MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
KAMPUNI ya ndege ya taifa (ATCL), leo Alhamisi ya tarehe 30 Agosti 2018, inatarajiwa kuzindua safari yake ya tatu ya kimataifa, itakayoanzia Dar...
By Regina MkondeAugust 30, 2018KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Emmanuel Amunike amewaondoa wachezaji sita wa klabu ya Simba waliokuwa wameitwa kwenye timu hiyo...
By Kelvin MwaipunguAugust 29, 2018VIONGOZI wa dini zote wametakiwa kushirikishwa kwenye maandalizi ya mapambano ya ugonjwa wa ebola ambao umetaatifiwa upo nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia...
By Masalu ErastoAugust 29, 2018TUNDU Lissu, Mbunge was Singida Mashariki amesema kuwa upinzani umeshambuliwa kuliko kipindi chochote nchini Tanzania. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Lissu amesema hivyo...
By Yusuph KatimbaAugust 28, 2018JOSEPH Mbilinyi, Mbunge wa Mbeya Mjini amedai kuwa, kifo cha marehemu mama yake, Desderia Mbilinyi kilichotokea tarehe 26 Agosti, 2018 katika hospitali ya...
By Faki SosiAugust 28, 2018KITABU cha “The Prince” kilichoandikwa na Machievelle imeelezwa kuwa, kufaulu au kutofaulu kwa mtawala yeyote hutegemea anavyoweza kuwateua wasaaidizi wake. Anaandika Yusuph Katimba...
By Yusuph KatimbaAugust 28, 2018MPANGO wa Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuzuia kuuzwa makontena zaidi ya 20 yaliyoingizwa kwa jina lake kutoka nje,...
By Regina MkondeAugust 27, 2018PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yupo kwenye mtihani wa kunasua ‘makontena yake yaliyobeba samani’ bandarini jijini Dar es Salaam....
By Yusuph KatimbaAugust 27, 2018MPINZANI was Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama mwaka 2008 na seneta maarufu nchini Marekani, John McCain (81), amefariki dunia akiwa katika chumba...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2018RIDHIWANI Kikwete, Mbunge wa Chalinze ameishiwa uvumilivu. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mbunge huyo kijana anaeleza kukerwa na tuhuma zinazoelekezwa kwake kwamba ‘anakerwa’...
By Yusuph KatimbaAugust 24, 2018BAADA ya Jeremiah Mtobesya, wakili anayetetea viongozi waandamizi wa Chadema wanaokabiliwa na kesi ya jinai namba 112, kujitoa katika kesi hiyo. Freeman Mbowe,...
By Regina MkondeAugust 23, 2018SERIKALI ya Uganda imemuondolea mashtaka Mbunge wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, lakini alikamatwa tena muda mfupi baada ya kuachiwa huru....
By Regina MkondeAugust 23, 2018WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemwagiza Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini kuhakikisha anawatia mbaroni wafanyakazi wa Mamlaka ya...
By Danson KaijageAugust 22, 2018WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) unaonesha...
By Masalu ErastoAugust 21, 2018WABUNGE watatu wa upinzani- wawili Chadema na mmoja Chama cha Wananchi (CUF), wako mbioni kuvikimbia vyama vyao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi...
By Faki SosiAugust 20, 2018MONICA Joseph Magufuli, Dada wa Rais John Magufuli amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 19 Agosti, 2018 kwenye Hospitali ya Bugando iliyoko jijini...
By Regina MkondeAugust 19, 2018MAGARI matano ya mizigo, yameteketea kwa moto katika kituo cha forodha kilichomo eneo la Rusomo, wilayani Ngara, mpakani mwa Tanzania na Rwanda, leo...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2018HARAKATI za Profesa Ibrahim Lipumba kumtosa Maalim Seif, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) zinaelekea ukingoni. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Kwa sasa...
By Masalu ErastoAugust 18, 2018RAIS John Magufuli amekata mzizi wa fitina kwa wanaoibeza ndege ya Dreamliner wakidai mbovu, baada ya kuamua kutumia ndege hiyo kwenda jijini Mwanza...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2018PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa amesema, ni kinara kwa kuwatetea Wazanzibari. Anaandika Faki...
By Faki SosiAugust 17, 2018MATOKEO ya ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2017 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yamebainisha kwamba...
By Regina MkondeAugust 16, 2018MANENO ya mwisho ya Mwalimu Julius Nyerere ambapo yaliyopata kuandikwa ni pamoja na haya, “Najua ugonjwa huu sitapona, Watanzania watapata shida, lakini nitawaombea kwa Mungu.”...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2018DK. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM amesema kitendo cha wabunge na madiwani wa vyama vya CUF na Chadema kujivua unachama na kujiunga...
