Friday , 26 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Kubenea: Michango ya MV Nyerere iwafikie waathirika

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali ifikishe kwa waathirika michango inayokusanya. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kubenea ameyasema hayo kwenye mahojiano maalum...

Habari za Siasa

Kangi: Wanaotumia ajali MV Nyerere kisiasa, watashughulikiwa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaonya baadhi ya watu wanaotumia ajali ya kivuko cha MV Nyerere kuichonganisha serikali na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Waliozamisha MV Nyerere wakamatwe, maombelezo siku nne

SERIKALI imeagiza vyombo vya dola kuwakamata na kuwahoji wahusika katika uendeshaji safari za kivuko cha MV Nyerere kuhusu ajali ya kivuko hicho iliyotokea...

Habari za Siasa

Kuzama MV Nyerere: Lowassa, Mbatia, Maalim Seif wamvaa JPM

JAMES Mbatia, Mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi-Taifa amesema, ajali ya MV. Nyerere iliyotokea jana katika Ziwa Victoria ni ya...

Habari za Siasa

Rais Magufuli afanya uteuzi mpya NSSF

RAIS John Magufuli amemteua Balozi Mstaafu, Ali Idi Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wagoma mpaka 2020

KAMATI Kuu ya Chadema imeazimia kususia chaguzi ndogo zinazotarajiwa kufanyika hivi karibuni kutokana na kutoridhishwa na uendeshwaji wa chaguzi ndogo zilizopita. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole ajikanyaga Uchaguzi Ukonga

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedai kwamba, mahudhurio hafifu ya wapiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa...

Habari za Siasa

Mwita Waitara arudi tena Ukonga

MGOMBEA Ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ukonga uliofanyika jana, Mwita Waitara ameibuka mshindi baada ya kupata kura ya asilimia...

Habari za Siasa

Simu ya JPM yampeleka Lukuvi Bunda

SIKU 12 baada ya Rais John Magufuli kumwagiza William Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutatua mgogoro wa kiwanja cha...

Habari za SiasaTangulizi

Kalanga ashinda Monduli, aahidi makubwa

MBUNGE mteule katika jimbo la Monduli aliyeshinda kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana tarehe 16 Septemba 2018 kwa kura asilimia 95, Julius Kalanga ameahidi...

Habari za Siasa

Mawakala Chadema, NCCR wasulubiwa Ukonga

MSIMAMIZI wa kituo cha Uchaguzi Pugu mnadani, Mustapha Zayumba amewatimua mawakala Chadema, NCCR-Mageuzi na NLD. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mustapha amesema, amewatimua...

Habari za SiasaTangulizi

Gari la mbunge Chadema lashambuliwa kwa risasi Monduli

ANNA Gidarya, Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Manyara ameeleza kuwa, gari lake limeshambuliwa kwa risasi leo tarehe 16 Septemba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

CUF yapigwa bao mapema Dar

MOHAMED Faki, mgombea udiwani katika Kata ya Vingunguti (CUF) Dar es Salaam ameanza kukaangwa mapema. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mawakala wa Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Makontena ya Makonda kugaiwa kwa umma

IWAPO Makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yanayopigwa mnada na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kupitia Kampuni...

Habari za Siasa

Polisi wawatahadharisha wakazi wa Monduli

IKIWA kesho tarehe 16 Septemba 2018 ni siku ya uchaguzi mdogo katika majimbo mawili na kata zaidi ya 20 za Tanzania Bara, Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Maskini Mbowe! Yamemkuta tena

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco) mkoani Kilimanjaro limekata umeme kwenye hoteli inayomilikiwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa. Anaripoti Faki...

Habari za Siasa

Mambosasa: Tumejiandaa kuwashughulikia ipasavyo Ukonga

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema litawashughulikia kisheria wale wote wenye lengo la kufanya vurugu siku ya uchaguzi mdogo...

Habari za Siasa

NEC watangaza Uchaguzi mdogo mwingine

UCHAGUZI mdogo katika kata 37 za Tanzania Bara unatarajiwa kufanyika tarehe 13 Oktoba 2018. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Tarehe hiyo imetangazwa leo...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea awaibua Tundu Lissu, Ben Saanane, Ulimboka bungeni

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea ameibua bungeni tukio la kushambuliwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Mwanahabari Absalom Kibanda, Ben Saanane na...

Habari za Siasa

Maalim Seif mguu nje, mguu ndani CUF

TAMKO la Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa CUF kwamba ‘muda ukifika nitazungumza’ kuhusu kuhama chama hicho inatikisa msimamo wake wa awali....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Lowassa wala kiapo Monduli

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho wameapa hadharani kumkabili...

Habari za SiasaTangulizi

Bendera ya Chadema yawazuzua CCM Ukonga

NI kama maneno ya kumnadi Mwita Waitara yamewaishia makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kwanza kushambulia rangi za bendera ya Chadema....

