Wednesday , 1 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoTangulizi

Mrema afariki dunia

MWENYEKITI wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo tarehe 21 Agosti, 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Juliana Cherera; kigogo tume ya uchaguzi anayetia mchanga ushindi wa Ruto

Jina la Juliana Cherera ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka kutoka nchini Kenya (IEBC), limepata umaarufu mkubwa baada...

Habari za Siasa

Nape: Hakuna aliyeripoti kuibiwa bando, muda wa maongezi

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema licha ya kutoa ofa kwa mwananchi yeyote aliyeibiwa vifurushi vya intaneti...

HabariMichezo

Yanga yaingia mkataba na kampuni ya Jakson Group

  MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya soka ya Yanga hii leo Tarehe 19 Agosti 2022, imeingia rasmi kandarasi ya...

Habari za Siasa

Majaliwa awatoa hofu wanaohamia Msomera kutoka Ngorongoro

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, amewatoa hofu wananchi wote wanaohamia Kijiji cha Msomera kutoka Hifadhi ya Eneo la...

HabariTangulizi

Kubenea ambwaga Makonda kesi ya ‘mchongo’

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imefuta hukumu iliyomtia hatiani aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo (2015-2020), Saed Kubenea...

HabariMichezo

Kipa Yanga aibukia Rwanda  

  Aliyekuwa mlinda mlango wa klabu ya Yanga Ramadhan Kabwili, rasmi amejiunga na klabu ya soka ya Rayon Sport ya nchini Rwanda kama...

HabariKimataifa

Kenyatta awahakikishia viongozi wa dini amani makabidhiano ya madaraka

  RAIS wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta amewahakikishia viongozi wa dini nchini humo kuwa makabidhiano ya madaraka baina yake na atakayemrithi yatakuwa...

HabariKimataifa

Seneta Mmarekani ayewapatanisha Uhuru, Raila atua Kenya

SENETA wa Marekani ambaye aliwataka Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga kuwa na mazungumzo baada ya mzozo wa uchaguzi wa...

ElimuHabari

Mahafali ya wanafunzi 400 waliosoma nje ya nchi yaiva

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolph Mkenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya tatu ya wanafunzi waliosoma vyuo vikuu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Siku ya sensa ni mapumziko

HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia tarehe 23 Agosti, 2022 iwe siku ya mapumziko ili Watanzania wawepo majumbani na waweze kuwapokea makarani wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

TANESCO yaghairi matengenezo mfumo wa LUKU

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeahirisha zoezi la matengenezo kinga ya mfumo wa ununuzi wa umeme LUKU ambalo lingesababisha kusitishwa kwa huduma hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango atoa somo Wimbo wa Taifa

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amelazimika kuanza hotuba yake kwa kufundisha wananchi namna ya kusimama wakati wa kuimba Wimbo wa Taifa. Anaripoti...

KimataifaTangulizi

Ruto: Machifu, watumishi ‘waliotekwa’ upinzani warejee kazini

RAIS mteule w Kenya, Dk. William Ruto amewataka machifu na watumishi wa umma waliokuwa wanatumiwa na wanasiasa kuwafanyia kampeni, warejee kazini ili watekeleza...

Habari za Siasa

Basilla ataka kero za wananchi zotatuliwe

MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Basilla Mwanukuzi amewataka wakuu wa idara katika Wilaya hiyo kutatua kero za wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari MchanganyikoTangulizi

LATRA yafunguka chanzo BOLT kusitisha usafiri wa magari

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema mojawapo ya sababu ya baadhi ya Kampuni za teksi mtandaoni kusitisha huduma za usafiri wa magari...

HabariTangulizi

Karia: Mimi sio Mwanachama wa Simba

  RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ameweka wazi kwamba yeye sio wanachama wala shabiki wa klabu ya...

HabariMichezo

Yanga yaanza safari ya kutetea ubingwa wake

  MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa kwanza wa...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Namna Ruto alivyomshinda Odinga uchaguzi mkuu Kenya

  KAMPENI za wafuasi wengi zilizoegemezwa katika simulizi kali za ma-hustlers (watafutaji) sambamba na uungwaji mkono kutoka kwa maeneo yenye utajiri wa kura...

