SIKU 11 zimebaki kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wa Rais, Wabunge na Madiwani nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania haipaswi kufanya mambo makuu manne wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2020KAMATI ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemfungia siku tano kutofanya kampeni, Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kuanzia...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2020MAALIM Seif Sharif Hamadi, mgombea urais visiwani Zanzibar amesema, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inataka kumfungia kama Tundu Lissu, mgombea urais Tanzania kupitia...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2020WAKAZI wa Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani, wametakiwa kuchukua tahadhari ya magonjwa ya mlipuko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Anaripoti Hamis Mguta,...
By Hamisi MgutaOctober 15, 2020MAALIM Seif Shariff Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema safari hii vijana wapo tayari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). “Tunapambana na...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2020SAED Kubenea, mgombea ubunge Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, miongoni mwa mambo atakayosimamia ni kuhakikisha linaundwa Shirikisho la Mpira...
By Hamisi MgutaOctober 15, 2020WATU 12 wamefariki dunia jijini Dar es Salaam kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha tarehe 13 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Kelvin MwaipunguOctober 15, 2020LIGI kuu Tanzania Bara itaendelea tena leo kwa jumla ya michezo miwili kupigwa kwenye viwanja tofauti ambapo klabu ya Azam Fc itashuka dimbani...
By Kelvin MwaipunguOctober 15, 2020ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesifu miradi iliyotekelezwa jimboni humo kwa mwaka 2015 – 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2020WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amepata ajali ya gari mkoani Morogoro leo Jumatano tarehe 14 Oktoba 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2020MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema, Rais John Pombe Magufuli amebakisha siku 14 kubaki Ikulu, kwa kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2020LIGI kuu soka Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa kupigwa jumla ya michezo minne katika viwanja tofauti mara baada ya mapumziko ya michezo...
By Kelvin MwaipunguOctober 14, 2020MSAFARA wa Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema umelazimika kutumia mtubwi kutoka Kisorya mkoani Mara kwenda Ukerewe Mkoa wa Mwanza. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2020INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amewasihi viongozi wa vyama vya siasa na wagombea mkoani Mara, kutotumia vikundi vya vijana...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2020NAIBU Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba amewataka wadau mbalimbali wa maendeleo, maafisa ugani na watafiti kuendelea kujipanga kimkakati kutoa elimu ya matumizi sahihi...
By Christina HauleOctober 14, 2020MSAFARA wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu umepigwa mawe na watu wasiojulikana Chato mkoani wa...
By Mwandishi MaalumOctober 14, 2020MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, amekusanya wananchi wa Pemba na kusikiliza kero zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pemba …...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2020MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema, akishinda ubunge kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha waliovunjiwa nyumba zao mabondenu wanalipwa fidia....
By Hamisi MgutaOctober 13, 2020RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteuwa Ghalib Said Mohammed kuwa Mwenyekiti wa kamati ya ushindi ya Timu...
By Kelvin MwaipunguOctober 13, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekumbana na kituko cha kwanza Chato mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2020DAKTARI John Pombe Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, hakuhonga kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....
By Masalu ErastoOctober 13, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, zabuni ya kumpata mchapishaji wa karatasi za kupigia kura ilitangaza kwa mujibu wa Sheria...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2020MKURUGENZI wa zamani wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Mansoor, ameiomba Ofisi ya Mkurugenzi...
By Faki SosiOctober 12, 2020SAED Kubenea, Mgombea Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo amesema, ana mpango wa kuanzisha benki kwa ajili ya wananchi wa jimbo hilo. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaOctober 12, 2020STORI ya kushambuliwa kwa Wilfred Enock, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imemuumiza Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2020CONCHESTA Rwamlaza, mgombea ubunge katika Jimbo la Bukoba vijinini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtuhumu Jason Rweikiza, mgombea mwenzake kupitia Chama...
By Danson KaijageOctober 12, 2020OFISA wa Jeshi la Polisi katika Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, anachunguzwa na jeshi hilo kwa madai ya kumtabiria Freeman Mbowe, mgombea ubunge...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2020MRISHO Gambo, mgombea ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), ameamua kubadili mtindo wa kummaliza Godbless Lemba, mgombea ubunge wa jimbo...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2020MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ameshindwa kumnadi kwa jina Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2020CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimewataka watoto kuvunja ukimya na kupaza sauti mara tu waonapo dalili za kufanyiwa ukatili ili kuwawezesha kufikia...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeweka masharti ya matumizi ya simu katika vituo vya kuhesabu, kupigia na kujumulishia kura katika...
By Regina MkondeOctober 11, 2020KIONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu baada...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetakiwa kuweka wazi mambo mbalimbali yahusuyo Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 ikiwemo kampuni...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2020INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, Polisi hawahusiki kutangaza mshindi wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2020TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumamosi tarehe 10 Oktoba 2020 ataanza tena kampeni...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2020INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro, amewataka Wazanzibar kufuata taratibu za upigaji kura zilizowekwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2020NAHODHA wa timu ya Taifa ya Burundi Sadio Berahino amesema wako tayari kuwakabiri timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye mchezo wa kirafiki utakaopigwa...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2020KABENDERA Eugene, Mgombea wa Ubunge wa Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amefanya kampeni ya aina yake kupitia mkutano na waandishi...
By Hamisi MgutaOctober 9, 2020MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, amefanya kampeni ya nyumba kwa nyumba katika Kata ya Hananasif, Wilaya Kinondoni jijini Dar es...
By Regina MkondeOctober 9, 2020KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Etiene Ndayilagije amemuweka nje ya kikosi mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco kutokana...
By Kelvin MwaipunguOctober 8, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ametembelea Mlimani City jijini Dar es Salaam na kufanya manunuzi mbalimbali katika moja ya maduka....
By Mwandishi WetuOctober 8, 2020USHIRIKIANO kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 umeanza kushika kasi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufulki ameagiza kampuni iliyopewa zabuni ya kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani Mbezi-Luis jijini Dar es Salaam,...
By Regina MkondeOctober 8, 2020TIMU ya KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imehamishia mchezo wake wa nyumbani dhidi ya klabu ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,...
By Kelvin MwaipunguOctober 8, 2020KIKOSI dhidi ujangili kutoka Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori (TAWA) kimefanikiwa kumdhibiti fisi aliyemuua mtoto Kwangu Makanda (11) na kujeruhi watu wawili katika...
By Christina HauleOctober 7, 2020SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo amewataka wananachi kuchagua viongozi wenye uchungu na taifa lao. Anaandika Yusuph Katimba,...
By Yusuph KatimbaOctober 7, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2020MARAIS John Magufuli wa Tanzania na Dk. Lazarus Chakwera wa Malawi wamezungumzia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2020TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuliboresha Jiji la Dar es Salaam, endapo atashinda Uchaguzi...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2020