Categorizing posts based on type of post
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, sifa na maneno mazuri ambayo yamesemwa kuhusu aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Mhandisi Atashasta Nditiye yatakuwa...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021CHAMA cha Madaktari nchini (MAT), kimewataka wananchi kuwa makini kutokana na ongezeko la wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021SERIKIALI ya Mapinduzi Zanzibar imewataka watalii kuzingatia miiko na maadaili ya Mzanzibari hasa katika mavazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2021PROFESA Mark Mwandosya, waziri wa zamani katika utawala wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ameeleza kuumizwa na kifo cha baba yake mdogo,...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2021DAKTARI Mohmmed Seif Katibu, aliyewahi kuwa Mkuu wa Oganizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2021BARAZA Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA), limeelekeza misikiti yote kufanya maombi maalumu (kusoma dua) kwa ajili ya kumuomba Munga kuliepusha taifa na...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, amepongeza miongozo iliyotolewa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjiki la...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2021JOYCE Kiria, Mwanaharakati wa masuala ya wanawake, anasaka Sh. 5 Mil ili kulipa faini baada ya kuweka maudhui mtandaoni bila kufuata sheria. Anaripoti...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Atashasta Nditiye (52), umeagwa bungeni jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka wanufaika wote wa mikopo ya elimu ya juu nchini humo, ambao bado hawajajitokeza na kuanza...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2021NCHI wanachama wa mkataba wa Roma ulioanzisha Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu (ICC), umemchagua mwanasheria kutoka Uingereza, Karim Khan...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2021SAA chache mara baada ya msafara wa Namungo kuzuiliwa kwenye Uwanja wa ndege wa Luanda Angola, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge, Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa Muhambwe (CCM), mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2021PENALTI ya dakika 60 ya mchezo iliwekwa kambani na Chriss Mugalu ilitosha kuipatia Simba pointi tatu kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021HARITH Bakari Mwapachu (81), waziri mwandamizi wa zamani amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo Ijumaa tarehe 12 Februari 2021, Hospitali ya Taifa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2021SERIKALI ya Tanzania imeeleza, haijawahi kusema haina maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde …(endelea). “Hatujawahi kusema, hatuna virusi vya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameeleza kutamani mfanyabiashara Rostam Azizi kugombea Jimbo la Morogoro Mjini, ili kumng’oa Abdul-Aziz Abood, mbunge wa jimbo...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2021MBUNGE wa Muhambwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Atashasta Nditiye, amefariki dunia leo asubuhi Ijumaa tarehe 12 Februari...
By Danson KaijageFebruary 12, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Joseph Meza na Mkurugenzi Mwendeshaji wa...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma, wasikate tamaa kwa vile mishahara mipya haijatangazwa na badala yake amewasihi waendelee...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2021WAKATI Rais wa Tanzania, John Magufuli akisisitiza kwa wananchi ataendelea kutoa elimu bure, Halim Mdee ambaye ni mbunge asiye na chama baada...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2021KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamidu Shaka, amesimamishwa kazi na chama hicho, kupisha uchunguzi wa tuhuma za...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2021JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amelieleza Bunge, katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, Chama Cha Mapinduzi (CCM), ‘kilitoka...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2021SAKATA la Shule ya St. Jude, iliyoko jijini Arusha, kukabiliwa na ukata uliosababishwa na fedha zake kuzuiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2021INAELEZWA tayari Kim Poulsen kocha raia wa Denmark yupo nchini kwa ajili ya kukaimu kwa muda nafasi ya aliyekuwa kocha wa Timu...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2021BONIFACE Mwita Getere, Bunda Vijijini (CCM), ameitaka serikali kueleza, kwamba ina mpango gani wa kukamilisha dhana ya elimu bure. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2021MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara utaanza kesho tarehe 11 Februari 2021, huku kukiwa na kitendawili kikubwa kwenye kumpata bingwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 10, 2021WARAKA kuhusu tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), uliotolewa na Profesa Elifas Bisanda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania...
