MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Nne ameeleza kuwa, ni ndoto serikali kufikia malengo yake ya ‘serikali ya viwanda’...
By Danson KaijageFebruary 6, 2017CHAMA cha ACT- Wazalendo kimesema chimbuko la kiwango cha kutisha cha rushwa na ufisadi uliotamalaki nchini kwa sasa, ni uamuzi wa uongozi kufuta...
By Pendo OmaryFebruary 5, 2017MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Dimani, Unguja na kwenye kata 20 Tanzania Bara, yametushutua wengi. Miongoni mwa yayosababisha mshutuko,...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2017JUMUIYA Vijana ya Chama cha Wananchi CUF (JUVI-CUF), imemuonya Shaka Hamidu Shaka, Kaimu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2017NEEMA Mfugale, Katibu wa Shirikisho la Vyuo Vikuu la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma amesema, rushwa ya ngono ni changamoto kubwa inayokwamisha...
By Danson KaijageFebruary 2, 2017KWA mara nyingine Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameingia katika mvutano na wabunge wa vyama...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2017KIFO cha Etienne Tshisekedi kiongozi wa chama cha upinzani cha (UDPS) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kimeacha simanzi na pigo kwa wapenda...
By Masalu ErastoFebruary 2, 2017CHARLES Kuyeko, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Tabata mtaa wa tabata Kisiwani na matumbi, anaandika...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2017MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wameitaka kuwekwa wazi kwa asilimia 5 ya mapato ya halmashauri hiyo ambayo yanapaswa kutolewa kama mikopo kwa...
By Christina HauleFebruary 1, 2017ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Mwanza amemtishwa na wapiga kura wake kwa madai ya kushindwa kutatua kero ya mgogoro wa ardhi,...
By Moses MsetiFebruary 1, 2017NINAPOKUMBUKA tukio la mauaji ya wananchi walioandamana katika kudai haki ya kuongozwa na kiongozi wanayemtaka, haraka inanijia sura ya mmoja wa watekelezaji wa...
By Jabir IdrissaFebruary 1, 2017SERIKALI ya awamu ya tano imetoa taarifa kuhusu mipango ya utekelezaji wa mambo mbalimbali yanayohusu utendaji wa serikali pamoja na utekelezaji wa Bajeti...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2017MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amempa nafasi tena Dk. Ali Mohamed Shein ili kumaliza mgogoro wa kisiasa...
By Faki SosiJanuary 30, 2017CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaelekea kugota. Hofu na mashaka vimeanza kummeza Prof. Ibrahim Lipumba ambapo sasa anahitaji suluhu na Maalim Seif Shariff Hamad,...
By Faki SosiJanuary 28, 2017MIEZI 15 tangu alipofuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar na kushutumiwa kuwa amekibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2017TUNA hofu kubwa ya kutotendewa haki ndani ya nchi. Ni kauli ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2017ATHARI ya mtifuano ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendelea ambapo sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinawinda kura za CUF, anaandika...
By Christina HauleJanuary 21, 2017FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa kufungwa kwa baadhi ya viongozi wao akiwemo Diwani na Mbunge ni sehemu...
By Moses MsetiJanuary 19, 2017CHAMA Cha ACT-Wazalendo sasa kinataka serikali imwelekeze Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye utoaji wa vibali...
By Pendo OmaryJanuary 18, 2017ONGEZEKO la kodi limetajwa kuchochea hali ngumu ya maisha inayolalamikiwa na wananchi wengi hapa nchini, anaandika Pendo Omary. Casimir Mabina, Mratibu wa Chama...
By Pendo OmaryJanuary 18, 2017ARCADO Ntagazwa, aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, Pili na Tatu amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais...
By Moses MsetiJanuary 17, 2017ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge pekee wa chama hicho ametangaza kujiuzulu ubunge wake iwapo serikali ya Chama Cha...
By Charles WilliamJanuary 17, 2017VYAMA vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro vimeonywa, anaandika Christina Haule. Vyama hivyo...
By Christina HauleJanuary 17, 2017MKUBWA hasutwi. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Rais John Magufuli kuruhusu tani milioni 1.5 za chakula kilichokuwa kimehifadhiwa kianze kuuzwa ili...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2017RAIS John Magufuli ametangaza kumteua Profesa Palamagamba Kabudi, na Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa wabunge wa...
By Charles WilliamJanuary 16, 2017EDWARD Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
By Charles WilliamJanuary 16, 2017WAKATI Rais John Magufuli akigoma kutambua hali ya upungufu wa chakula na baa la njaa kwa baadhi ya maeneo nchini, Edward Lowassa anamtia...
By Masalu ErastoJanuary 16, 2017SIKU, saa na dakika zinahesabika kwa Timu Maalim Seif Sharif Hamad kufungua ofisi mpya nje ya ile ya Buguruni jijini Dar es Salaam,...
By Faki SosiJanuary 14, 2017RAIS John Magufuli amesema kwamba utawala wake upo mbioni kuyachukulia hatua kali magazeti mawili hapa nchini kwa madai kuwa yamekuwa yakifanya uchochezi, anaandika...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2017DK. Ali Mohamed Shein Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, amesema ataendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha...
By Masalu ErastoJanuary 12, 2017HATUA ya Mahakama ya Wilaya ya Kilombero, Morogoro kumfunga Peter Lijualikali, Mbunge wa Jimbo la Kilombero miezi sita jela, inatokana na visa vya...
By Pendo OmaryJanuary 12, 2017SHILINGI 369.4 milioni mali ya Chama Cha Wananchi (CUF) zinadaiwa kutoroshwa kutoka Hazina ya Serikali Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku...
By Pendo OmaryJanuary 10, 2017MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema kwamba, Abdulrahman Kinana hajui chochote kuhusu kinachoendelea Zanzibar, anaandika Mwandishi Wetu....
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2017EDWARD Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, amesema bao la mkono la Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ndilo...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2017SERIKALI ya Rais John Magufuli imemmaliza Freeman Mbowe katika biashara yake ya klabu (Billicanas), anaandika Faki Sosi. Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama...
By Faki SosiJanuary 7, 2017IKIWA ni zaidi ya miezi minne tangu James Rock Mwakibinga, kada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Umoja wa Vijana wa chama hicho...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2017UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa masuala ya siasa wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe sasa unazidi kuongezeka. Wanaandika Waandishi Wetu...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2017MHANDISI Felchesmi Mramba aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme la Taifa (TANESCO) amekuwa mtumishi wa kwanza wa serikali kutimuliwa kazi na Rais...
By Charles WilliamJanuary 1, 2017