Tuesday , 21 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoTangulizi

Majina 19 waliofariki ajali ya ndege Bukoba yatajwa, wamo Rubani na msaidizi wake

  MAJINA ya watu 18 kati ya 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Jumapili asubuhi katika Ziwa Victoria...

Habari MchanganyikoTangulizi

19 wafariki dunia ajali ya ndege Bukoba

WATU 19 wakiwemo abiria na wahudumu wamefariki dunia katika ajali ya ndege ya shirika la Ndege la Precision Air iliyotokea asubuhi ya leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watatu wapoteza maisha ajali ya ndege Bukoba

WATU watatu kati ya 27 waliookolewa hadi sasa wameripotiwa kupoteza maisha katika ajali ya ndege ya Kampuni ya Precision iliyotokea Bukoba mkoani Kagera....

ElimuHabari

Watakaofiwa na wazazi St Anne Marie kuendelea kusoma bure

MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Dk. Jasson Rweikiza, amesema mwanafunzi ambaye atafiwa na wazazi wake wakati akiendelea na masomo kwenye shule yake ya St...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watu 26 kati 43 waokolewa katika ajali ya ndege Bukoba

  MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila, amesema watu 26 wameokolewa kati ya 43 waliokuwa kwenye ndege ya Precision ambayo imepata ajali...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ndege ya Precision ‘yaanguka’ Bukoba

  NDEGE ya kampuni ya Precision kutoka Tanzania, iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam, kuelekea Bukoba, imepata hitilafu na kulazimika kutua majini mjini...

Habari za SiasaTangulizi

Aliyefariki kwenye foleni ya mbolea azua zogo bungeni

  TAARIFA za mwananchi aliyedaiwa kupoteza maisha akiwa kwenye foleni ya mbolea wilayani Songea mkoani Ruvuma, zimeibua mvutano mkali bungeni baada ya Mbunge...

Habari za Siasa

Msilalamike, tunadhibiti uhalifu – Mwinyi

  MALALAMIKO yaliyojaa mitaani yakihusu mfumo wa kukabiliana na kukua kwa kiwango cha uhalifu Zanzibar hayajamsukuma Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi...

Habari za SiasaTangulizi

Shigongo ataka wasio waadilifu wachapwe viboko

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo (CCM) amependekeza watumishi wa umma wasio waadilifu wachapwe viboko ili kukomesha ubadhirifu wa fedha za umma pamoja...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makamba aanika mikakati kutekeleza maagizo ya Samia kuhusu nishati safi

KATIKA kuhamasisha Watanzania kuachana na nishati chafu ya kupikia na kuhamia kwenye nishati safi, Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kwa mwaka huu...

Habari za Siasa

Mwenzake Mdee adai Chadema iliwapa mashtaka mapya

  MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai Chama Cha Chadema, kiliwafanyia umafia katika mchakato wa kuwavua uanachama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Hanje apasua ‘jipu’ Mahakamani, awataja Mnyika na Mbowe uteuzi wake

  MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, ameshauri suala lao la kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, lirudishwe ndani ya chama hicho, kwani kuendelea kuwepo...

Habari za SiasaTangulizi

Nusrat Hanje ashangaa Chadema kumteua mbunge kisha kumkataa hadharani

  MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai alikosa nafasi ya kujitetea kwa mdomo katika Baraza Kuu la Chadema, Ili kueleza viongozi wake waliomteua...

Habari za Siasa

Bunge laibana Serikali mkataba wa KADCO

  BUNGE la Tanzania limeitaka Serikali kutoa ufafanuzi wa kwanini mkataba wa Kampuni ya Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro...

Habari za Siasa

Mongela: Hakuna baba anayetaka mwanamke anayenuka moshi, tukomboke!

  MWANASIASA mkongwe na mwanaharakati wa masuala ya wanawake, Balozi Getrude Mongella ametoa wito kwa wanawake kujikomboa kutoka kwenye matumizi ya nishati chafu...

