtu mahabusu pamoja na kufuta kesi ambazo...
By Gabriel MushiAugust 25, 2021MUUNDO wa sasa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uko mbioni kufanyiwa marekebisho makubwa ya kisheria, baada ya kuibuka malalamiko kutoka...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo, ameziomba mamlaka nchini Tanzania zitende haki katika kesi ya uhujumu...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imepanga tarehe 1 Oktoba 2021, kutoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, Na. 105/2021, inayomkabili...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MBUNGE wa Kawe,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amegoma kutumia kiti na kipaza sauti, vilivyopangwa kwa ajili ya kutumia akihojiwa...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021ASKOFU Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe na Jerry Silaa wa Jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam kupitia...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ameanza kuhojiwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge,...
By Regina MkondeAugust 23, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuondoka nchini kesho tarehe 24 Agosti, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mabadiliko madogo ya wakurugenzi wa chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeAugust 23, 2021WASHITAKIWA watatu wenzake na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...
By Masalu ErastoAugust 23, 2021UPANDE wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha...
By Regina MkondeAugust 23, 2021JESHI la Polisi limeimarisha ulinzi ndani na nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya kiongozi...
By Masalu ErastoAugust 23, 2021UPANDE wa mashtaka katika kesi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu...
By Regina MkondeAugust 23, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo baada ya meya wake wa Manispaa ya Shinyanga, David Nkulila kufariki dunia. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima amesema kesho tarehe 23 Agosti anakwenda kupasua ukweli mbele ya kamati ya haki,...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021