Friday , 26 April 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari za SiasaTangulizi

CUF yamjibu Mtatiro

TAARIFA KWA UMMA Imetolewa 24/October/2018 Kuhusu ufafanuzi wa Mtatiro kufuatia Mazungumzo yake na Wanahabari yaliofanyika Kisiwa cha Unguja . CUF-Chama cha Wananchi kinayachukulia...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali ya JPM yawafuta machozi wajane wa Aboud Jumbe

SERIKALI ya Rais John Magufuli imewafuta machozi wajane wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaji Aboud Mwinyi Jumbe...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli, Kikwete wateta Ikulu

RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete leo tarehe 23 Oktoba 2018 Ikulu...

ElimuTangulizi

Matokeo darasa la saba yatangazwa, ufaulu waongezeka

WATAHINIWA 733,103 kati ya 943,318 wamefaulu mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wa mwaka 2018. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akitangaza matokeo hayo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Usafiri wa meli kutoka Dar- Z’bar wasitishwa

USAFIRI wa majini kati ya Dar es Salaam na Zanzibar umesitishwa siku ya leo hadi hapo utakapotangazwa tena. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

January Makamba akamatwa, kisa kutekwa kwa MO

JESHI la Polisi nchini, jana lilimhoji kwa saa kadhaa, January Makamba, kufuatia madai kuwa alikuwa chanzo kikuu cha taarifa za kutekwa kwa mfanyabiashara...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wizara ya Kilimo yapata pigo, watumishi watano wafariki ajalini

WATUMISHI watano wa Wizara ya Kilimo na Chakula, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Njirii, Manyoni mkoani Singida. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mo aitwa Singida, wazee wataka kufanya yao

MFANYABIASHARA maarufu Mohammed Dewji ‘Mo’ ameombwa kwenda mkoani Singida ili apozwe machungu. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye viwanja vya...

Makala & UchambuziTangulizi

Ya TANU, Afro Shirazi sio ya CCM

UBINAFSISHAJI ni sera ya Benki ya dunia, ulioanza kutekelezwa toka awamu ya pili ya utawala wetu ikiwa ni kipindi cha mpito cha kuondokana...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mo Dewji apatikana, awashukuru Watanzania

MFANYABIASHARA Bilionea nchini akiyetekwa na watu wasiojulikana Mohammed Dewji ‘Mo’ apatikana alfajiri ya leo akiwa hai. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kupitia mtandao...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Lema, Lissu njia panda, wamvaa IGP Sirro

PICHA ya gari iliyoibuliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro leo tarehe 19 Oktoba 2018 kwamba ndilo lililotumika kumteka...

Habari MchanganyikoTangulizi

Gari lililomteka MO hili hapa

MKUU wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro amesema polisi wamefanikiwa kumtambua dereva na  gari lililohusika katika tukio la kutekwa mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu...

Habari za SiasaTangulizi

Utetezi wa Kubenea, Komu Chadema huu hapa

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea pamoja na wa Moshi Vijijini, Anthony Komu wametoa ufafanuzi wao kuhusu sauti iliyosambaa katika mitandao ya kijamii hivi...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Komu wapewa onyo kali, wawekwa chini ya uangalizi

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewapa onyo kali wabunge wake Saed Kubenea wa Ubungo na Anthony Komu wa Moshi...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Komu waanza kuhojiwa na Kamati Kuu Chadema

WABUNGE Saed  Kubenea (Ubungo) na Anthony Komu (Moshi Vijijini) wameanza kuhojiwa na Kamati Kuu ya Chadema katika kikao cha kamati hiyo kinachoendelea leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Radi yaua wanafunzi sita Geita

SHULE ya Msingi Emaco Vision English Medium ya mjini Geita mkoa wa Mwanza imepata pigo baada ya kuondokewa na wanafunzi wake sita waliofariki...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yakomaa Umeya wa Jiji Dar, serikali yasalimu amri

VUTA nikuvute kwenye Uchaguzi wa Naibu Meya wa jiji la Dar es salaam jana imesababisha serikali kuahirisha uchaguzi huo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari MchanganyikoTangulizi

Familia ya Dewji kutoa bil 1 kwa atakayesaidia kupatikana MO

FAMILIA ya Mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ aliyetekwa tangu Alhamisi ya Oktoka 11 2018, maeneo ya Osterbay jijini Dar es Salaam, imetangaza zawadi nono...

Habari MchanganyikoTangulizi

Familia ya Dewji kuvunja ukimya kutekwa kwa MO

FAMILIA ya mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ na Kampuni za Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) leo wanatarajia kuvunja ukimya juu ya kutekwa kwa bilionea...

Habari MchanganyikoTangulizi

DART yatoa tamko kuhusu hujuma za madereva wa Udart

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema madereva wa kampuni ya mtoa huduma, (Udart) waliohusika kufanya hujuma ya kuzuia mabasi yaliyokuwa yameegeshwa katika...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: CCM kuna wezi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally amesema kuwa, ndani ya chama chake amekuta wezi. Anaandika Faki Sosi…(endelea). Na kwamba,...

