
Spread the love
RAIS John Magufuli ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo cha uongozi cha Mwl. Julius Nyerere kilichopo Kibaha, Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).
Chuo hicho kinajengwa kwa takriban Sh. 100 bilioni, kwa ufadhili kutoka chama cha CPC cha China kwa ajili ya vyama sita vya ukombozi Africa (CCM, ANC, ZANU-PF, Frelimo, MPLA na SWAPO.
More Stories
Yanga yapotea Tanga, yakubali kichapo cha mabao 2-1
Simba yabadilishiwa muda wa mechi Sudan, sasa kukipiga saa 9
Uchaguzi wa wanawake Chadema waingiliwa