Friday , 26 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

‘CCM inamvua nguo Chiza’

CHRISTOPHER Chiza, mgombea mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu, Kigoma anakwenda kuumbuka. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

Mange kubeba tuzo Marekani

MANGE Kimambi, raia wa Tanzania anayeishi Marekani, ni miongoni mwa wanawake wanaharakati wa kisiasa wanaotajwa kwenye orodha ya kugombea tuzo ya mwanamke mhamasishaji...

Habari za Siasa

Waziri wa Madini afunga mgodi Pwani

SERIKALI imesimamisha shughuli za mgodi unaochimbwa madini ya Kaolin unaomilikiwa na kampuni ya RAK Kaolin kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa uendeshaji wake...

Habari za SiasaTangulizi

Sethi, Rugemalira kuwaumbua vigogo mahakamani

JAMES Rugemalira (74), bado anasota kwenye gereza la Segerea, jijini Dar es Saalaam. Anashitakiwa kwa kuhujumu uchumi. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Anadaiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola: Natenda atakacho JPM

KANGI Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema, anafanya kile atakacho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli....

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya vigogo Chadema yaiva

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kuanza kusikiliza kesi ya jinai inayowakabili viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na...

Habari za Siasa

Serikali kuanzia soko huria na madini

SERIKALI ina mpango wa kuanzisha soko huria la madini (Tanzania Mineral Exchange) ifikapo mwezi Desemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli...

Habari za Siasa

Waziri avunja bodi ya NSSF

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi Vijana na Ajira, Jenista Mhagama ameivunja Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi...

Habari za SiasaTangulizi

‘Ununuzi wa madiwani wahamia kwa Sugu,’ Dk. Tulia atajwa

WIMBI la baadhi ya madiwani kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linatarajiwa kuendelea kutikisa jiji la Mbeya. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za Siasa

Vodacom wamponza Mkurugenzi TCRA

MHANDISI Izack Kamwelwe, Waziri wa Uchukuzi, Usafirishaji na Mawasiliano amempa siku 30 Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania  (TCRA) kuzungumza na Kampuni ya Mtandao wa simu ya ...

Habari za Siasa

Rais Magufuli atia saini ujenzi wa daraja la Salender

RAIS John Magufuli amemtaka mkandarasi wa daraja la Salender kuhakikisha anakamilisha kazi hiyo ndani ya muda uliopangwa huku akiwataka kuwatumia wafanyakazi kutoka Tanzania....

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wapingwa

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepinga vikali kitendo kitendo cha wananchi wanaosadikika ni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

MSETO kuiponza Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki

SERIKALI ya Tanzania inaweza kuingia katika mgogoro katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama haitatii maagizo waliyopewa na Mahakama ya Afrika Mashariki ya kulifungulia...

Habari za SiasaTangulizi

Diwani Chadema Mbeya amwaga mboga, atangaza kujiuzuru

MUDA mchache baada ya Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Mbeya kupendekeza kuwavua uanachama madiwani watatu mkoani huyo, mmoja...

Habari za Siasa

Kangi amtwisha zigo la Lugumi IGP Sirro

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Kugola amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro kumtafuta mmiliki wa Kampuni...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwachafuka, watimua madiwani wake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbeya, kimetangaza kuwavua uanachama madiwani wake watatu kwa madai ya “utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu...

Habari za Siasa

LRHC chamvaa tena Rais Magufuli

MATUKIO ya ukiukwaji na uvunjifu wa haki za binadamu nchini, yameanza kuongezeka katika kipindi cha utawala wa Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Kelvin...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kinakwenda Buyungu kushiriki uchaguzi au kushinda?

KIPYENGA cha kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Buyungu, wilayani Kakoko, mkoani Kigoma, kimepulizwa. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Uchaguzi mdogo...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma ya Vigogo wa Chadema Julai 25

KESI ya uchochezi inayowakabili viongozi nane waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imeahirishwa mpaka Julai 25, mwana huu, ili kupisha kusikilizwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mfanyabiashara Tunduma aigomea CCM, abambikiwa makesi lukuki 

MFANYABIASHARA maarufu mjini Tunduma, Isakwisa Thobias Lupembe, anatuhumiwa na Idara ya Uhamiaji mkoani Songwe, kuwa sio raia wa Jamhuri ya Muungano; huku akihusisha...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aweka jiwe la msingi Chuo cha Uongozi

RAIS John Magufuli ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo cha uongozi cha Mwl. Julius...

Habari za SiasaTangulizi

Giza nene latanda Chadema, wagombewa wake hofu tupu

GIZA nene limetanda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa baada ya wagombea wake watatu wa udiwani katika uchaguzi mdogo...

Habari za SiasaTangulizi

Diwani, dereva wa Halmashauri Meatu wafariki ajalini

DIWANI wa Kata ya Manuzi, Elias Shukia na dereva wa halmashauri ya Wilaya ya Meatu, Haruna Ngata wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa...

Habari za Siasa

CUF Lipumba watinga Dodoma

MBUNGE wa Mtwara Mjini, Mafutaa Nachuma (CUF) kwa kushirikiana na uongozi wa chama hicho mkoa wa Dodoma wamefungua ofisi ya mkoa mkoani Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Umaarufu wa Rais Magufuli waiponza Twaweza

SERIKALI ya Tanzania imeitaka taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali ya Twaweza kueleza ni kwa nini ilifanya utafiti kuhusu maoni ya wananchi ‘bila...

