Categorizing posts based on type of post
SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya tathimini ya kuangalia uwezekano wa kutoa mikopo ya Halmashauri kwa mtu mmoja mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022SERIKALI imesema mara baada ya kukamilisha mifumo mipya ya kupima utendaji kazi wa watumishi wa umma, itapeleka bungeni Muswada wa Sheria uweze...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022KUNA usemi usemao “usilolijua ni sawa na usiku wa giza” na ndivyo wamiliki wa kumbi za starehe maeneo yaliyo karibu na vyuo...
By Masalu ErastoJune 29, 2022KLABU ya Simba siku ya jana ilimtambulisha Zoran Maki Manojlovi, raia wa Serbia kuwa kocha wao mkuu ambaye anakuja kurithi mikoba ya...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Tuma Abdallah kuwa Mhariri Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya...
By Mwandishi WetuJune 28, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 22, kwa tuhuma za kufanya uhalifu kwa njia ya mtandao. Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJune 28, 2022BAADHI ya wabunge wameibana Serikali kuhusu mgawo wa ajira mpya za watumishi wa umma wa kada ya afya, katika maeneo yenye upungufu....
By Regina MkondeJune 28, 2022MBUNGE wa jimbo la Kisesa nchini Tanzania amelishauri Bunge kubadilisha utaratibu wa kupitisha Bajeti ya Serikali kwa kukamilisha kwanza Sheria ya Fedha kisha...
By Mwandishi WetuJune 28, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema ziara za mkuu wa nchi hiyo Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zimeongeza uwekezaji wa ndani kwa...
By Mwandishi WetuJune 28, 2022BALOZI mpya wa Urusi nchini Tanzania, Andrei Avetisyan, amesema nchi yake imejipanga kuja na mikakati ya kuimarisha uhusiano na ushawishi wake katika...
By Regina MkondeJune 28, 2022WAZIRI MKUU wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri wasimamie ipasavyo matumizi ya fedha zilizokusanywa na zile zinazotoka Serikali Kuu...
By Mwandishi WetuJune 28, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa zuio la muda la kutofanyika chocholate kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa ndiye aliyemjengea uwezo na kumshika...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022MWENYEKITI wa Mfuko wa Fursa sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa ambaye pia ni mke wa Hayati Rais Benjamin Mkapa amesema...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022WABUNGE wa viti maalum nchini Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wasio na chama bungeni, leo Jumatatu tarehe 27 Juni 2022 wameendelea...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022Klabu ya soka ya Yanga, hii leo tarehe 26 Juni 2022, ilisimamisha jiji la Dar es Salaam, kwa hafla yao ya kusherekea...
By Kelvin MwaipunguJune 26, 2022KLABU ya Simba imejikuta kwenye wakati mgumu, kufuatia kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukubali kichapo cha bao 1-0,...
By Mwandishi WetuJune 26, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumapili kimemtaka Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ajiuzulu nafasi hiyo kwa kushindwa kuwatimua bungeni wabunge...
By Gabriel MushiJune 26, 2022OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta...
By Gabriel MushiJune 26, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Innocent Bashungwa amesema nafasi 736 kada za afya zimekosa...
By Gabriel MushiJune 26, 2022OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta...
By Gabriel MushiJune 26, 2022JUMLA ya watu 17 wamepoteza maisha katika klabu moja ya usiku iliyopo katika Mji wa London Mashariki nchini Afrika Kusini, kutokana na hali...
By Gabriel MushiJune 26, 2022ASILIMIA 90 ya viwanda 33,000 vya kusindika vyakula vilivyofanyiwa sensa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) vimebainika kutoweka virutubishi. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiJune 26, 2022BAADHI ya waliokuwa viongozi na wanachama wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati wa Chadema (CHASO), wametaja sababu...
By Mwandishi WetuJune 25, 2022KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetoa mapendekezo manne juu ya namna bora ya ufufuaji mchakato wa upatikanaji katiba mpya...
By Mwandishi WetuJune 25, 2022BAADHI ya wabunge wa viti maalum wasio na chama katika Bunge la Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wameshindwa kuamua juu ya...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SERIKALI ya Tanzania, imetoa ufafanuzi kuhusu pendekezo lake la kuwakopesha magari watumishi wa umma, pamoja na kusitisha mishahara ya wanaovuliwa nyadhifa zao...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SERIKALI ya Tanzania, imesema ongezeko la deni la taifa linatokana na hatua yake ya kukopa fedha, kwa ajili ya kutekeleza miradi ya...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SERIKALI ya Tanzania, imesema haitarudisha kikokotoo cha zamani cha mafao ya wastaafu cha asilimia 50, kwa kuwa hakileti usawa katika ugawaji wa...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022CHANZO cha ugomvi uliosababisha kifo cha Esther Gadeu anayedaiwa kuuawa na mumewe, Godbles Sawe kimetajwa kuwa ni madai ya wivu wa kimapenzi...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SIKU mbili kupita tangu Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi CCM baada ya Kumalizika Kikao Cha Halmashauri Kuu kilichofanyika jana Dodoma,...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022CHAMA cha Chadema, kimemwandikia barua Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumkumbusha kuhusu utekelezaji wa barua yake ya tarehe 12 Mei 2022,...
By Masalu ErastoJune 23, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Akson, ameitaka Serikali kutoa majibu hoja ya suala la Serikali kushindwa kuagiza magari moja kwa...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewahakikishia wakazi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022NIKIWA kwa babu miaka fulani hivi nikienda kumjulia hali, tukiwa katikati ya mazungumzo yetu, babu alinishangaza kwa jinsi alivyokuwa anawajua na kuwatambua...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson ameagiza maneno ya Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022LICHA ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba kufungua kesi...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022KIKAO cha Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na...
By Danson KaijageJune 22, 2022BAADA ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu kuyatupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi ya kupinga...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022SERIKALI imesema inaweka mazingira mazuri kuhakikisha kipaumbele kwenye fursa zilizoko kwenye uchumi wa bluu kinakuwa kwa watanzania kabla ya wageni kunyakua fursa...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022KATIKA kutimiza miaka 60 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi inajivunia kutoa wataalum wengi...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022Mara baada ya tarehe 15 Juni 2022, kutangzwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya Yanga itakabidhiwa rasmi kombe...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2022MARA baada ya kuhudumu katika kipindi cha misimu sita, hatimaye klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza immemruhusu rasmi kuondoka kwenye klabu hiyo,...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, amekataa kupokea taarifa ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, iliyoeleza kuwa...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MBUNGE wa Viti Maalum kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lucy Mayemba amechangia Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MGOGORO wa kiuongozi unaoendelea ndani ya Chama cha NCCR-Mageuzi umeendelea kukitikisa na upande wa Mwenyekiti, James Mbatia umeibuka na kuzitaka mamlaka zote...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MBUNGE wa jimbo la Kilwa Kusini nchini Tanzania, Ally Kassinge, amepinga hatua ya Serikali kutaka kushusha mishahara ya watumishi wanaomaliza nafasi zao...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022HATIMA ya Halima James Mdee na wenzake 18, kuendelea kuupigania ama kuutema, ubunge wao wa Viti Maalum, wanaodaiwa kuupata kinyemela, utajulikana leo...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MBUNGE wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota ameshauri Serikali ichukue maamuzi magumu wa kufufua viwanda 12 vya kubangua korosho kwa kuwa waliopewa wamegeuza...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022