Habari za SiasaTangulizi

Matumizi mabaya ya fedha yawagonganisha RC Mongella, CCM

MGOGORO umeibuka Mwanza kati ya serikali ya mkoa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa (CCM) kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni kushindwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Chadema ajibu mashambulizi ya Mwita  

CECIL Mwambe, Mbunge Jimbo la Ndanda (Chadema) anayetajwa kwenye orodha ya wabunge wanaotaka kukimbilia CCM amesema, hajashindwa kazi. Anaandika Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Ukerewe, naye aikimbia Chadema

ALIYEKUWA mbunge wa Chadema katika jimbo la Ukerewe, mkoani Mwanza, Joseph Mkundi, hatimaye amemwaga manyanga. Anaripoti Mwandishi Wetu …. (endelea). Katika barua yake...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Rais Kenyatta vifo vya watu 50

RAIS John Magufuli ametuma salamu za pole kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia vifo vya watu 50 vilivyosababishwa na ajali ya basi...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wa vyama siasa wajifungia Dar kujadili Demokrasia

BAADHI ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hapa nchini leo tarehe 10 Oktoba 2018 wamekutana katika mkutano maalum unaoendelea kwenye hoteli ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Raia wa kigeni wanaswa wakitorosha dola 70,000

RAIA wawili wa kigeni, Nada Zaelnoon Ahamed (38) na Mohamed Belal (31), wanashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukutwa na kiasi cha...

KimataifaTangulizi

Marekani, China washusha uchumi wa Dunia

MIVUTANO ya kibiashara ya kidunia imetajwa kuwa miongoni mwa sababu za kushuka kwa uchumi  wa dunia katika kipindi cha mwaka 2018/2019 huku vita...

Habari za SiasaTangulizi

Skendo za kuhamia CCM, Kubenea afura, ashambulia Mwananchi

Taarifa kwa umma NIMEONA picha yangu kwenye gazeti la leo Jumanne la MWANANCHI likinihusisha mimi na kutaka kuhama chama changu na kujiunga na...

Habari za SiasaTangulizi

Mch. Msigwa apigwa ‘stop’ kufanya mikutano Iringa

JESHI la Polisi mkoani Iringa limempiga marufuku Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa kufanya mikutano ya hadhara kwa madai ya kutoa lugha za...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola achemka, JPM atumbua

LICHA ya maelezo na maelekezo ya mara kwa mara yanayotolewa na Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Jeshi la...

Habari za SiasaTangulizi

Utabiri wa Lema haukufika kwa Millya?

KATIKA siku za hivi karibuni, mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Gobless Lema, alijizolea umaarufu wa kutabiria wabunge wenzake, kuondoka chama hicho na kujiunga...

KimataifaTangulizi

Wafungwa wateka gereza, watoa masharti mazito

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wafungwa wanaoshikiliwa kwenye gereza la Juba nchini Sudan Kusini wanadaiwa kuliteka gereza hilo huku wakiwa na silaha ikiwemo...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge mwingine Chadema aachia ngazi

ALIYEKUWA mbunge wa Simanjiro (CHADEMA), James Millya, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika barua yake kwa Spika wa Bunge,...

KimataifaTangulizi

China yashukiwa kupotea kwa Rais wa Interpol

UTATA umeibuka kufuatia madai ya kupotea kwa Rais wa Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Meng Hongwei baada ya  Afisa Mkuu wa masuala...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi CCM akamatwa na bangi

BALOZI wa nyumba kumi mkazi wa Kasumulu wilayani Kyela mkoa wa Mbeya, Andende Smoke Mbalwa (35) pamoja na Rose Charles (40) wanashikiliwa na...

Habari za SiasaTangulizi

CUF Z’bar washtukia faulo uchaguzi 2020

MBUNGE wa Malindi Visiwani Zanzibar, Ali Salehe (CUF) amedai kuwa, kuna mkakati wa kuzuia baadhi ya wananchi katika kujiandikisha kwenye usajili wa vitambulisho...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jengo la Benjamin Mkapa lawaka moto

MOTO umezuka katika jengo la Benjamin Mkapa Tower lililopo maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam katika ghorofa ya nne hali iliyosababisha kuzua...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema, CCM watangwana makonde Umeya Dar

MADIWANI wa vyama viwili, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamezichapa wakati wa uchaguzi wa Naibu Meya...

Habari za SiasaTangulizi

Wizara ya Mambo ya Nje kutifuana

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Faraji Mnyepe amemtoa wasiwasi Rais John Magufuli kuhusu kibarua...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amteuwa Mkurugenzi mpya NIDA

RAIS John Magufuli leo tarehe 3 Oktoba 2018 amemteua Dk. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)....

Habari za SiasaTangulizi

Benki ya Dunia kuondoa kwa serikali 112 bilioni  

SERIKALI ya Tanzania, huenda ikakosa msaada wa dola za Kimarekani 50 milioni (zaidi ya Sh.112 bilioni), kufuatia hatua yake ya kupitisha sheria  ya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Fedha za kurudia uchaguzi zikatibie wazee

BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limetaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kubadilisha utaratibu wa kuwapata wabunge, katikati...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amuapisha Dk. Ndumbalo huku akimuhurumia

RAIS John Magufuli amesema anamuonea huruma Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Damas Ndumbaro, kwa kuwa anakwenda...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge aliyetishia kuhamia CCM, ahamia kweli

MBUNGE wa Serengeti (Chadema), Marwa Chacha amejiuzulu uanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza leo Septemba...

Habari za SiasaTangulizi

JPM: Wapinzani njooni niwatue mzigo

RAIS John Magufuli amewakaribisha wabunge na madiwani wa upinzani wanaosumbuka na mizigo katika vyama vyao, kuingia CCM. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Rais...

error: Content is protected !!