March 8, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Hatma ya Vigogo wa Chadema Julai 25

Spread the love

KESI ya uchochezi inayowakabili viongozi nane waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imeahirishwa mpaka Julai 25, mwana huu, ili kupisha kusikilizwa kwa pingamizi ya kesi hiyo ambayo itasikilizwa Julai 20 na Mahakama Kuu.

error: Content is protected !!