By Regina MkondeFebruary 10, 2021CHAMA cha ACT- Wazalendo, kimemshauri Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi kuunda “tume ya maridhiano” ili kutibu vidonda vya uchaguzi mkuu uliyopita,...
By Regina MkondeFebruary 10, 2021KASI ya “kujipendekeza” ya baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli, imeshangaza waengi, wakiwamo viongozi wa...
By Regina MkondeFebruary 10, 2021MJADALA juu ya nyongeza ya muda wa Rais John Magufuli, kuendelea kubaki madarakani, baada ya kipindi chake cha urais kumalizika, umepamba moto. Ndani...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2021ANTHONY Calist Komu, mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania amesema, ndoto zake zilikuwa awe padre, lakini akajikuta anakuwa mwanasiasa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2021MBUNGE wa Same Magharibi, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), David Mathayo David, amehoji ni lini Serikali ya awamu ya tano inayongozwa na...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2021WAZIRI wa zamani katika serikali za awamu ya Kwanza, Pili na Tatu, Arcado Ntagazwa (75) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya...
By Saed KubeneaFebruary 10, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amekwepa kuzungumzia hali ya makamu wake wa kwanza, Maalim Seif Sharif Hamad. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2021MTENDAJI Mkuu wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Daniel Loya amefariki dunia asubuhi ya leo Jumatano, katika Hospitali ya Lugalo alikokuwa anapatiwa...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2021HALIMA Mdee, mbunge asiye na chama bungeni, amekosoa Mpango wa Maendeleo wa Serikali, kwamba ‘hakuna kitu.’ Anaripoti Mwandshi Wetu, Dodoma…(endelea). Akichangia mpango huo...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amesema katika siku 100 za uongozi wake, amefanikiwa kuimarisha umoja wa Wazanzibari na kuongeza ukusanyaji mapato....
By Masalu ErastoFebruary 9, 2021KIWANGO kikubwa cha kodi kwa wafanyabiashara, kimesababisha biasharanyingi kufungwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na Nape Nnauye, Mbunge...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2021KASI ya kutaka Katiba Mpya kabla ya uchaguzi mkuu 2025, imevisukuma vyama vya upinzani kutaka kuungana. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Masalu ErastoFebruary 9, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema, kimewapeleka wanachama wake wanne bungeni ili wakasimamie ajenda tano za chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....
By Regina MkondeFebruary 9, 2021HUMPHREY Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema mwenyekiti wake Rais John Magufuli hatoongeza...
By Hamisi MgutaFebruary 9, 2021WAKATI Tundu Lissu, Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akieleza chama hicho ‘kujivuwa’ kuwapeleka mahakamani Halima Mdee na wenzake,...
By Hamisi MgutaFebruary 9, 2021HATUA iliyochukuliwa na Rais John Magufuli kuanzisha Mahakama ya Mafisadi mwaka 2016, mahakama hiyo sasa inaanzishwa visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2021MWENYEKITI mpya wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu ameanza kazi kwa kasi katika kuhakisha timu hiyo inafanya vizuri kwenye michuano kimataifa kwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2021JOSEPH Msukuma, Mbunge wa Shinyanga Vijijini amesema, serikali imekuwa ikiwekeza mabilioni ya fedha katika miradi ambayo haina faida kwa Taifa. Anaripoti Mwamdishi Wetu,...
By Hamisi MgutaFebruary 8, 2021AHADI aliyoitoa Rais wa Tanzania, John Magufuli wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020, Itigi mkoani Singida, kwamba atajenga barabara za...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2021YUSTINA Rahhi, Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), ameapishwa leo Jumatatu tarehe 8 Februari 2021, kuchukuna nafasi ya Martha Jecha Umbulla aliyefariki dunia tarehe...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2021MLIPUKO wa Virusi vya Ebola, umeibuka tena Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Taarifa ya mlipuko huo, imetolewa na...
By Hamisi MgutaFebruary 8, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia ameangukia pua kwenye uchaguzi wa klabu ya Simba baada ya kushindwa na Murtaza Mangungu kwa tofauti...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2021