Categorizing posts based on type of post
KIONGOZI wa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametoa wito kwa wagombea...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2022SECRETARIETI ya Ajira, imesema moja ya chngamoyo inayosababisha vijana wengi kukosa ajira ni kushindwa kujiandaa vizuri kabla ya kwenda kwenye usaili wa...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2022MIONGONI mwa burudani zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni pamoja na kilele cha Siku ya Mwananchi na Siku ya Simba, sherehe ambazo huambatana na...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2022RAIA wa Kenya jana tarehe 9 Agosti, 2022 wamejitokeza kupiga kura kumchagua rais, gavana, seneta, mwakilishi wa wanawake, mbunge na mwakilishi wa wadi. Katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2022MCHEZAJi maarufu wa tenisi ulimwenguni, Serena Williams, amepanga kujiuzulu rasmi mchezo huo, akisema kuwa atakuwa “anaondoka ” katika mchezo huo baada ya...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2022KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo cha nchini Tanzania, Zitto Kabwe, amesema Taifa la Kenya lipo mbele katika uwazi kwenye uchaguzi mkuu. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 10, 2022Matokeo ya mapema yanaonesha kwamba mgombea wa Muungano wa Azimio Raila Odinga amekuwa akitatizika kupata asilimia 20 ya kura zilizopigwa katika maeneo...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2022WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezho, Mohamed Mchengerwa leo tarehe 9, 2022 amemuagiza Katibu Mkuu wizara hiyo, Dk. Hassan Abbasi kumpangia majukumu mengine...
By Gabriel MushiAugust 10, 2022ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini amelaani kitendo cha klabu ya Simba kutumia msalaba kufanya dhihaka na kusema ni “dharau...
By Gabriel MushiAugust 9, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia za watu 20 waliofariki ajalini na wengine 15 kujeruhiwa. Anaripoti Erick Mbawala, TUDARco...
By Masalu ErastoAugust 9, 2022WAKATI Dunia ikihubiri haki na usawa wa kijinsia huko nchini Pakistani wanawake wamekuwa wakifanyiwa ukatili wa kijinsia , kubakwa na kutekwa nyara....
By Faki SosiAugust 9, 2022UCHAGUZI Mkuu wa Kenya unafanyika leo kumsaka mrithi wa kiti cha urais kinachotarajiwa kuachwa wazi na Rais Uhur Kenyatta. Mbali na nafasi...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2022KILELE cha Sherehe ya Siku ya Simba ‘Simba Day’ kimetamatika kwa kwa cheko la furaha baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2:0...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022Walio kuwa wachezaji wa klabu ya Simba Meddie Kagere pamoja na Thadeo Lwanga wameagwa rasmi leo Agosti 6 2022 katika kilele cha...
By Masalu ErastoAugust 8, 2022MIKOA yote nchini imeagizwa kutenga maeneo kwaajili ya kilimo kikubwa cha mazao ambayo yanayostawi katika mikoa hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Maagizo hayo yametolewa...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022MTENDAJI wa tarafa ya Ruaha, wilayani Ulanga, mkoani Morogoro, George Kayora, ameieleza mahakama jinsi baadhi ya viongozi wa ngazi ya kitongoji wilayani Ulanga,...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ametoa wito kwa vijana kuwekeza kwenye sekta ya kilimo kutoka na fursa nyingi zilizopo na uboreshwaji...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema maboresho ya Miundombinu yanayoendelea katika sekta ya elimu yanalenga kuhakikisha watoto wa...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022SEKRETARIETI ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa Yanga Mhandisi Hersi Said na aliyekuwa Msemaji wa...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022Mshambuliaji wa kimataifa wa raia wa Ghana Bernard Morison ameomba radhi kwa mashabiki wa klabu ya Yanga kwa yale yote yaliotokea kipindi alipoondoka...
By Masalu ErastoAugust 6, 2022MABINGWA wa Uganda, Vipers SC wamevuruga sherehe za kilele cha Siku ya Wananchi – Yanga S.C baada ya kuwaadhibu kwa bao 2 -0...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema mafanikio yaliyofikiwa katika kung’oa tasnia ya habari kwenye ‘shimo,’ hayakuhusisha mapambano bali...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022Klabu ya soka ya Yanga leo Agosti 6 2022 inaadhimisha kilele cha wiki ya mwananchi huku ikiwa na kauli mbiu ya Byuti Byuti...
