Categorizing posts based on type of post
LEO Jumatatu tarehe 5 Septemba, 2022 Mahakama ya Juu ya Milimani ya Kenya inatarajiwa kutoa maamuzi yake kuhusu kesi ya urais iliyosikilizwa kuanzia...
By Gabriel MushiSeptember 5, 2022SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limesema uuzaji wa bia hautaruhusiwa ndani ya uwanja wakati mechi ikiwa inaendelea isipokuwa kwa masharti maalumu...
By Gabriel MushiSeptember 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Afya kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini na kutoa utaratibu kama watu waendelee...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamua kusikiliza mapingamizi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mawakili wa Mbunge wa viti Maalum (Chadema), Halima Mdee...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2022WATU watano wamepoteza maisha huku 54 wakijeruhiwa Katika ajali ya Basi lililogongana na Fuso uso kwa uso eneo la Ibadakuli Manispaa ya...
By Masalu ErastoSeptember 3, 2022Klabu ya soka ya Simba ya Jijini Dar es Salaam leo Septemba 2 2022 imepata pigo baada aliyekuwa daktari wa timu ya...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022Timu ya Soka ya wanawake ya Simba (Simba Queens) leo Septemba 2 2022 imepewa basi na kampuni ya uuzaji wa magari ya...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 2 Septemba, 2022 ameanza ziara visiwani Zanzibar ambapo pamoja na mambo mengine amezindua kituo kipya...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022KESI ya kupinga uchaguzi wa rais mteule William Ruto katika mahakama ya Juu nchini Kenya leo Ijumaa tarehe 2 Septemba, 2022, imeingia...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2022WAZIRI wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) nchini Tanzania, Innocent Bashungwa, amesema tozo za miamala zimekuwa mwarobaini wa kuboresha...
By Masalu ErastoSeptember 1, 2022WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ametetea tozo zinazotozwa kwenye miamala ya kielekroniki licha ya kukiri kuwa anatambua...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2022WIZARA ya Afya imeeleza chanzo cha kuelemewa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF), ni kuongezeka kwa idadi kubwa ya wananchi...
By Danson KaijageSeptember 1, 2022WACHEZAJI wa kimataifa Tuisila Kisinda pamoja na nyota kutoka Burundi Saido Ntibanzokiza wameng’ara dakika za mwisho wakati wa kufungwa kwa dirisha la...
By Kelvin MwaipunguSeptember 1, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa msimamo madhubuti dhidi ya mwenendo wa ufisadi ndani ya Serikali ya Zanzibar na kutaka hatua za kisheria zichukuliwe...
By Jabir IdrissaAugust 31, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Jumatano tarehe 31, 2022, limemwachia kwa dhamana laiyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli...
By Masalu ErastoAugust 31, 2022MSEMAJI wa sekta ya uwekezaji, mashirika ya umma na hifadhi ya jamii wa ACT wazalendo, Mwanaisha Mndeme, amesema kuanzia mwaka 2018 hadi 2022...
By Masalu ErastoAugust 31, 2022MFANYABIASHARA Patrick Christopher Kamwelwe mkazi wa New York nchini Marekani ameshusha tuhuma nzito dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2022MJANE wa Marehemu Agustino Mrema amesema hadi sasa ameshapokea watoto watatu wa nje ya ndoa wa mume wake ambao walikuwa hawajapokewa na...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2022MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillius Wambura amesema takwimu zinaonesha makosa ya jinai pamoja na ajali za barabara zimeongezeka katika kipindi...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kujikita katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa lengo la...
By Masalu ErastoAugust 30, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi kuboresha kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliani...
By Masalu ErastoAugust 30, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kinatarajia kufanya kikao cha Halmashauri Kuu tarehe 4 Septemba mwaka huu ambapo pamoja na mambo mengine kitaidhinisha jina la...
By Masalu ErastoAugust 30, 2022MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya leo Jumanne tarehe 30, Agosti, 2022 imeanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2022JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amesema ndani ya miezi 15 mahakama imepata ongezeko la majaji 52, tisa wakiwa wa Mahakama ya...
By Masalu ErastoAugust 29, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wataendelea kusota gerezani baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2022WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, George Simbachawene, ameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kushughulikia mgogoro...
