Sunday , 28 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Samia aendelea kupanga safu ya uongozi CCM

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameendelea kupanga safu ya uongozi wa chama hicho, tangu alipokabidhiwa wadhifa huo, mwishoni...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua makatibu wakuu wannne

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua makatibu wakuu wanne, wa wizara na taasisi mbalimbali visiwani humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati Kuu CCM yaagiza watovu wa nidhamu washughulikiwe

  KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza makada wake wanaokiuka mienendo na maadili ya chama hicho, wachukuliwe hatua za kinidhamu. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Mbowe latua Marekani, Tume ya AU yatoa tamko

  BARAZA la Wanawake la Chadema (Bawacha), limeiandikia barua Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, likiitaka uingilie kati tukio la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awaita wadau katika mapambano ukatili wa kijinsia

  RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameziomba Asasi za Kiraia  na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), ziunge mkono...

Habari za Siasa

Mashtaka ya Mbowe yawaibua CUF, wamwangukia Rais Samia

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aingilie kati sakata la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, anayekabiliwa...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia afungua dimba chanjo ya Korona

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua zoezi la utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), kwa kuchanjwa aina ya Johnson &...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia awapa ujumbe wapinga chanjo ya Korona

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaopinga chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), wakajifunze katika mikoa iliyoathirika na janga hilo....

Habari za Siasa

Dk. Hoseah: Tuna vyama vingi, tuwe na uvumilivu

  RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, ameshauri wanasiasa kuvumiliana pindi wanapokinzana katika hoja na sera, kwa kuwa...

Habari za Siasa

Samia kukata mzizi wa fitna tozo miamala ya simu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema majibu ya kilio cha wananchi juu ya tozo ya miamala ya simu, yatapatikana tarehe 29...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Mabalozi msikae kimya Tanzania ikichafuliwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka mabalozi wasikae kimya taswira ya Tanzania inapochafuliwa kimataifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Rais...

Habari za Siasa

UVCCM wataka Askofu Gwajima asurubiwe

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umekitaka chama hicho kimuadhibu Mbunge wake wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kufuatia hatua yake...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Mwamakula aitisha maombi kumuombea Mbowe

  MKUU wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Askofu Emmaus Mwamakula, ameitisha maombi maalumu ya siku saba, kwa ajili...

AfyaHabari za Siasa

Waziri Mkuu Tanzania atoa msimamo chanjo ya corona

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa COVID-19, hivyo amewataka Watanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe adaiwa kufikishwa mahakamani kimyakimya, asomewa shitaka la ugaidi

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na...

Habari za Siasa

Makamba ampinga Askofu Gwajima “ni hatari kupotosha watu”

  MBUNGE wa Bumbuli mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema, kauli aliyoitoa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,...

Habari za Siasa

Dk. Mollel: Wananchi hawataki katiba mpya, wanataka maendeleo

  NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amedai kwamba wananchi hawataki katiba mpya, bali wanataka maendeleo na huduma bora za kijamii. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe apata ugonjwa akiwa rumande

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe, anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...

Habari za Siasa

Dk. Hoseah  ajitosa sakata la Mbowe kukamatwa, TLS kutoa msimamo

  RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, ameiomba Serikali imfikishe mahakamani au imuache huru, Mwenyekiti wa Chama cha...

Habari za Siasa

Dk. Mpango amng’oa mkurugenzi Nanyumbu kwa tuhuma za ubadhirifu

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Hamis Dambaya, kupisha...

Habari za Siasa

Silinde apigwa butwaa, maabara kutokamilika miaka 10

  NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-Tamisemi, David Silinde ameshangazwa na kutofautiana kwa taarifa ya ujenzi wa maabara ambayo imechukua takribani miaka kumi pasina...

Habari za Siasa

Waziri Ummy alipia mashabiki 1000 Coastal, wachezaji awaahidi…

  WAZIRI Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu amewaahidi Sh.5 milioni, wachezaji wa Coastal Union endapo watafanikiwa kubaki Ligi Kuu Tanzania bara huku akilipia...

Habari za Siasa

Majaliwa awatangazia neema watumishi umma

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha maslahi ya...

Habari za Siasa

Kukamatwa Mbowe: Prof. Lipumba “Rais Samia hatokwepa lawama”

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kumrudisha Lissu Tanzania

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema, anashauriana na viongozi wa chama hicho, namna ya...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ataka zigo la kodi lihamishwe kwa wabunge

  Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Slaa, ameshauri wabunge wakatwe kodi katika mishahara yao, ili wachangie maendeleo ya nchi, kama wananchi wanavyochangia kupitia...

