TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mfano wa karatasi ya kupigia kura kwa nafasi ya urais na makamu wa rais. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Pia, imetoa Jalada la nukta nundu litakalotumiwa na watu wasioona kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020.
Interested