Thursday , 2 May 2024

Month: October 2020

Michezo

Cavani kuiongoza Man Utd dhidi ya Chelsea

MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Manchester United Edson Cavani ataiongoza safu ya ushambuliaji ya Manchester United kwa mara ya kwanza dhidi ya Cheksea...

Habari za Siasa

NEC: Wamejipanga kuharibu taswira ya uchaguzi

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebaini kuwepo kwa kundi la watu wakiwemo baadhi ya viongozi wa juu wa vyama vya...

Habari za Siasa

Barabara Ruangwa-Kiranjeranje kuwekwa lami

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali ya CCM imepanga kujenga barabara ya kutoka Ruangwa...

Habari za Siasa

Mkutano wa Lissu watawanywa kwa mabomu

JESHI la Polisi Mkoa wa Lindi nchini Tanzania, limeutawanya kwa mabomu ya machozi, mkutano wa Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema...

Habari za Siasa

Lissu aitisha maombi ya kitaifa

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wa dini zote kufanya maombi ya kitaifa Jumatatu ya tarehe 26...

Michezo

Yanga vs Simba kuchezwa Uwanja wa Uhuru

MCHEZO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba rasmi utachezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mara...

Habari za Siasa

Dk. Shein: Nimefanikiwa

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema, anaondoka madarakani huku akifanikiwa kuacha visiwa hivyo (Unguja na Pemba) vikiwa na...

Michezo

Kaze: kupata matokeo ndani ya siku tano sio kitu rahisi

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kocha wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kupata matokeo ndani...

Habari za Siasa

Maalim Seif atunukiwa keki jukwaani, Lissu amfuata

TAREHE 22 Oktoba 1943, ndio siku aliyozaliwa Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pemba...

Habari za Siasa

Ushirikiano: Msimamo mpya wa Lissu

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema palipo na mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo, wafuasi wa Chadema wamchague....

Habari za SiasaTangulizi

JPM aeleza alivyoteswa na Mbowe

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ameeleza namna Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe alivyomtesa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro …...

Habari za Siasa

Maalim Seif atoa sharti kukubali kushindwa Z’bar

MGOMBEA urais Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, ili akubali kushindwa katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 27 na 28...

Habari za Siasa

Mwambe, Katani wazungumzia maisha ya upinzani

WAGOMBEA ubunge wawili wa Mkoa wa Mtwara waliotoka vyama vya upinzani na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameeleza machungu waliyokuwa wakikumbana nayo wakati...

Habari za Siasa

Magufuli ahuisha ndoto ya Mwalimu Nyerere 1978

KIWANDA cha kutengeneza bidhaa za ngozi, kilichoanzishwa na Mwalimu Julius Kambarahe Nyerere mwaka 1978 na kisha kuzorota, kimefufuliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro …...

Habari za Siasa

IGP Sirro: Magaidi 300 walivamia Mtwara

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara...

Habari za Siasa

Serikali ya Tanzania yawaonya viongozi wa dini

SERIKALI ya Tanzania, amewaonya viongozi wote wa dini na jumuiya za kijamii kuepuka kutoa matamko ya kisiasa yenye lengo la kuhamisha na kuelekeza...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yaongeza siku mbili kuapisha mawakala

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeongeza siku mbili zaidi za kuapisha mawakala wa vyama vya siasa watakaosimamia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...

Kimataifa

Waandamanaji wamiminiwa risasi za moto Nigeria

NCHINI Nigeria, zaidi ya miili 20 imepatikana baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la nchi hiyo kuwamiminia risasi waandamanaji wanaopinga ukatili wa polisi...

Kimataifa

Mauaji ya Ndadaye: Rais Burundi afungwa maisha

PIERRE Buyoya, Rais Mstaafu wa Burundi, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada kubaini kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa rais wa taifa hilo, Melchior...

Habari za Siasa

Zitto: Katiba ACT-Wazalendo haijavunjwa, ‘tumpigie kura Lissu’

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameendelea kuwaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi tarehe 28 Oktoba 2020 kumpigia kura Tundu Lissu, mgombea...

Habari za Siasa

Kubenea afungiwa siku 7

KAMATI ya Maadili Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam imemfungia mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, kufanya kampeni kwa...

Habari za Siasa

Majaliwa: Reli ya kimataifa Mtwara- Mbambabay kujengwa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema, Serikali inataka kuanza ujenzi wa reli...

Habari za Siasa

NEC yaonya watakaotangaza matokeo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeonya, wagombea, kikundi, chama cha siasa au wafuasi wao wanaopanga kuchukua sheria mkononi ya kutangaza...

Elimu

Uhaba wa madarasa: Wanafunzi wasoma kwa zamu

WANAFUNZI wa shule ya Msingi Mkambarani iliyopo kata ya Mkambarani Halmashauri ya Wilaya na mkoa  wa Morogoro, wanalazimika kusoma kwa kupokezana madarasa kutokana na...