Habari za SiasaTangulizi

Kambi Maalim Seif: Tutampa chama Lipumba

KAMBI mbili ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendea kuminyana huku kila moja ikishindwa kujua tamati ya mgogoro ndani ya chama hicho. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Madiwani wanne wa CUF watimuliwa Tanga

KUFUKUZWA KWA MADIWANI WETU WANNE WA TANGA! Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, jana jioni (09 Julai 2018) ametangaza kuwafukuza udiwani, madiwani wanne wa...

Habari za SiasaTangulizi

SumaJKT yaokoa mamilioni ya Serikali

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imesaini mikataba mitatu ya ujenzi wa vituo saba vya umahiri na jengo la mafunzo kwa wachimbaji wadogo katika...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ampiga ‘stop’ Prof. Lipumba

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimethibitisha kuwa hakitashiriki uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Jang’ombe Unguja na kata 79 Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

ACT wamruhusu Zitto kujiunga UKAWA

KAMATI Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo kimebariki msimamo wa kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe wa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina atamba kuvuka malengo ya makusanyo

WAZIRI wa Mifigo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesema wizara yake itahakikisha inavuka lengo la makusanyo kwa kukusanya kiasi cha Sh. 50 bilioni badala...

Habari za Siasa

Mavunde alia na siasa chafu

NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, amewataka wanasiasa kuachana na siasa zenye viashiria vya uvunjifu...

Habari za Siasa

Kange Lugola atoa neno kupotea kwa mwandishi wa habari

KANGE Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, amesema wizara hiyo haihusiki na kupotea kwa mwandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communication Limited...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamng’ang’ania Mtatiro, mwenyewe adai yupo Ngangari

MWENYEKITI wa Muda wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatito ameendelea kubaki mikononi mwa Polisi huku akituhumiwa kwa kusambaza ujumbe...

Habari za SiasaTangulizi

DC apokelewa kwa mabango, awatupa rumande

MKUU wa Wilaya ya Kongwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Deo Ndejembi jana alijikuka katika wakati mgumu, baada wananchi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Majimarefu afariki dunia

STEVEN Ngonyani aliyefahamika zaidi kwa jina la Profesa Majimarefu, Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), amefariki dunia leo usiku Jumatatu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

Habari za SiasaTangulizi

Mengi yaibuka kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba

KUONDOLEA kwa Mwigulu Nchemba katika nafasi ya Waziri wa Mambo na Ndani ya Nchi kumezua mijadala mikali kwa wadau wa siasa, huku kila...

Habari za SiasaTangulizi

Mwigulu Nchemba atupwa nje Baraza la Mawaziri

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na kumteua Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Kangi...

Habari za Siasa

Muswada wa Dodoma kuwa Jiji watinga Bungeni

SERIKALI imewasilisha miswada mitano ukiwemo  unaopendekeza kutungwa kwa sheria ya Tamko la Makao Makuu ya mwaka 2018 kwa madhumuni ya kutangaza jiji la Dodoma kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Minyukano waipeleka Bunge mpaka usiku

BUNGE jana lililazimika kuendelea na kikao chake hadi saa 3:27 usiku baada ya wabunge kutokana na wabunge kupinga marekebisho ya sheria mbalimbali ikiwamo...

Habari za SiasaTangulizi

Waajiliwa wa CCM wajilipa Mil 270 kabla ya wakati

JUMUIYA ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Morogoro imewasimamisha kazi mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mkono wa Mara, Rajabu Vindili...

Habari za SiasaTangulizi

Nape aitabiria mabaya CCM

MBUNGE wa Mtama kwa tiketi ya CCM, Nape Nnauye ameitabiria mabaya chama chake, kuwa kisipokuwa makini kitakufa na kupotea kabisa katika mikoa ya Kusini kama...

Habari za Siasa

Mbowe na wenzake mahakamani tena kesho

VIONGOZI tisa wa Chama cha Demokrasia na Maanedeleo (Chadema), wanatarajiwa kutinga mahakamani tena kesho kusikiliza kesi inayowakabili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wanaotarajiwa...

Habari za SiasaTangulizi

CUF: Bajeti ya Serikali ni hewa

CHAMA cha Wananchi CUF kimechambua bajeti ya serikali ya mwaka 2018/19 kuwa ni bajeti hiyo ni hewa na haina muafaka kwenye kuinua uchumi...

Habari za Siasa

Bawacha wanunua kesi ya mwanamke kujifungua Polisi

UONGOZI wa Baraza la wanawake Chadema (Bawacha)limelaani vikali kitedendo cha udhalilishaji kilichofanywa na jeshi la polisi dhidi ya Amina Mapunda (26) mkazi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Madiwani Moro wachunguza upotevu wa Mil 350

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro limeunda Kamati maalum ya kuchunguza upotevu wa kiasi cha Sh. 353 milioni ambazo hazikuingizwa...

Habari za SiasaTangulizi

Ndesamburo mwingine aondoka Moshi

HAWA Mushi, diwani wa Chadema katika kata ya Mawenzi, katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi, hatimaye amezikwa mchana huu, nyumbani kwake Mawenzi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kifua mbele Tunduma, serikali yasusa

UJENZI wa barabara, ujenzi wa vyoo, shule na uchimbaji visima umeimarisha taswira ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Halmashauri ya Mji...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali waikataa barua yao kwenda KKKT

MWIGULU Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, amekanusha kuwa barua iliyoandikwa na wizara hiyo ya kulitaka Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...

Habari za Siasa

CAG amweka pabaya waziri wa JPM bungeni

 HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na John Mnyika wa Kibamba (wote Chadema) wamemkaria kooni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango wakitaka...

error: Content is protected !!