Categorizing posts based on type of post
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, amesema ndani ya chama hicho hakuna mpasuko, kama inavyovumishwa...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2022MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Julai ambapo bei ya petroli...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametembelea ofisi za magazeti ya Raia Mwema na MwanaHALISI, ikiwa ni muendelezo...
By Regina MkondeJuly 5, 2022Mgombea wa nafasi ya Urais katika klabu ya soka ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Injinia Hersi Saidi leo 5 julai,...
By Masalu ErastoJuly 5, 2022SHULE za Sekondari za Serikali, pamoja na watahiniwa wasichana, wameng’ara katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022MAHAKAMA Kuu, Masjala ya Dodoma, imeahirisha usikilizwaji wa kesi ya Chadema dhidi ya Jeshi la Polisi baada ya Mawakili wa Jamhuri kutofika...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya CCBRT ambalo lina uwezo wa kuhudumia wajawazito 12,000 kwa...
By Masalu ErastoJuly 5, 2022WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa Sh54 bilioni kwa ajili ya kugharamia mradi wa maji wa Chiuwe utakaohudumia wilaya za Ruangwa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kufikiria upya mpango wake wa kununua vifaa vya treni ya umeme vilivyotumika, maarufu kama mitumba, ili kujua kama...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 4 Julai, 2022 ametengua uteuzi wa mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Eric...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2022NI Bajeti ya viwango inayokwenda kulainisha na kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wote. Hii inatokana na vipengele kadhaa vilivyoanishwa na serikali kupitia...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema haridhishwi na kasi ya utendaji wa bandari za Tanzania na kuwataka watendaji waache siasa na longolongo wakati wa...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imetoa fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya treni ya kisasa, huku akisema miongoni mwa vifaa...
By Gabriel MushiJuly 4, 2022TAASISI ya Mahusiano na Mawasiliano ya Umma nchini Tanzania (IPRT) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji (MOU) baina yake na Chuo Kikuu cha...
By Gabriel MushiJuly 3, 2022WATU saba wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Landcruiser yenye namba za usajili STL 9534...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2022MARA Baada hii leo tarehe 2 Julai 2022, klabu ya soka ya Yanga kufanikiwa kutwaa taji la kombe la Shirikisho la Azam, timu...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2022MABAO matatu aliyofunga kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Yanga, yamemfanya mshmabuliaji kinda wa Coastal Union, Abdul Seleman Sopu, kuibuka kuwa kinara...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amegoma kumsamehe mwanasiasa mkongwe visiwani humo, Mzee Baraka Shamte, akisema hakuomba vizuri msamaha huo, kulingana na...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa kiasi cha Sh milioni tano kwa Amina Mshana aliyekuwa mraibu wa dawa za kulevya kwa muda wa...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2022NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, amezungumza na maofisa wa Ardhi wa mkoa wa Iringa, pamoja na...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2022ALIYEKUWA mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameibuka upya na kudai kuwapo...
By Saed KubeneaJuly 2, 2022HOSPITALI ya Taifa Muhimbili leo tarehe 1 Julai, 2022 imefanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na...
By Gabriel MushiJuly 1, 2022MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ameishauri Serikali na jamii, kujikita katika mipango ya maendeleo ya wananchi, badala ya...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022MRATIBU wa uhamasishaji wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Twaha Mwaipaya, anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema Tanzania itafanya sensa ya aina yake na...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022WASIMAMIZI na makarani wote wa sensa yam waka 2022 nchini Tanzania, wametakiwa kutanguliza uzalendo mbele kabla ya mambo mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene, amesema zoezi la uwekezaji anuani za makazi limefikia asilimia...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022SANAA ya filamu na muziki wa kizazi kipya ni miongoni mwa sanaa zenye nguvu na zinazojulikana na wengi zaidi hapa nchini. Ukimtaja Ali...
By Gabriel MushiJuly 1, 2022ALIYEKUWA mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameibuka upya na kudai kuwapo mkakati...
By Saed KubeneaJuly 1, 2022LEO Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi...
By Gabriel MushiJuly 1, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kutoanza kazi ya upandishaji hadhi mapori tengefu ikiwemo Loliondo hadi pale itakapokutana...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022SERIKALI nchini Tanzania imesema inakusudia kupima utendaji wa Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwa kutumia viashiria muhimu hususan usimamizi wa mapato na...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022VIGOGO wanne wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la kuisababishia...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022MAWAKILI wa pande mbili (waleta maombi na wajibu maombi) katika kesi ya Halima Mdee na wenzake 18 wameibua mvutano Mahakamani ikiwa kama...
By Regina MkondeJune 30, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema bado ataendelea kumpa majukumu Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kwakuwa bado ana nguvu....
By Mwandishi WetuJune 30, 2022MBUNGE wa jimbo la Kisesa nchini Tanzania, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alilidanganya bunge kwa kutoa takwimu mbili tofaui...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022WABUNGE viti maalum 19, wakiongozwa na Halima Mdee, wamewasilisha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, sababu tano za...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Wizara zote, Sekretarieti za mikoa na Serikali za mitaa kuhakikisha zoezi la utoaji anwani za makazi linakuwa...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022NAIBU Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Davidi Silinde,amesema kwa uzembe wowote utakaofanyika kwa na kukwamisha mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari...
By Danson KaijageJune 30, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kuanzia sasa fomu za kujiunga na sghule za umma sharti zipitiwe na makatibu Tawala wa Mikoa na...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza klabu ya soka ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJune 30, 2022MAOMBI ya kuomba kibali cha kufungua kesi ya madai kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...
By Regina MkondeJune 30, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob Mkunda kuwa Jenerali na kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi(CDF). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022Klabu ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara rasmi imeshuka daraja na kuungana na Mbaya Kwanza iliyokua ishashuka daraja tayari baada...
By Masalu ErastoJune 29, 2022HATIMA ya endapo Halima Mdee na wenzake 18 wataendelea kusalia kuwa wabunge itajulikana ndani ya siku 14 za usikilizaji wa shauri namba...
By Faki SosiJune 29, 2022CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kinatarajia kujenga majengo ya Chuo hicho katika eneo la Fumba Zanzibar ambapo ujenzi wake utagharimu Sh....
By Mwandishi WetuJune 29, 2022KLABU ya Yanga, rasmi imeingia kwenye rekodi ya kuwa moja ya timu iliyomaliza Ligi kuu Tanzania Bara, bila kupoteza mchezo wowote katika...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka watanzania kuachana na kauli za baadhi ya watu ambao...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Wakili wa Chadema, Peter Kibatala, la kuondoa mapingamizi yao dhidi ya kesi...
By Faki SosiJune 29, 2022