Habari za Siasa

Majaliwa azungumzia tatizo la maji Tanzania

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa huduma ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rufaa za kina Mdee hatihati kusikilizwa Chadema

  HATIMA ya kufanyika au kutofanyika kwa kikoa cha Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), utajulikana kesho Jumamosi, tarehe 24...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu azungumzia kukamatwa, tuhuma za Mbowe

  MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanania cha Chadema, Tundu Lissu amesema, tukio la kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama hicho, Freeman...

Habari za SiasaTangulizi

Marekani yajitosa sakata la Mbowe, Tanzania yajibu

  KAMATI Ndogo ya Mambo ya Nje ya Afrika ya Baraza la Wawakilishi nchini Marekani, imeiomba Serikali ya Tanzania, imuache huru Kiongozi wa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo, NCCR-Mageuzi walaani kushikiliwa Mbowe na wenzake, wasema…

  VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vya NCCR-Mageuzi na ACT-Wazalendo, vimeiomba Serikali nchini humo kukaa pamoja na vyama vya siasa, kwa...

Habari za Siasa

Waziri Mwigulu ajipendelea kodi kwenye ‘kampuni yake’

  WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, amegundulika kuwa na mgongano wa kimaslahi, kufuatia taarifa kuwa mke wake...

Habari za SiasaTangulizi

Mtoto wa Mbowe amlilia baba yake, amtaja Rais Samia

  DUDLEY, mtoto wa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe ameshangazwa na tuhuma zinazomkabili baba yake. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi Tanzania: Mbowe anatuhumiwa kupanga njama za ugaidi, kuua viongozi wa serikali

  JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema, linamshikiliwa kiongozi wa chama cha kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman Mbowe kwa tuhuma...

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na Tony Blair Ikulu, waahidi…

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza, Tony Blair, Ikulu Jijini Dar es Salaam....

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo: Mghwira ameacha historia

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemlilia aliyekuwa mwenyekiti wake wa kwanza, Anna Mghwira, kikisema kwamba kifo chake kimeacha pigo katika medani za kisiasa nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Kongamano kudai katiba lamponza Mbowe, Polisi wafukua makosa yake

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, aliyekamatwa jijini Mwanza alfajiri ya jana, anahojiwa na Jeshi la Polisi Kanda...

Habari za SiasaTangulizi

Anna Mghwira afariki dunia

  ANNA Elisha Mghwira, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia leo Alhamisi, tarehe 22 Julai 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha …...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kukutana kwa dharura kumtafuta Mbowe, yamwomba Rais Samia…

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu, kwa ajili ya kumtafuta mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, ambaye...

Habari za SiasaTangulizi

Kongamano la Chadema kudai katiba  laota mbawa, Polisi wazingira ukumbi

  JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limezingira Ukumbi wa Tourist Hotel, ambao Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), kilipanga kufanya kongamano lake...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wakamatwa Mwanza

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe na wenzake zaidi ya 10, wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa...

Habari za SiasaTangulizi

Kongamano la Chadema kudai katiba mpya njia panda

  KONGAMANO la kudai katiba mpya, lililoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), liko njia panda baada ya Mkuu wa Mkoa wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake wanaswa mtegoni

  MIKAKATI mipya ya Halima Mdee na wenzake 18, kutaka kuendelea kuwa bungeni kinyume cha sheria na kukivuruga Chama cha Demokrasia na Maendekeo...

Habari za Siasa

CCM yajitosa tozo za miamala ya simu, yampongeza Rais Samia

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejitokeza kumpongeza Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, kwa kusikia malalamiko ya wananchi...

Habari za Siasa

Siku 12 chungu kwa Halima Mdee, wenzake Chadema

  HALIMA Mdee na wenzake 18, wamebakisha siku 12 kujua hatma yao juu ya uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ),...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe atoa msimamo makongamano ya Katiba

  FREEMAN Mbowe amesema, watafanya kongamano la Katiba jijini Mwanza keshokutwa Jumatano, tarehe 21 Julai 2021 na mikoa mingine yataendelea “hadi Katiba mpya...

Habari za SiasaTangulizi

Covid-19: Mbowe ataka vigogo wizara ya afya Tanzania wajiuzulu

  MWENYEKITI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe, amemtaka Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima na wasaidizi wake, wajiuzulu...

Habari za SiasaTangulizi

Malalamiko tozo miamala ya simu yamuibua Rais Samia, atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango, itafute suluhu ya malalamiko ya wananchi kuhusu viwango vya tozo...

Habari za Siasa

Wahanga bomoabomoa Ubungo-Kimara wapewa matumaini

  WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kuongeza muda wa notisi kwa wamiliki wa nyumba na vibanda vya biashara, vilivyopo katika hifadhi ya...

Habari za Siasa

Kilio tozo mitandao ya simu: UVCCM wamuangukia Rais Samia

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), mkoani Shinyanga, wameuomba Rais Samia Suluhu Hassan, apunguze kiwango cha tozo ya mitandao ya...

error: Content is protected !!