March 1, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Lowassa ataja sababu za Kalanga kurudi CCM

Spread the love

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa. Edward Lowassa leo amewahutubia wananchi wa Kata ya Migungani Wilayani Monduli katika kufunga Kampeni ya Uchaguzi mdogo wa marudio ya Udiwani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Lowassa amekanusha vikali tuhuma zilizozagaa kwamba anawatuma watu wake watangulie nayeye atarejea, Pia amesema chanzo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Monduli Julius Kalanga kuunga kile kinachodaiwa ni juhudi sio kweli, “kilichomfanya aondoke ni anadaiwa mkopo,” amesema Lowassa.

Uchaguzi mdogo wa Marudio ya Udiwani utafanyika siku ya Kesho Jumapili Agosti 12, 2018.

error: Content is protected !!