Categorizing posts based on type of post
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameitaka jamii ibadili mtizamo wa kwamba Serikali inaweza kufanya kila kitu peke yake, bila ya ushirikishwaji...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2022MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche, ameonesha kushangazwa na matumizi ya Serikali yasiyo na tija huku ikiwaeleza wananchi kuwa hali...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2022SERIKALI imeshauriwa kutumia teknolojia katika chaguzi na mikutano ya vyama vya siasa ili kupunguza gharama za uendeshaji wa shuguli hizo. Anaripoti Selemani...
By Seleman MsuyaJuly 14, 2022MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania, John Heche amesema Serikali iiliyopo madarakani imeshindwa kutatua changamoto za...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2022KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania Kim Poulsen amita wachezaji 24, wa timu ya Taifa ya Tanzania watakaoingia kambini kwa ajili...
By Kelvin MwaipunguJuly 13, 2022MAMLAKA ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imetakiwa kujiwekea malengo kwa kila maonyesho na baadae kufanya tathimini ya kufanikiwa au tutofanikiwa. Anaripoti Jonas Mushi...
By Jonas MushiJuly 13, 2022KATIBU mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM),Daniel Chongolo ametangaza kuwafyeka wagombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho endapo watakiuka misingi na utaratibu...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2022KLABU ya Simba imeendelea kushika kasi kwenye usajili wa wachezaji mbalimbali, kufuatia hii leo tarehe 13 Julai 2022, kutmabulisha kiungop mshambuliaji Agustine...
By Kelvin MwaipunguJuly 13, 2022WIZARA ya afya kupitia Mganga Mkuu wa serikali, Dk. Alfello Sichalwe imesema jumla ya watu watatu wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2022Polisi Uganda imewakamata waandamanaji 12 waliokuwa wakipinga kupanda kwa gharama ya maisha katika eneo la Jinja, lililopo kusini-mashariki mwa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao...
By Gabriel MushiJuly 13, 2022WAZAZI na walezi wametakiwa kuwalea watoto wao katika misingi ya dini ili kuepukana na kizazi chenye ukatili na unyanyasaji hapo baadaye. Anaripoti...
By Danson KaijageJuly 13, 2022KLABU ya soka ya Simba inatarajia kuondoka nchini kwenda nchini Miosri kwa ajili ya kufanya maandalizi ya msimu mpya ujao wa mashindano...
By Kelvin MwaipunguJuly 12, 2022TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), zimesema changamoto zinazotokea wakati uchaguzi asilimia kubwa zinachangiwa na wasimamizi wa...
By Gabriel MushiJuly 12, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Selemani Haruna (24), kwa tuhuma za kumuuwa mfanyakazi za ndani, Editha Charles, kisha...
By Gabriel MushiJuly 12, 2022SIMANZI. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mmoja wa pacha waliotenganishwa Muhimbili, Neema kufariki dunia Jumapili tarehe 10 Julai, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Neema...
By Gabriel MushiJuly 12, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika mikoa ya kusini mwa Tanzania kumeibuka ugonjwa wa ajabu ambapo watu wengi mfululizo wanavuja damu puani na...
By Gabriel MushiJuly 12, 2022IDARA ya Ustawi wa Jamii ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU) kwa kushirikiana na Hospitali ya Kairuki wameandaa kambi...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2022RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kwamba haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka mingine 20, na kuashiria kwamba atagombea muhula mwingine...
By Gabriel MushiJuly 10, 2022SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) imerejesha safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou China kuanzia tarehe 17 Julai, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Gabriel MushiJuly 10, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuchukua hatua za dharura kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji ili kuzuia maafa yanayoweza kutokea. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2022IKIWA katikati ya mkutano mkuu wa mwaka wa klabu hiyo, ambao umebeba ajenda kubwa ya Uchaguzi, Rais mteule wa klabu hiyo Mhandisi...
