Friday , 26 April 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari MchanganyikoTangulizi

Waraka wa Maulid waibua mauaji haya

WARAKA wa Maulid (Sikukuu ya Maulid) uliotolewa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania umeibuka na matukio mbalimbali yaliyotokea nchini. Anaripoti Yusuph Katimba...

Habari za SiasaTangulizi

Waitara: Wathubutu waone

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amesisitiza kuwa, marufuku ya wazazi kuchangishwa michango ya wananfunzi shuleni...

KimataifaTangulizi

Mbunge aliyefyatua risasi bungeni apelekwa ICC

MBUNGE Alfred Yekatom maarufu kama Rambo, aliyekamatwa na vyombo vya dola baada ya kufyatua risasi bungeni nchini Afrika ya Kati (CAR) amefikishwa katika...

Habari za SiasaTangulizi

CUF Lipumba yakaza kamba

WAKATI uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukiendelea kukaribia mwakani, Chama cha Wananchi (CUF) kambi ya Prof. Ibrahim Lipumba imeeleza kuwa, ‘atakaye ajiunge nao.’...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali haijui athari za soko la Afrika Mashariki

SERIKALI imesema inafanya tathimini ili kujua athari ilizopata Tanzania kufuatia hatua yake ya kufungua masoko yake yote kwa pamoja katika soko la pamoja...

Habari za SiasaTangulizi

Sababu za wanawake kuota ndevu, wanaume matiti zatajwa bungeni

MBUNGE wa Viti Maalum, Zainab Mndolwa ameitaka serikali kufanya utafiti kuhusu madai ya baadhi ya wanawake kuota ndevu na wanaume kuota maziwa kutokana...

Habari za SiasaTangulizi

Mtolea awahi kabla ya dirisha la usajili CCM kufungwa

YAMETIMIA. Mbunge wa Temeke, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Abdallah Mtolea, hatimaye amejiuzulu nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mtolea ametangaza...

Habari za SiasaTangulizi

Wapinzani waliohamia CCM, wapewa ‘ofa’ maalum na Serikali

BAADHI ya mawaziri wamewapongeza wabunge waliohamia CCM wakitokea vyama vya upinzani, wakisema kuwa wana uhakika na kile walichokiamua katika kuungana na timu ya...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yatuhumiwa kuihujumu ilani yake

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetuhumiwa kuhujumu ilani yake ya uchaguzi wa mwaka 2015 na wabunge wa upinzani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Tizeba aibua shangwe bungeni

MBUNGE wa Buchosha, Dk. Charles Tizeba aliyekuwa Waziri wa Kilimo ameibua shangwe bungeni kwa kushangiliwa na wabunge aliposimama kwa ajili ya kuuliza swali...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awatimua wanunuzi wa Korosho, sasa kununuliwa na Serikali

RAIS John Magufuli amezikataa kampuni 13 zilizojitokeza kununua korosho ghafi na badala yake ameiagiza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kutoa fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awaapisha Mawaziri, Manaibu wapya

JOHN Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania muda mchache uliopita amewaapisha mawaziri wawili na manaibu wanne aliowateua siku ya Jumamosi tarehe 10 Novemba, 2018...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Zanzibar imetumbukizwa gizani

MKATABA  uliosainiwa Tarehe 23 Oktoba mwaka 2018 wa uchimbaji mafuta visiwani Zanzibar umetabiriwa kuwa ni chanzo kingeni cha Mgogoro ndani ndani ya Muungano...

Habari za SiasaTangulizi

Korosho yaondoka na mawaziri wawili

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya Baraza lake la Mawaziri ambapo Charles Mwijage na Dk. Charles Tizeba wametemwa. Anaandika Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aweka tayari magari ya kubebea Korosho

RAIS John Magufuli ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu, amekagua magari ya Jeshi ya Kikosi ncha Usafirishaji cha 95KJ ambayo yanaweza kutumika kubebea korosho...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Kabudi aukimbia mtego wa Zitto

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi ameshindwa kujibu kipengele B kwenye swali la Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuhusiana na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kumatwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa  Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Balozi wa EU latinga bungeni, Spika aligomea

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amegoma kuruhusu swali la Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe kutolewa majibu na...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri wa JPM abanwa bungeni

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango ametakiwa kutoa idadi ya wananchi waliotolewa kwenye unyonge wa umasikini, tangu serikali ya awamu ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili wa Nondo awageuzia kibao Polisi

JESHI la Polisi limetakiwa kufanya upelelezi wa waliohusika kumteka Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Ukawa waanza kwa kususa bungeni

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) bungeni wamesusa kushuhudia kuapishwa kwa wabunge wanne. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Leo vikao vya bunge...

