Monday , 6 May 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe anena mazito wakili wao kujitoa

BAADA ya Jeremiah Mtobesya, wakili anayetetea viongozi waandamizi wa Chadema wanaokabiliwa na kesi ya jinai namba 112, kujitoa katika kesi hiyo. Freeman Mbowe,...

Habari za Siasa

Wabunge 19 Chadema kulinda kura Dodoma

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema watawatumia wabunge kumi na tisa wa chama hicho kulinda kura katika uchaguzi mdogo wa...

Habari za Siasa

Waislam wamporomoshea dua JPM

SWALA ya Eid Alhaj iliyoswaliwa kitaifa jijini Dar es Salaam imemalizika kwa kuombewa dua Rais John Magufuli. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Dua...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola awasha moto NIDA, vigogo watatu mbaroni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemwagiza Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini kuhakikisha anawatia mbaroni wafanyakazi wa Mamlaka ya...

Habari za Siasa

Dada wa Rais Magufuli azikwa Chato

MWILI wa Monica Magufuli, dada wa Rais John Magufuli umezikwa leo tarehe 21 Agosti mwaka huu, nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato...

Habari za Siasa

Wadau waitwa kutoa maoni miswada ya sheria

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaalika wadau kutoa maoni yao yatakayotumika katika mchakato wa uchambuzi wa miswada ya sheria kwenye ngazi...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge watatu Upinzani kutua CCM kabla Bunge kuanza

WABUNGE watatu wa upinzani- wawili Chadema na mmoja Chama cha Wananchi (CUF), wako mbioni kuvikimbia vyama vyao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

Dada wa Rais Magufuli afariki dunia

MONICA Joseph Magufuli, Dada wa Rais John Magufuli amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 19 Agosti, 2018 kwenye Hospitali ya Bugando iliyoko jijini...

Habari za Siasa

CUF watoa msimamo madiwani wake kuhama

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetoa msimamo wake kuhusu kuhama kwa waliokuwa viongozi, wabunge na madiwani wa chama hicho, kikisema kuwa kitafanya vikao vyake...

Habari za Siasa

Serikali yaja na vifaa vya kisasa vya upimaji ardhi

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema, wizara yake imeleta Vifaa vya kisasa vya upimaji wa ardhi ambavyo vitagawiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Moto wateketeza mali za mamilioni Ngara

MAGARI matano ya mizigo, yameteketea kwa moto katika kituo cha forodha kilichomo eneo la Rusomo, wilayani Ngara, mpakani mwa Tanzania na Rwanda, leo...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba kummaliza rasmi Maalim Seif

HARAKATI za Profesa Ibrahim Lipumba kumtosa Maalim Seif, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) zinaelekea ukingoni. Anaandika Faki Sosi … (endelea).  Kwa sasa...

Habari za Siasa

Naibu Meya wa Dar atimkia CCM

ALIYEKUWA Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mussa Kafana amejiuzulu uanachama wa CUF na kuomba kupokelewa ndani ya CCM....

Habari za Siasa

Zile trilioni 1.5 kuanza kusakwa

VIKAO vya Kamati ya Bunge vinaanza wiki ijayo ambapo miongoni mwa kazi zitazofanywa ni pamoja na kupitia na kuchambua Taarifa ya Mkaguzi Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli akata ngebe za wanaoibeza Dreamliner

RAIS John Magufuli amekata mzizi wa fitina kwa wanaoibeza ndege ya Dreamliner wakidai mbovu, baada ya kuamua kutumia ndege hiyo kwenda jijini Mwanza...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aula SADC

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....

Habari za Siasa

Chadema wateua wa kupambana na Waitara, Kalanga

CHAMA cha Chadema kimeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi baada ya wabunge wawili kujiuzulu na mmoja kufariki. Anaripoti Regina Kelvin …...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba: Ninaongoza kwa kuwatetea Wazanzibar

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa amesema, ni kinara kwa kuwatetea Wazanzibari. Anaandika Faki...

Habari za Siasa

Chadema waanika ubatili wa NEC kwenye uchaguzi wa marudio

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU NEC KUHALALISHA UBATILI ULIOFANYIKA KWENYE UCHAGUZI Chama cha Demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

LHRC yafichua madudu mengine

MATOKEO ya ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2017 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yamebainisha kwamba...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo waomba mkutano wa maridhiano

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali pamoja na wadau wa demokrasia nchini kuitisha mkutano wa kitaifa wa maridhiano ya kisiasa kwa ajili ya kujadili...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: Wabunge kujivua uanachama ni faida kwa Upinzani

DK. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM amesema kitendo cha wabunge na madiwani wa vyama vya CUF na Chadema kujivua unachama na kujiunga...

Habari za Siasa

Lukuvi abadili staili utoaji vibali vya ujenzi

WaAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema kwamba kuanzia sasa vibali vya ujenzi vitakuwa vinatolewa kila wiki na vitakuwa...