Habari za SiasaTangulizi

Mvutano waibuka mwenzake Mdee akihojiwa mahakamani, adai Wakili alimpania

  MVUTANO mkali umeibuka kati ya Wakili wa Chadema, Peter Kibatala na mleta maombi namba 11, Hawa Mwaifunga, kuhusu ajenda za kikao Cha...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi kupinga kufukuzwa Chadema: Kina Mdee kuendelea kuhojiwa mahakakani

  HAWA Mwaifunga, aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama Cha Chadema (BAWACHA), Leo Alhamisi, tarehe 3 Novemba 2022, anaendelea kuhojiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Maridhiano ndo chachu ya uchumi Zbar – Mwinyi

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jukumu muhimu la kuipatia nchi uchumi mzuri, halitafanikiwa iwapo hakuna amani na utulivu katika...

Habari za SiasaTangulizi

Wadau wataka mjadala wa kitaifa matokeo ya sensa

  SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuitisha mjadala wa kitaifa kuhusu takwimu za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, ili kubaini...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ruzuku yaendelea kushusha bei ya mafuta

  MAMLAKA  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini ambapo...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yashauri TIC iwe mamlaka kamili

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, imependekeza kuwa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kipewe mamlaka kamili badala ya...

ElimuHabari za Siasa

Bodi ya Mikopo ya wanafunzi kuhojiwa bungeni

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), ifike mbele ya Kamati ya...

Habari za Siasa

Samia ampa mwaka mmoja Makamba

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa muda wa mwaka mmoja (2023) kwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhakikisha taasisi zote kubwa nchini ikiwamo...

Habari za Siasa

CUF yalia na Rais Samia kuhusu tume huru ya uchaguzi, katiba mpya

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atembee katika maneno yake kuhusu upatikanaji wa maridhiano ya kitaifa Kwa kuhakikisha Tume Huru...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ataka kasi ongezeko la watu ipunguzwe, ataja athari zake

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya ongezeko la idadi ya watu, ili kukabiliana na athari...

Habari za SiasaTangulizi

Matokeo ya Sensa 2022: Idadi ya watu Tanzania yafikia Mil. 61.7

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa idadi ya Watanzania imefikia milioni 61.7 kufikia tarehe 31 Oktoba 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

ElimuHabari

Dk. Mwinyi mgeni rasmi kongamano la uchumi na biashara la CBE

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeandaa kongamano la maendeleo ya biashara na uchumi ambalo linatarajaiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein...

Habari za Siasa

Shaka: Rais Samia aungwe mkono bila kujali itikadi za kisiasa

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema ni jukumu la Watanzania wote kumuunga...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aanika idadi ya majengo, yapo ya shule na afya

  NCHI ya Tanzania, ina majengo 14,348,372 (milioni 14.3), ambapo Bara kuna majengo 13,907,951 na Zanzibar 440,421. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

 Takwimu za sensa zitaondoa masharti magumu ya mikopo

  MKURUGENZI wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Daktari Albina Chuwa, amesema takwimu za sensa ya watu na makazi za 2022, zitasaidia...

Habari za Siasa

Makinda: Matokeo ya sensa yataendelea kutolewa

  KAMISAA wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, Anna Makinda, amesema matokeo ya zoezi hilo yataendelea kutolewa baada ya Rais Samia...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Nilimwombea mama asife hadi aone naapishwa kuwa Rais

  KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameoneshwa shahuku na ndoto aliyonayo ya kuwa Rais wa Tanzania, baada kusimulia alivyokuwa akimfariji mama yake kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wahudhuria uzinduzi makao makuu ya ACT-Wazalendo

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimehudhuria uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo lililopewa jina la Maalim Seif...