By Gabriel MushiAugust 28, 2022MJI mdogo wa Mirerani uliopo katika wilaya Simanjiro mkoani Manyara umeongeza bilione mpya wa madini ya Tanzanite baada ya mchimbaji mdogo Anselim...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2022MKE wa marehemu Augustine Mrema, mwanasisasa mashuhuri nchini aliyefariki dunia 21 Agosti na kuzikwa juzi Alahmisi, Doreen Kimbi Mrema, ameanza kuonja joto ya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2022WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wametakiwa kuachana na ujenzi wa barabara za kiwango cha lami zenye uwezo wa kubeba...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2022TAARIFA zilizotufikia hivi punde Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limemkamata aliyekuwa Meneja wa TRC mkoa wa Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2022MAWAKILI wa upande wa waleta maombi wamepinga upande wa washtakiwa (Chadema), kuwahoji Halima Mdee na wenzake saba ambao waliitwa mahakamani leo kwaajili...
By Masalu ErastoAugust 26, 2022KWA mara ya kwanza Halima Mdee na wenzake sita, ambao ni Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama wa Chadema, wamefika mahakamani kuitika...
By Masalu ErastoAugust 26, 2022MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA kati ya tarehe 18 Juni na 12 Julai 2022 kwa wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu,...
By Masalu ErastoAugust 25, 2022NYUMBA ya mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, marehemu James Mapalala imebomelewa kwa amri ya mahakama baada ya Mahakama Kuu Tanzania kutupilia mbali kesi...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam inatarajiwa kuanza kusikiliza rasmi shauri la kupinga kuvuliwa uanachama la Halima Mdee na wenzake 18...
By Faki SosiAugust 25, 2022MKURUGENZI Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, anayekabiliwa na tuhuma za ufisadi, ametinga ofisi za Taasisi...
By Gabriel MushiAugust 25, 2022MAWAKILI kadhaa wamejitokeza kumtetea kisheria aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye iwapo atahitaji msaada...
By Gabriel MushiAugust 25, 2022ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Henry Mchamungu amesema kuwa Hayati Agustino Mrema alikuwa kiongozi wa kipekee kutokana uweledi aliouonesha...
By Masalu ErastoAugust 24, 2022WAPIGA kura nchini Angola wanapiga kura leo tarehe 24 Agosti, 2022 kumchagua rais mpya. Uchaguzi huo umetajwa kuwa na ushindani mkali kuwahi kushuhudiwa tangu...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema linamshikilia askari aliyehusika katika tukio la kumpiga mtuhumiwa tukio ambalo lilionekana katika video iliyosambaa kwenye kitandao ya...
By Gabriel MushiAugust 24, 2022VIJANA watatu wa Kitanzania, wamefanikiwa kujiunga na Shirika la Kanisa Katoliki la Wahudumu wa Wagonjwa (Camillians) Tanzania na kuweka nadhiri zao za kwanza....
By Gabriel MushiAugust 23, 2022HATIMAYE jamii ya kabila la Wahadzabe leo tarehe 23 Agosti, 2022 wamekubali kuhesabiwa baada ya kupatiwa nyama pori na matunda kama walivyokuwa wameomba...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022, Anne Makinda amesema iwapo makarani wa sensa wakifanya kazi yao kwa ufanisi na uharaka...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022WAKATI masikio ya Watanzania yakiwa yamepumzika kusikia taarifa za kutekwa au kuuawa raia na watu wasiojulikana, matukio hayo yanaanza kurejea taratibu. Tukio la...
By Gabriel MushiAugust 23, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi ambao hawatafikiwa kesho tarehe 23 Agosti, 2022 na makarani wa sensa kuhakikisha wanatunza kumbukumbu...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema taarifa zitakazokusanywa na makarani wa sensa nchi nzima ni taarifa za siri kwa mujibu wa sheria ya...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2022MWILI wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Agustino Lyatonga Mrema unatarajiwa kuzikwa Alhamisi tarehe 25 Agosti, 2022 nyumbani kwake...
By Masalu ErastoAugust 22, 2022SERIKALI imepongeza mchango wa Global Education Link (GEL) kwa namna ambavyo imekuwa ikisaidia kuwaunganisha wanafunzi wa Tanzania kusoma taaluma mbalimbali vyuo vikuu...
By Kelvin MwaipunguAugust 22, 2022MHADHIRI wa uchumi kutoka Chuo kikuu caha Dar Es Salaam, Profesa Humphrey Moshi, amemtaka waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba pamoja...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustino Mrema kilichotokea...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2022