Habari za SiasaTangulizi

Samia aungana na viongozi Afrika kumpongeza Ruto

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameungana na viongozi wengine wa Bara la Afrika kwa kumpongea mshindi wa nafasi ya urais pamoja na kuwapongeza...

Makala & Uchambuzi

Dk. Kahangwa: Hi ndio tofauti kati ya uchaguzi wa Kenya, Tanzania

  YAPO masuala ya kijiografia, kihistoria, kijamii na kiuchumi yanayofanya nchi mbili za Afrika Mashariki; Kenya na Tanzania zifanane na kuwa na udugu...

KimataifaTangulizi

Ruto: Nitaongoza Serikali kwa uwazi na demokrasia

  RAIS Mteule wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto amewahakikishia wananchi kuwa ataongoza Serikali kwa uwazi na demokrasia ya hali ya juu huku...

KimataifaTangulizi

Ruto aibuka mshindi Urais Kenya kwa asilimia 50.49

  MGOMBEA Urais wa Muungano wa Kenya Kwanza na Chama cha UDA, William Ruto ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu kwa kura 7,176,141...

Habari za Siasa

Askari 818 wahitimu, wawili watimuliwa chuo cha uhamiaji

  MKUU wa Chuo cha Uhamiaji, Mrakibu Moses Lusamba, amesema jumla ya askari 818 wamehitimu mafunzo ya awali ya chuo cha uhamiaji huku...

Habari za Siasa

Dk. Makakala: Chuo cha uhamiaji chachu maendeleo, usalama

  KAMSHINA Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji Dk. Anna Makalala amesema kuanzishwa kwa Chuo cha Uhamiaji kutakua ni chachu ya maendelo na usalama...

Habari za Siasa

RC Mgumba aeleza faida chuo cha uhamiaji kuwepo mkoani Tanga

  MKUU wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba, amelezea faida za uwepo wa chuo cha mafunzo cha uhamiaji mkoani Tanga ikiwemo kuimarisha ulinzi...

Habari za Siasa

Samia aagiza maofisa uhamiaji waliohusika ubadhirifu viza kushughulikiwa

  RAIS wa Jamhurii ya uungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Kamishna Jenerali wa Jeshi La Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, “kuwashughulikia” maofisa...

HabariMichezo

Ligi Kuu kuanza kutimua vumbi leo

Ligi kuu ya soka Tanzania Bara msimu wa 2022/23 kuanza kutimua vumbi leo 15 Agosti 2022 kwa kushuhudia mechi mbili katika viwanja viwili...

KimataifaTangulizi

Uchaguzi Mkuu Kenya- mbivu, mbichi leo

WAKENYA watajua rais wao mpya wakati wowote kuanzia leo wakati Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati akiwa amebakisha...

KimataifaTangulizi

Odinga aibuka, ahubiri amani, maridhiano

MGOMBEA urais nchini Kenya kupitia muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga jana Agosti 14, 2022 ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu...

MichezoTangulizi

Yanga yairarua Simba, Mayele atetema

  KLABU ya Soka ya YANGA imeanza vema msimu mpya kwa kutetea taji lao la Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 2-1...

KimataifaTangulizi

Salman Rushdie apumulia mashine baada ya kuchomwa visu Marekani

MWANDISHI wa habari mzaliwa wa Mumbai nchini India, Salman Rushdie, anapumulia mashine hospitalini baada ya jana tarehe 12 Agosti, 2022 kushambuliwa na visu....

Habari MchanganyikoTangulizi

UTAFITI: Vyakula vya baharini, wanyamapori chanzo cha Covid-19

IMEELEZWA kuwa Soko la vyakula vya baharini na wanyamapori la Huanan lililopo katika mji wa Wuhan nchini China ndio kitovu cha mlipuko wa...

Habari za SiasaTangulizi

Samia akemea wazazi wanaowapa watoto ulanzi

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wazazi na walezi wa mkoa wa Iringa kuacha kuwapa watoto wao pombe ya kienyeji aina ya...

KimataifaTangulizi

Mawakala Odinga, Ruto wachelewesha matokeo, Chebukati atishia kuwatimua

KUCHELEWESHWA kutangazwa kwa matokeo ya urais kumezidi kuzua wasiwasi nchini Kenya huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ikilaumu mawakala wa Naibu...