By Kelvin MwaipunguJuly 9, 2022JESHI la Polisi nchini Tanzania limetoa sababu ya kumshikilia Mratibu wa Uhamasishaji wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), Twaha Mwaipaya. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2022KAIMU Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu amesema mjadala kuhusu kasoro za kiutendaji katika utekelezaji miradi ya maendeleo hautasimama...
By Jabir IdrissaJuly 8, 2022WABUNGE Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, wamekibwaga Chama cha Chadema mahakamani baada ya Mahakama Kuu, Masjala Kuu ya Dar es...
By Regina MkondeJuly 8, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022Klabu ya soka ya Yanga Mabigwa wa Ligi ya NBC usiku wa jana 7 julai 2022 wameibuka vinara baada ya kutwaa tuzo...
By Masalu ErastoJuly 8, 2022RAIS wa zamani wa Fifa Sepp Blatter na makamu wa rais Michel Platini wote wamepatikana bila hatia kufuatia kesi yao ya ulaghai. Anaripoti...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa amezitaka klabu nchini kuhakikisha wanamili viwanja vyao ili kukuza ustawi wa soka nchini, ambapo...
By Masalu ErastoJuly 8, 2022WAZIRI Mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe (67) amefariki dunia, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Profesa Edward Hoseah, amewataka mawakili wapya, kuwasaidia wananchi katika kutatua migogoro inayowakabili.Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022UINGEREZA leo tarehe 7 Julai, imeandika historia nyingine baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Boris Johnson ambaye pia ni kiongozi wa chama...
By Gabriel MushiJuly 7, 2022“Ninasikitika kuacha kazi nzuri zaidi duniani lakini ndiyo hali halisi”, hayo ni maneno ya Waziri Mkuu wa Uingerea, Boris Johnson ambaye leo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WAZIIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anatarajiwa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha Conservative baadaye leo, lakini ataendelea kuhudumu kama waziri...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai gharama za maisha zimezidi kupanda huku hali ya uchumi wa wananchi ikiwa ngumu, hususan katika bei ya vyakula...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wametakiwa kuangalia upya...
By Seleman MsuyaJuly 7, 2022MAANDALIZI Sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti mwaka huu, yamefikia asilimia 87 ikiwa zimebaki siku 48 kufika siku...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19,...
By Regina MkondeJuly 6, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekanusha madai ya kwamba chenyewe kinafanya mikutano ya hadhara huku vyama vya upinzani vikizuiwa, kikisema mkutano inayofanya na...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, amesema ndani ya chama hicho hakuna mpasuko, kama inavyovumishwa...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Julai ambapo bei ya petroli...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametembelea ofisi za magazeti ya Raia Mwema na MwanaHALISI, ikiwa ni muendelezo...
By Regina MkondeJuly 5, 2022Mgombea wa nafasi ya Urais katika klabu ya soka ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Injinia Hersi Saidi leo 5 julai,...
By Masalu ErastoJuly 5, 2022SHULE za Sekondari za Serikali, pamoja na watahiniwa wasichana, wameng’ara katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022MAHAKAMA Kuu, Masjala ya Dodoma, imeahirisha usikilizwaji wa kesi ya Chadema dhidi ya Jeshi la Polisi baada ya Mawakili wa Jamhuri kutofika...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya CCBRT ambalo lina uwezo wa kuhudumia wajawazito 12,000 kwa...
By Masalu ErastoJuly 5, 2022WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa Sh54 bilioni kwa ajili ya kugharamia mradi wa maji wa Chiuwe utakaohudumia wilaya za Ruangwa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kufikiria upya mpango wake wa kununua vifaa vya treni ya umeme vilivyotumika, maarufu kama mitumba, ili kujua kama...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 4 Julai, 2022 ametengua uteuzi wa mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Eric...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2022NI Bajeti ya viwango inayokwenda kulainisha na kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wote. Hii inatokana na vipengele kadhaa vilivyoanishwa na serikali kupitia...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022