Michezo

Azam FC yajikita kileleni

KLABU ya Azam Fc imejikita kileleni kwenye msimamo wa Ligi Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu FC...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Sasa imetosha

MAALIM Seif Shariff Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema uvumilivu sasa imetosha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za SiasaTangulizi

Hivi ndivyo Membe alivyomuunga mkono Lissu

BERNARD Kamilius Membe, mgombea urais Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya chama hicho, waliobariki kumuunga...

Habari Mchanganyiko

CMA yaamuru Manji kulipa mamilioni waandishi wa habari

TUME ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Kanda ya Dar es Salaam- Temeke imeiamuru kampuni ya Quality Group Limited kuwalipa waandishi wake wa habari...

Habari za Siasa

Mbowe awaachia kibarua Watanzania 28 Oktoba

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewaomba Watanzania kuutumia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, kuamua mustakabali...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda ataja sababu kumuunga Lissu

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Shura ya Maimamu Tanzania amesema, anamuunga mkono Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif amkacha Membe, amuunga Lissu

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameweka bayana msimamo wake wa kumuunga mkono Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha...

Habari za SiasaTangulizi

Membe: Mimi ni mgombea halali, awajibu Zitto na Maalim Seif

BERNARD Kamilius Membe amesema, yeye bado ni mgombea halali wa urais kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Mbowe, Sheikh Ponda, Maalim Seif kumfuata Lowassa

JIMBO la Monduli, Arusha lililokuwa likiongozwa na Edward Lowassa, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwaka 2015, linatarajia kuwa na...

Habari za Siasa

Lissu alia kutelekezwa

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amelalamika kutelekezwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda amfuata Lissu jukwaani

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, amempigia kampeni Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha...

Habari za Siasa

Kikwete: JPM amewazima midomo wapinzani ajenda ya rushwa

MWENYEKITI mstaafu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete amesema, Rais wa Tanzania anayemaliza muda wake, John Magufuli amewazima midomo wapinzani juu ya...

Michezo

Liverpool yabanwa mbavu

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu nchini England klabu ya Liverpool imelazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi nchini...

Habari za Siasa

Wanakijiji waapa kumchagua diwani aliyeanza kutatua kero

WANAKIJIJI wa kijiji cha Mkono wa Mara kata ya Mkambarani, Morogoro wamesema watamchagua mgombea udiwani wa kata hiyo Charles Mboma kupitia Chama Cha...

Habari za Siasa

Lissu: Magufuli hakujiandaa kwa uchaguzi

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema, mpinzani wake wa karibu Dk. John Magufuli, anayegombea nafasi...

Habari za Siasa

Samia awanyooshea kidole watendaji kero za muungano

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kero za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinachelewa kutatuliwa kutokana na uzembe wa watendaji...

Habari za Siasa

Lissu kufunga kazi Dar, Magufuli Dodoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa ratiba ya mwisho ya lala salama ya kampeni za wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu...

Habari za Siasa

Hoja tano za muungano Tanzania zafutwa

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefuta hoja tano za muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizopatiwa ufumbuzi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Mbatia apinga kufungiwa, kuendelea na kampeni

JAMES Mbatia, Mgombea Ubunge wa Vunjo Mkoa wa Kilimanjaro kupitia NCCR-Mageuzi, ameupinga uamuzi uliotolewa na Kamati ya Maadili Jimbo hilo wa kumfungia kwa...

Michezo

Epl yalejea Arsenal, Liverpool, Man City vitani

BAADA ya kupoteza kwa mchezo kwa mabao 7-2 klabu ya Liverpool kesho watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Goodson Park kujiuliza dhidi ya majirani...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Nitampigia kura Lissu, ubunge…

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, ametangaza kumpigia kura Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba...

Michezo

Pitso Mosimane katika mtihani wa kwanza kwa Al Ahly

KOCHA mpya wa klabu ya Al Ahly, Pitso Mosimane atakuwa na kibarua kigumu kesho kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la klabu...

Michezo

Kaze: Nimekuja kurudisha ukubwa, heshima Yanga

KOCHA mpya wa Klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema, amekuja nchini Tanzania kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria nchini humo na kuirudishia hadhi na...

Habari za Siasa

Lissu: Nitakuwa kama Nyerere

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kufuata nyayo za Mwalim Julius Kambarage Nyerere, Rais wa...

Habari za Siasa

Askofu Shoo ahofia kutoweka amani

DAKTARI Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea mamlaka na viongozi wa dini kupendelea chama kimoja cha kisiasa....

Habari za Siasa

Karatasi za kupigia kura hizi hapa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mfano wa karatasi ya kupigia kura kwa nafasi ya urais na makamu wa rais....

error: Content is protected !!