Habari za Siasa

RC Makalla aagiza mabasi yote kupita stendi ya Magufuli

  MKUU wa mkoa Dar es salaam Amosi Makala awapa siku 14, kamanda wa kikosi cha usalama barabarani kanda maalumu ya Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waliofukuzwa CUF na kupoteza ubunge washinda kesi

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania leo tarehe 12 Agosti, 2022, imesoma Hukumu ya Kesi namba 143 ya Mwaka 2017 iliyofunguliwa na Miza Bakari...

Habari za Siasa

Barabara ya Kibena-Lupembe-Madenge-Morogoro kujengwa kwa kiwango cha lami

  WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kutokana na umuhimu wa barabara ya kuanzia Kibena-Lupembe-Madege mpaka Morogoro, Serikali imetenga kiasi...

Habari za Siasa

Mbunge wa Makambako aishukuru Serikali uboreshaji huduma za kijamii

  MBUNGE wa jimbo la Makambako nchini Tanzania, Deo Sanga, amesema kujengwa kwa vituo vya afya takribani vitano katika halmashauri ya wilaya ya...

KimataifaTangulizi

Kikwete: Asiyekubali matokeo Uchaguzi Kenya aende mahakamani

KIONGOZI wa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametoa wito kwa wagombea...

ElimuHabari

Tume ya Ajira yataja sababu vijana kukosa ajira

  SECRETARIETI ya Ajira, imesema moja ya chngamoyo inayosababisha vijana wengi kukosa ajira ni kushindwa kujiandaa vizuri kabla ya kwenda kwenye usaili wa...

MichezoTangulizi

Sherehe zimekwisha sasa tukutane Agosti 13

MIONGONI mwa burudani zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni pamoja na kilele cha Siku ya Mwananchi na Siku ya Simba, sherehe ambazo huambatana na...

HabariMakala & UchambuziTangulizi

FUATILIA MOJA KWA MOJA MATOKEO UCHAGUZI MKUU KENYA HAPA

RAIA wa Kenya jana tarehe 9 Agosti, 2022 wamejitokeza kupiga kura kumchagua rais, gavana, seneta, mwakilishi wa wanawake, mbunge na mwakilishi wa wadi. Katika...

HabariMichezo

Serena Williams atangaza ‘kuondoka’ kwenye mchezo wa tenisi

  MCHEZAJi maarufu wa tenisi ulimwenguni, Serena Williams, amepanga kujiuzulu rasmi mchezo huo, akisema kuwa atakuwa “anaondoka ” katika mchezo huo baada ya...

HabariHabari za Siasa

Zitto: Kenya ipo mbele sana uwazi katika uchaguzi

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo cha nchini Tanzania, Zitto Kabwe, amesema Taifa la Kenya lipo mbele katika uwazi kwenye uchaguzi mkuu. Anaripoti...

HabariTangulizi

Ruto, Raila wachuana vikali matokeo ya awali

  Matokeo ya mapema yanaonesha kwamba mgombea wa Muungano wa Azimio Raila Odinga amekuwa akitatizika kupata asilimia 20 ya kura zilizopigwa katika maeneo...

HabariMichezo

Simba wamponza Meneja Uwanja wa Mkapa, ang’olewa

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezho, Mohamed Mchengerwa leo tarehe 9, 2022 amemuagiza Katibu Mkuu wizara hiyo, Dk. Hassan Abbasi kumpangia majukumu mengine...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Kilaini alaani Klabu ya Simba kutumia msalaba kwa dhihaka

ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini amelaani kitendo cha klabu ya Simba kutumia msalaba kufanya dhihaka na kusema ni “dharau...

Tangulizi

Watu 20 wafa ajalini, Rais Samia atoa pole

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia za watu 20 waliofariki ajalini na wengine 15 kujeruhiwa. Anaripoti Erick Mbawala, TUDARco...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Pakistan kinara wa unyanyasaji, utekaji na ubakaji wanawake

  WAKATI Dunia ikihubiri haki na usawa wa kijinsia huko nchini Pakistani wanawake wamekuwa wakifanyiwa ukatili wa kijinsia , kubakwa na kutekwa nyara....

error: Content is protected !!