Habari za Siasa

CCM wawarudisha Waitara, Kalanga

KAMATI Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM imeteuwa wagombea watatu watakaokiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Maneno mazito ya Mbunge wa Chadema baada ya Uchaguzi

NENO LA SHUKRANI Na Elia F Michael Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa chama wilaya ya Kakonko na Chama Taifa kuniona kama...

Habari za Siasa

Afya ya Dk. Kigwangalla yaimarika

HALI ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla inazidi kuimarika ambapo kwa mara ya kwanza tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwenda mahakamani kupinga ushindi wa CCM

CHAMA cha Demorasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara, kimepanga kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mdogo...

Habari za Siasa

Alichokifanya JPM hiki hapa

IFUATAYO ni orodha ya majina ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali walioteuliwa na kuhamishiwa vituo vya kazi leo tarehe 13...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge mwingine wa upinzani akimbilia CCM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Zubeir amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin …...

Habari za Siasa

Rais Magufuli afumua wakuu wa mikoa, wakurugenzi

RAIS John Magufuli leo tarehe 13 Agosti, 2018 amefanya mabadiliko kadhaa kwa Wakuu wa Wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini huku sehemu...

Habari za SiasaTangulizi

NEC wamrudisha rasmi Chiza Buyungu

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Buyungu, Lusubilo Mwakabibi amemtangaza Christopher Chiza, Mgombea wa CCM kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika...

Habari za Siasa

Majaliwa atema cheche Ruangwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Pudencis Protas  kumkamata Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC)...

Habari za SiasaTangulizi

Lema apigwa, visu vyatamba Arusha

GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari...

Habari za Siasa

Mambo yameiva Buyungu

WAKAZI wa Jimbo la Buyungu lililoko Wilayani Kankonko mkoa wa Kigoma, wamejitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin …...

Habari za SiasaTangulizi

Ukistaajabu ya Lipumba utayaoona ya Mtatiro

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amekula matapishi yake baada ya kutangaza kuunga mkono juhudi za...

Habari za Siasa

‘Mtatiro amefuata fursa kwa JPM’

KWENYE siasa hatufuati watu. Ukiwafuata watakuacha solemba. Fuata misingi. Anaandika Ansbart Ngurumo … (endelea). Msando na Mtatiro walikuwa wafuasi. Hawakuwa waanzilishi. Hata wangekuwa...

Habari za Siasa

Lowassa ataja sababu za Kalanga kurudi CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa. Edward Lowassa leo amewahutubia wananchi wa Kata ya Migungani Wilayani Monduli katika...

Habari za SiasaTangulizi

Pole Maalim Seif

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ameondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi  (CCM)....

Habari za Siasa

Nape Nnauye atoa neno kuhama kwa Mtatiro

NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama ametoa neno baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF Taifa, Julius Mtatiro kukihama chama...

Habari za SiasaTangulizi

Mtatiro aitosa CUF, amuunga mkono Rais Magufuli

JULIUS Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, amejivua uanachama wa chama hicho na kuonesha nia ya kuhamia Chama...

Habari za SiasaTangulizi

NEC watoa neno kwa wagombea, wapiga kura

IKIWA kesho tarehe 12 Agosti, 2018 ni siku ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge Buyungu na kata thelathini na sita (36),...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema, NCCR-Mageuzi wapigwa ‘stop’ Tarime

MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Mara amesitisha mikutano yote ya kampeni ya vyama vya upinzani kwenye kata hiyo....

Habari za Siasa

Mbunge wa Chadema awamwaga Polisi

MBUNGE wa jimbo la Mbozi mkoani Songwe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Pascal Haonga na wenzake wameshinda kesi iliyokuwa inawakabili katika...

Habari za Siasa

Lugola awageukia Polisi wanaobambikia watu kesi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amehidi kufanya ziara za kushtukiza kwenye vituo vya polisi nchini ili kupambana na baadhi...

Habari za SiasaMichezo

TEF, TFF wapinga wanahabari kushambuliwa

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumfungulia Mwanahabari wa gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma mashitaka ya kuandamana...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Chadema aliyekamatwa, atoka ‘sero’

JESHI la Polisi wilayani Tarime limewaachia kwa dhamana, Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (Chadema) na Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wasambaratisha mkutano wa Zitto Tarime

JESHI la Polisi limezuia mkutano wa pamoja wa wabunge, Zitto Kabwe ( ACT), Upendo Peneza (Chadema) na John Heche (Chadema) wa kumnadi mgombea...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aruhusiwa hospitalini, kutua nchini muda wowote

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameruhusiwa kutoka hospitalini alipokuwa anatibiwa kwa miezi saba, nchini Ubelgiji. Anaripoti Mwandishi Weti … (endelea). Lissu amesambaza...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Paresso, wanamtumia Lissu kuomba kura

WaBUNGE wa Chadema – Saed Kubenea (Ubungo) na Cecilia Paresso (Viti Maalum), mkoani Arusha – wamemtumia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kumuombea...

Habari za Siasa

Watu 13 wafikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi

WATU 13 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo utakatishaji fedha wa Sh....

error: Content is protected !!