Habari za Siasa

Haya hapa majina 10 madiwani viti maalumu walioteuliwa na NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzo leo tarehe 30 Oktoba, 2022 imetangaza majina 10 ya madiwani wanawake wa viti maalumu walioteuliwa kujaza nafasi 10...

Habari za Siasa

DP yaja na ‘Mlete Mzalendo Twende Pamoja’

CHAMA cha Democratic (DP) kimekuja na ‘Kampeni ya Mlete Mzalendo Twende Pamoja’ yenye lengo la kujenga chama na kuhakikisha kinafanya vizuri katika uchaguzi...

Habari za Siasa

Majaliwa awafunda Watanzania ughaibuni

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi Watanzania wanaoishi ughaibuni kuwa mabalozi wazuri kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi wanazoishi ili kujenga taswira...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aeleza tume huru uchaguzi ilivyogonga mwamba kikosi kazi cha Rais

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani katika Kikosi Kazi cha Rais...

AfyaHabari

Hospitali KAM Musika yapima bure saratani tezi dume

KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hospitali ya KAM Musika ya Kimara...

Habari MchanganyikoTangulizi

Daraja jipya la Wami laanza kutumika

  WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameruhusu Magari kuanza kutumia daraja jipya la wami kufuatia Ujenzi wake kukamilika kwa asilimia...

Tangulizi

CRB yawanoa makandarasi kuhusu biashara na fedha

MAKANDARASI nchini wametakiwa kuacha tabia ya kulalamika badala yake waweke juhudi ili wapate kazi kubwa zinazotangazwa ndani ya nje nchi. Na Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia amburuza Selasini kortini, amdai fidia ya Bil. 3

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amemfungulia kesi Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la chama hicho, Joseph Selasini, katika Mahakama Kuu,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ashauri kuondoshwa Tozo kwenye Korosho

  MBUNGE wa Ndanda Cecil Mwambe ameishauri Serikali kufuta tozo zilizokuwepo kwenye utaratibu za maozo ya kurosho ghafi ili kunusuru bei ya korosho...

Tangulizi

Kamati ya Makamu Wakuu wa Vyuo yataka mikopo iongezwe

KAMATI ya Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini (CVCPT), imeishauri serikali kuongeza wigo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili...

Makala & Uchambuzi

Haya yafanyike kuvutia wawekeza sekta ya habari

  NI ukweli usiopingika  kwamba vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa nchi, ambao una mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya taifa...

HabariMichezo

Yanga yajitokeza Sakata la Nabi

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukanusha taarifa ya kuondoka kwa kocha wao Mkuu, Mohamed Nabi mara baada ya kuenea tetesi za kuachana...

ElimuTangulizi

Waziri awafuta kazi walimu waliombadilishia namba ya mtihani mwanafunzi la 7

  SERIKALI imeifungia Shule ya Awali na Msingi ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha Mitihani pamoja na kuwafuta kazi wasimamizi wa mtihani...

ElimuMakala & UchambuziTangulizi

Mwanachuo aliyepasuliwa korodani na Polisi afichua mazito

  MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa  na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima aibua gumzo akifanya uteuzi jimboni kwake

MBUNGE wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi, Askofu Josephat Gwajima, ameibua gumzo baada ya kutangaza kufanya uteuzi wa wasaidizi wake wawili katika masuala...

KimataifaTangulizi

Wahariri wataka uchunguzi mauaji ya mwandishi wa habari

CHAMA cha Wahariri nchini Kenya (KEG) kimetoa wito ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu mauaji ya kushtua ya mwanahabari wa Pakistani, Arshad Sharif. Sharif...

KimataifaTangulizi

Mwanasiasa mwenye asili ya Tanzania, Kenya aukwaa uwaziri mkuu Uingereza

  MWANASIASA wa Uingereza Rishi Sunak amechaguliwa jana tarehe 24 Oktoba, 2022 kuwa kiongozi wa chama cha Conservative na atakuwa waziri mkuu ajaye,...

error: Content is protected !!