By Masalu ErastoAugust 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewaweka mtegoni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI),...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassana amezindua mradi wa maji wenye thamani ya Sh. 2.8 bilioni uliopo katika Kata ya Makongolosi wilayani Chunya mkoani...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua maofisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa iliyotolewa leo...
By Gabriel MushiAugust 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni wakuu wa wilaya wataanza kutimuana tena kwa ajili ya usimamizi wa ujenzi wa madarasa 8000 ya...
By Gabriel MushiAugust 6, 2022WANANCHI wa Mbalizi mkoa wa Mbeya nchini Tanzania amemuhoji Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta ambapo amewajibu kuwa...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema maji yangeuzwa kwa kuangalia gharama za miradi tone moja la maji lingeuzwa kwa Sh 3,000. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2022KAMPUNI ya NICOL Investment (PLC), imeendelea kupata faida na hisa zake kuendelea kufanya vizuri katika Soko la Hisa la Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2022SHULE ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, imeongoza kwenye matokeo ya mtihani wa utamilifu (Mock), darasa la saba kwa Wilaya...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2022VIJANA wa Tanzania ni rasilimali muhimu zaidi ambayo nchi inatakiwa kuwa nayo katika siku za usoni. Umuhimu wa vijana unatokana na ukweli kwamba...
By Gabriel MushiAugust 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amemrejesha Eric Hamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) baada ya kumwondoa Mamlaka ya Usimamizi...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema hatma ya mkataba Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS) itajulikana mwezi Septemba mwaka...
By Seleman MsuyaAugust 4, 2022HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imemuachia huru aliyekuwa diwani wa Chadema katika Kata ya Isengule wilaya ya Tanganyika mkoa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini Selemani Said Bungara (Bwege) amealikwa nchini Kenya kumpigia kampeni mgombea wa Azimio la Umoja, Raila...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022MAREKANI imeipa nasaha Zanzibar kuendeleza moyo wa maridhiano ya kisiasa kwa kuamini kuwa ni fursa nzuri ya kuimarisha umoja na mshikamano ambao ni...
By Jabir IdrissaAugust 4, 2022MECHI inayo vikutanisha vigogo wa soka la Tanzania Simba na Yanga (Kariakoo Derby) katika Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2022/23, inatarajiwa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2022BEI ya mafuta imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Julai licha ya Serikali kuendelea kutoa ruzuku ya Sh bilioni 100 kwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2022TANZANIA na Zambia zimekubaliana kuanzisha mradi wa pamoja wa kuboresha reli ya TAZARA kwa kiwango cha kisasa (SGR). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amempa onyo Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila, ambaye amerejesha uongozini baada ya kumwondoa Juni...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2022KLABU ya soka ya Simba inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara, imesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya kubashiri ya M-Bet kama...
By Masalu ErastoAugust 1, 2022klabu ya soka ya Yanga yenye makazi yake mitaa ya Jagwani na Twiga jijini Dar es salaam imetangaza rasmi viingilio vyote vitakavyotumika katika ...
By Masalu ErastoAugust 1, 2022MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuacha ubahili na kuhakikisha wizara hiyo inatoa fedha za kutosha kufanya...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2022Mabjngwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya soka ya Yanga, imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja beki wake wa kulia Raia wa...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2022UNYANYASAJI wa kingono sasa unaonekana kumuathiri mtu yeyote bila ubaguzi wakiwemo wagombea urais. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea) Tukio hilo la aina...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2022MWANAMKE wa Brazil amezungumzia masaibu yake ya kufungiwa – pamoja na watoto wake wawili – na mumewe kwa miaka 17, vyombo vya habari...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2022KLABU ya Soka ya Simba hii leo tarehe 31 Julai 2022, imezindua rasmi wiki yao kuelekea kwenye tamasha kubwa la Siku ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2022KAMATI tendaji ya klabu ya Yanga imebadiliki ombi la kutoongeza mkataba ambalo liliwasilishwa na mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Senzo Mbatha. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJuly 30, 2022JUMLA ya Watanzania 8000 wamejisajili kujiunga na kampeni ya Shujaa wa maendeleo na ustawi wa jamii (SMAUJATA) yenye lengo la kupinga na...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2022