Saturday , 20 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa NEC: Wamejipanga kuharibu taswira ya uchaguzi
Habari za Siasa

NEC: Wamejipanga kuharibu taswira ya uchaguzi

Spread the love

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebaini kuwepo kwa kundi la watu wakiwemo baadhi ya viongozi wa juu wa vyama vya siasa waliojipanga kuharibu taswira ya uchagaguzi kwa kueneza taarifa za uzushi na uongo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Hayo yalisemwa jana Ijumaa tarehe 23 Oktoba 2020 na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Dk. Mahera alisema “wamejipanga kutafuta na kuweka vielelezo vya uongo na visivyo na uhalisia wakivihusisha na michakato ya uchaguzi huu kwa lengo la kuleta taharuki kwa wadau wa uchaguzi na wananchi kwa ujumla.”

Alisema, miongoni mwa mipango ya kuzusha ni wimbi linaloendelea la kudai kuwapo vituo hewa vya kupigia kura.

Soma taarifa yote ya Dk. Mahera hapa chini;

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Dk. Mwakyembe : Zanzibar waliongoza kutaka Serikali 2 za muungano

Spread the love  MWANASIASA mkongwe nchini, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema mjadala wa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataja mikakati ya kufikia trilioni 2 biashara Uturuki, Tz

Spread the loveWakati Tanzania na Uturuki zikidhamiria kuongeza kiwango cha biashara hadi...

BiasharaHabari za Siasa

Mavunde aagiza Perseus kuharakisha fidia Sengerema

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameipongeza Kampuni ya Perseus kwa...

Habari za Siasa

Kigogo Chadema awanyooshea vidole vigogo serikalini kuhusu ripoti ya CAG

Spread the love  MWANACHAMA wa Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amedai...

error: Content is protected !!