MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ana mchango mkubwa katika safari ya maisha...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021MKURUGENZI wa Idara ya Habari-Maelezo nchini Tanzania, Gerson Msigwa amesema, wako tayari kutoa leseni kwa magazeti yote yaliyofungiwa ili yaanze kufanya kazi....
By Bupe MwakitelekoJune 29, 2021LAUREAN Bwanakunu, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), amesema Hayati Padri Privatus Karugendo ni miongoni mwa watu waliomtia moyo...
By Hamisi MgutaJune 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, zaidi ya wagonjwa 100 wa maambukizi corona (COVID-19), wamebainika nchini humo na wanaendelea na matibabu....
By Mwandishi WetuJune 28, 2021MAMIA ya watu wameuaga mwili wa aliyekuwa mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Padri Privatus Karugendo (65). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 28, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Mkoa wa Mbeya imemwacha huru, Mdude Nyangali maarufu ‘Mdude Chadema,’ baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha madai yake kuhusu...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021KATIKA siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo wanachama wa chama hicho waliomwaga...
By Regina MkondeJune 28, 2021NDOA ya Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava na mchumba wake, Caroline Pallangyo, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Arumeru Mashariki,...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021MSANII wa Nigeria, Burna Boy ameibuka mshindi wa tuzo ya BET 2021 kama msanii bora wa kimataifa na kuwaangusha wasanii wengine akiwemo,...
By Regina MkondeJune 28, 2021JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Tanzania amesema, atafurahia iwapo Yanga itaibuka na ushindi dhidi ya mtani wake, Simba. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...
By Kelvin MwaipunguJune 27, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wanachama wa Klabu ya Yanga kuwa wawazi kushauri na kukosoa ili iweze kusonga mbele. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJune 27, 2021VIONGOZI wa vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, wamemkumbusha Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atekeleze ahadi yake ya kuonana...
By Masalu ErastoJune 27, 2021LEO Jumapili, tarehe 27 Machi 2021, Samia Suluhu Hassan, ametimiza siku 100 tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 27, 2021FATMA Karume, wakili na aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu...
By Regina MkondeJune 26, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema, serikali imeanza mazungumzo ya kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Anaripti...
By Yusuph KatimbaJune 26, 2021TAREHE 27 Juni 2021, Rais Samia Suluhu Hassan atatimiza miaka 100 akiwa madarakani. Aliapishwa 19 Machi 2021, baada ya mtangulizi wake Rais...
By Regina MkondeJune 25, 2021SHEIKH Farid Had, mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam visiwani Zanzibar (JUMIK) alipokuwa gerezani Zanzibar, ameeleza alitolewa...
By Yusuph KatimbaJune 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa tatu wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...
By Regina MkondeJune 25, 2021BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limemuomba Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, apitie upya sera ya ushirikiano baina ya...
By Masalu ErastoJune 25, 2021HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 112/2018 iliyotolewa na Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu, Dar es Salaam iliyomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeJune 25, 2021SIKU 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, zimerudisha matumaini kwa Watanzania pamoja na kutibu waliokuwa na majeraha, hasa waliokutana na changamoto ya kesi...
By Hamisi MgutaJune 24, 2021MSANII wa HipHop nchini Tanzania, Webiro Wakazi Wassira maarufu ‘Wakazi,’ amesema ni muhimu kuhuisha mchakato wa Katiba Mpya. Anaripoti Matilda Peter…(endelea). Amesema, anatamani...
By Hamisi MgutaJune 24, 2021TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrais na Maendeleo (Chadema), yupo nchini Kenya kwa maandalizi ya uzinduzi wa kitabu chake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ally Mwinyi amemteuwa Arafat Ally Haji ambaye ni mjumbe wa kamati...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe, amestaajabishwa na hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kushangilia Bajeti Kuu...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021HASHIMU Rungwe, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) mwaka 2020, ameshauri Rais Samia Suluhu Hassan aifanyie...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021MAOFISA wandamizi katika jeshi la polisi na taasisi nyingine za umma nchini Tanzania, wanatuhumiwa kusaidia mtandao wa wafanyabiashara wa dawa za kulevya...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021MARA baada ya kuteuliwa kuwa mabalozi wa kuamasisha ulipaji kodi na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, mwanandika Mbwana Samatta, mchambuzi...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH)- Upanga na Mlonganzila, Mkoa wa Dar es Salaam, imeweka sharti kwa wananchi, wafanyakazi na wanafunzi wanaokuwa...
By Faki SosiJune 22, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kusuka upya uongozi wa umoja wake wa vijana (UVCCM). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 22, 2021ASILIMIA 94 ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri Tanzania, jijini Dodoma wamepitisha Bajeti Kuu ya serikali ya Sh. 36.3 Trilioni kwa mwaka...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amefafanua jinsi kodi ya lini ya simu itakavyolipwa na watumiaji huku akiwaomba...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2021KUKITHIRI kwa malalamiko yanaelekezwa kwa Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), yamemchefua Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
By Yusuph KatimbaJune 22, 2021Mara baada ya kukosekana Uwanjani kwa wiki tatu, kiungo wa klabu ya Simba, Clatous Chama amerejea Uwanjani, huku mlinda mlango wa klabu hiyo...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2021MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othuman Masoud Othuman amesema, Katiba ya sasa ya Tanzania haitoi mwelekeo wa Taifa unakwenda wapi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewakabidhi majukumu matano wakuu wa wilaya za mkoa huo, walioteuliwa na Rais Samia...
By Regina MkondeJune 21, 2021SIKU mbili baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, Kherry James amesema ‘sintokuwa mtawala bali mtumishi wa...
By Regina MkondeJune 21, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limethibitisha kuwa msimu ujao wa mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF), Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, awaapisha Balozi Batlida Buriani kuwa Mku wa Mkoa wa Tabora (RC) na Zuwena Omari Jiri kuwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, jana tarehe 19 Juni 2021, iliuchambua uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Tanzania, chini...
By Hamisi MgutaJune 20, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya katika Mikoa ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJune 19, 2021MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud Othuman amekishukuru chama chake cha ACT-Wazalendo kwa kumpendekeza kwenye nafasi hiyo huku akiwaahidi...
By Kelvin MwaipunguJune 19, 2021SERIKALI imepokea gawio la kiasi cha Sh. 21.8 bilioni, kutoka benki ya makabwela – National Microfinance Bank (NMB) – ikiwa ni sehemu...
By Masalu ErastoJune 19, 2021MARA baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kumfungia mlinda mlango wake Metacha Mnata, kwa kosa la utovu wa nidhamu, mchezaji huyo...
By Kelvin MwaipunguJune 18, 2021TAKRIBANI mambo tisa, yameibuka katika mkutano wa wadau, wa kujadili namna ya uboreshaji mitaala ya elimu nchini Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 18, 2021LENGAI Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro na wenzake wawili, wamesomewa mashtaka mawili ikiwemo unyang’anyi wa kutumia silaha,...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021MKURUGENZI mpya wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu, ametangaza neema kwa mahabusu, wafungwa na watuhumiwa wengine wanaokabiliwa na mashtaka ya jinai...
By Hamisi MgutaJune 18, 2021MASHEIKH 18 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), wameeleza namna Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na aliyekuwa Rais wa...
By Mwandishi WetuJune 17, 2021MWENYEITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameiomba Serikali iwalipe fidia viongozi 18 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara...
By Mwandishi WetuJune 17, 2021