Makala & UchambuziTangulizi

Kesi ya Abdul Nondo: Mahakama yathibitisha uongo wa Polisi

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Iringa imetoa hukumu yake katika kesi iliyokuwa inamkabili kiongozi wa Programu ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP),...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Nondo baada ya kuibwaga Serikali mahakamani

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo amesema hawezi kurudi nyuma katika harakati zake za kutetea haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Nondo aachiwa huru kesi ya kujiteka

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Iringa leo imemkuta Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo hana hatia hivyo imemuachia huru. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yagoma kufuta adhabu ya kifo

PAMOJA na kilio cha muda mrefu kutoka kwa taasisi mbalimbali zinazotetea haki za binadamu cha kuitaka serikali kufuta adhabu ya kifo, bado adhabu...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Balozi Jumiya ya Ulaya, utata mtupu

UTATA umeibuka juu ya hatima ya baadaye ya Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), nchini Tanzania, Roeland Van De Geer. Anaaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto apata dhamana, mahakama yatupa pingamizi la serikali

MAHAKAMA ya Hakim Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imempa dhamana mwanasiasa machachari wa upinzani nchini, Zitto Zuberi Kabwe. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe atinga Kisutu

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, amefikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, muda huu wa mchana wa leo...

Habari za SiasaTangulizi

Shirika la Kimataifa laingilia kati kukamatwa kwa Zitto

SHIRIKA la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International limeitaka Jeshi la Polisi kumpa dhamana au kumfikisha mahakamani, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ajali ya treni yajeruhi watu tisa

WATU tisa wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 2 Novemba 2018 maeneo ya Karakata wilayani Ilala jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Vita ya ruzuku CUF yatinga Mahakama ya Rufaa

BODI ya Wadhamini ya CUF imefungua shauri Na. 343/01/2018 katika Mahakama ya Rufaa, kupinga amri ya zuio la kutolewa ruzuku ya chama hicho...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wampekua Zitto Kabwe nyumbani kwake

IKIWA imepita siku moja tangu Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe kukamatwa na polisi jijini Dar es Salaam, leo Jeshi la Polisi...

Habari MchanganyikoTangulizi

TTCL yathibitisha ‘kufyeka’ wafanyakazi 550

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limethibitisha kutaka kupunguza wafanyakazi 550 kati ya 1,500 walioko nchi nzima, ambao hawana sifa za kitaalamu na kushindwa...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wa CCM wasakwa kwa ulawiti, ubakaji

KATIBU Mwenezi wa CCM Kata ya Mkolani, Zephilin Michael na Katibu Mwenezi wa chama hicho katika kata ya Buhongwa, Hassan Bushangama wanasakwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe akamatwa Dar

KIONGOZI wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zubery Kabwe, amekamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge zaidi kuzidi kupukutika

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewatishia wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani, kuwa kama wanataka kujiunga na chama hicho, wafanye haraka, vinginevyo wanaweza...

Habari za SiasaTangulizi

Tibaijuka azungumzia sekeseke la utekaji

MBUNGE wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka amewataka watanzania kuwa makini kuhusu usalama wao kutokana na uwepo wa makundi ya wahuni na watekaji...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi NHC

RAIS John Magufuli amemteua aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) Dkt. Sophia Kongela kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kilichomuua Isack Gamba hiki hapa

KILICHOSABABISHA kifo cha aliyekuwa Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isack Gamba, ni tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo lililotokana...

Makala & UchambuziTangulizi

Rais Magufuli, ‘toka mafichoni’ ujiandikie historia yako

DK. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano, anakaribia kutimiza miaka mitatu kamili madarakani. Aliapishwa tarehe 5 Novemba 2015. Anaandika Sead Kubenea...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto awavaa Polisi mapigano ya Kigoma

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania kutoa taarifa ya kina kuhusu tukio la mapigano kati ya askari...

MichezoTangulizi

Nandy azindua Nandy Beauty Product

KATIKA kuhakikisha anaunga juhudi za serikali ya viwanda na kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Mfinanga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Shamba la Rais Kikwete lavamiwa

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema shamba la baba yake, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete lililoko kata ya Kibindu wilayani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwanafunzi aliyetumbukia chooni aokolewa, Polisi kuchunguza

MWANAFUNZI wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Seliani iliyoko wilayani Arusha, Emanuel Zacharia amenusurika kifo baada ya kutumbukia katika shimo la...

Tangulizi

Wema Sepetu afungiwa muda usiojulikana

ALIYEKUWA Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu amefungiwa kwa muda usiojulikana kujishughulisha na filamu na uigizaji, na Bodi ya Filamu Tanzania. Anaripoti Regina...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wanafunzi shule ya msingi watumbukia chooni

WANAFUNZI kadhaa katika Shule ya Msingi Seliani iliyoko wilayani Arusha wanadaiwa kutumbukia katika shimo la choo cha shule hiyo mchana huu. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali: Watumishi wa Acacia wapo salama

SERIKALI imekanusha madai ya Kampuni ya Madini ya Acacia, ya kwamba usalama wa watumishi wake uko hatarini kutokana na kuwindwa na vyombo vya...

MichezoTangulizi

Kocha Yanga amvaa Makambo

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera katika hali ya kushangaza ameonekana kutofurahishwa na kiwango cha mshambuliaji wake, Heritier Makambo katika mchezo wa Ligi Kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Shilingi ya Tanzania shakani

KUYUMBA kwa uzalishaji na uuzaji wa zao la korosho nchini katika msimu wa korosho wa 2018/2019, kunatajwa kuweza kuporomosha thamani ya Shilingi ya...

MichezoTangulizi

Mtemi Ramadhani ajiengua Uchaguzi Mkuu Simba

MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Simba, Mtemi Ramadhani amejondoa kwenye kinyang’anyiro hicho kwa sababu ya kuwa na...

error: Content is protected !!