By Regina MkondeAugust 15, 2018NENO LA SHUKRANI Na Elia F Michael Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa chama wilaya ya Kakonko na Chama Taifa kuniona kama...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2018DEREVA wa Mbunge wa Jimbo la Kyaddondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Bobi Wine, Yasin Kawuma amefariki baada ya kupigwa risasi na watu...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2018CHAMA cha Demorasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara, kimepanga kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mdogo...
By Regina MkondeAugust 14, 2018ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Zubeir amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin …...
By Regina MkondeAugust 13, 2018MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Buyungu, Lusubilo Mwakabibi amemtangaza Christopher Chiza, Mgombea wa CCM kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika...
By Regina MkondeAugust 13, 2018GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari...
By Mwandishi MaalumAugust 12, 2018ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amekula matapishi yake baada ya kutangaza kuunga mkono juhudi za...
By Faki SosiAugust 12, 2018ALIYEKUWA mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ameondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
By Saed KubeneaAugust 11, 2018JULIUS Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, amejivua uanachama wa chama hicho na kuonesha nia ya kuhamia Chama...
By Regina MkondeAugust 11, 2018IKIWA kesho tarehe 12 Agosti, 2018 ni siku ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge Buyungu na kata thelathini na sita (36),...
By Regina MkondeAugust 11, 2018UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya hali ya juu ili kujikinga na...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema linalaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa mwandiishi wa habari wa Wapo Radio...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Mara amesitisha mikutano yote ya kampeni ya vyama vya upinzani kwenye kata hiyo....
By Regina MkondeAugust 10, 2018MWANAMUZIKI wa kizazi kipya Nasibu Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnum leo tarehe 9 Agosti, 2018 amezua kizaazaa kwenye msiba wa Amri...
By Faki SosiAugust 9, 2018RAIS wa Tanzania, John Magufuli na Rais mstaafu Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya watanzania kuaga mwili wa marehemu muigizaji wa vichekesho Amri Athumani...
By Faki SosiAugust 9, 2018JESHI la Polisi wilayani Tarime limewaachia kwa dhamana, Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (Chadema) na Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania...
By Regina MkondeAugust 9, 2018TUZO ya mwanamke mwenye ushawishi na mhamasishaji zaidi kisiasa Afrika imechukuliwa na Mange Kimambi, raia wa Tanzania. Anaripoti Regina Kelivin … (endelea). Waandiaaji...
By Regina MkondeAugust 9, 2018MUIGIZAJI maarufu Amir Athuman (Mzee Majuto) amefariki dunia usiku huu kwenye Hospital ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiAugust 9, 2018JESHI la Polisi limezuia mkutano wa pamoja wa wabunge, Zitto Kabwe ( ACT), Upendo Peneza (Chadema) na John Heche (Chadema) wa kumnadi mgombea...
By Regina MkondeAugust 8, 2018TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameruhusiwa kutoka hospitalini alipokuwa anatibiwa kwa miezi saba, nchini Ubelgiji. Anaripoti Mwandishi Weti … (endelea). Lissu amesambaza...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2018WaBUNGE wa Chadema – Saed Kubenea (Ubungo) na Cecilia Paresso (Viti Maalum), mkoani Arusha – wamemtumia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kumuombea...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2018SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imefuta kongamano la kimataifa la kujadili mustakbali wa maridhiano Zanzibar lililokuwa lifanyike kesho. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea)....
By Jabir IdrissaAugust 7, 2018SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) limetakiwa kusitisha uagizaji wa viunganishi vya miundombinu ya umeme (Accessories) kutoka nje...
By Regina MkondeAugust 7, 2018BAADA ya aliyekuwa Mbunge wa Ukonga, Mwita Mwikabe Waitara kuzungumzia tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, tarehe 7 Septemba mwaka jana, Mbunge huyo...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2018TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo tarehe 4 Agosti, 2018 imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo matatu na wa udiwani katika...
By Regina MkondeAugust 4, 2018WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amepata ajali alfajiri ya leo tarehe 4 Agosti, 2018 kwenye eneo la Magugu mkoani Manyara...
By Regina MkondeAugust 4, 2018SHIRIKA linaloshughulika na masuala ya utafiti nchini, linalofahamika kwa jina la TWAWEZA, lidai kutishwa na vyombo vya serikali. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....
By Regina MkondeAugust 3, 2018