October 6, 2022

Uhuru hauna Mipaka

FUATILIA MOJA KWA MOJA MATOKEO UCHAGUZI MKUU KENYA HAPA

Spread the love

RAIA wa Kenya jana tarehe 9 Agosti, 2022 wamejitokeza kupiga kura kumchagua rais, gavana, seneta, mwakilishi wa wanawake, mbunge na mwakilishi wa wadi. Katika uchaguzi huo ambao jumla ya wakenya milioni 22 walijiandikisha huku mchuano mkali ukiwa ni kati ya Raila Odinga na William Ruto.

Ingia hapa kufuatilia matokeo ya Uchaguzi huo.

error: Content is protected !!