Habari za Siasa

Kangi Lugola: Mwananchi akifia kwenye mapenzi kachomeni kitanda

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameshangazwa na kitendo cha baadhi ya wananchi kuchoma vituo vya polisi pindi raia anapofariki...

Habari za Siasa

Spika Ndugai azuia wakurugenzi wa Uchaguzi kuguswa

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amemzuia Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Susan Kolimba kujibu maswali ya...

Habari za Siasa

Lukuvi afanya yake Monduli

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kufukuzwa kazi afisa ardhi wa wilaya ya Monduli Kitundu Mkumbo. Anaandika Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Bashe: Naweza kuhama CCM kama Lowassa

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Bashe anaweza kuondoka kwenye chama hicho pale kitakapoboronga. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Amesema kuwa, anaweza...

Habari za SiasaTangulizi

Ziara ya Rais Magufuli yawaibua Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimepinga kauli za Rais John Magufuli alizozitoa alipokuwa kwenye ziara yake Kanda ya Ziwa. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yamwinda Maalim Seif, CUF yang’aka

VITA vya kisiasa ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) vinawasogeza karibu viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na sasa wanampigia hesabu...

Habari za Siasa

9/11: Nani aliyemuua Osama?

TAIFA la Marekani ambalo ni kubwa na lenye nguvu leo linaadhimisha miaka 17 ya shambulio la kigaidi na lisiloweza kusahaulika kwa miaka mingi...

Habari za SiasaTangulizi

Kumtetea mkandarasi kwamponza Waziri, JPM amtolea uvivu

RAIS John Magufuli amemchimba mkwara Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwele kwamba atamfukuza kazi endapo mkandarasi wa ujenzi wa daraja...

Habari za SiasaTangulizi

Kucha na kope bandia marufuku bungeni

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Job Ndugai, amepiga marufuku wabunge wanawake kuingia bungeni wakiwa wamebandika kucha na kope za...

Habari za SiasaTangulizi

Wananchi wa Chato wamkera JPM, awapa adhabu kali

RAIS John Magufuli amesema hatoipa kipaumbele wilaya ya Chato iliyoko mkoani Geita, katika utekelezaji wa miradi ya maji, kutokana na baadhi ya wakazi...

Habari za Siasa

Filamu ya makontena ya Makonda yaendelea

MAKONTENA 20 yenye samani mbalimbali yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yanayopigwa mnada na Mamlaka ya Mapato nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aikalia kooni Acacia

RAIS John Magufuli ameapa kuibana kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia ili ikamilishe ujenzi wa  mradi wa maji unaojengwa wilayani Tarime mkoa wa...

Habari za Siasa

Pareso, Mkuchika watunishiana misuli hela za TASAF

MBUNGE wa Viti Maalumu (Chadema), Cecilia Pareso ameitaka serikali kufanya tathimini na uchunguzi wa kina kuhusu matumizi ya fedha za Mpango wa Kunusuru...

Habari za SiasaTangulizi

JPM ambana mbunge wa Chadema, atamani kuhamia CCM

MBUNGE wa Serengeti kupitia Chadema, Marwa Lyoba amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wafuasi wa CCM alipobanwa na Rais John Magufuli...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awatega wakuu wa wilaya, mikoa

RAIS John Magufuli amewaweka mtegoni Wakuu wa Wilaya na Mikoa walioko katika maeneo yenye migogoro sugu  ya ardhi, akiwataka kusema iwapo wameshindwa kuitatua...

Habari za Siasa

Ngono chap chap yapigiwa chapuo bungeni  

 SUSAN Lyimo, Mbunge wa Viti Maalum Chadema ametaka kutengenezwa mazingira ili wanaotaka kufanya ngono haraka, wawe  na amani. Anaandika Mwandishi Maalum…(endelea). Lyimo ameitaka...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi mpya wa Takukuru

RAIS John Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi, Diwani Athuman kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

JPM: Nyerere akiibuka leo atashangaa

RAIS John Magufuli amemuagiza Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Prof. Kitila Mkumbo kufanya uchunguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Nitamkaba Lukuvi alipe pesa zangu

RAIS John Magufuli amesema, atamkaba Waziri wa Ardhi, William Lukuvi ili amlipe Sh. 1 milioni fedha alizowapa wazee wawili ambao mmoja wao alidhulumiwa...

Habari za Siasa

JPM atosa wanachama wapya CCM

RAIS John Magufuli amegoma kupokea wanachama wapya wanaotaka kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Faki Sosi … (endelea). Taarifa za awali zinadai...

Habari za Siasa

Zitto Kabwe kufichua kesi mpya za Serikali bungeni

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewasilisha swali la maandishi bungeni akiitaka serikali iueleze umma kuhusu idadi ya kesi zilizofunguliwa kwenye mahakama za...

Habari za Siasa

Zengwe la Uchaguzi Mdogo laibuka bungeni

MATUKIO yaliyotikisa katika Uchaguzi Mdogo wa udiwani na ubunge sasa yameanza kuhojiwa bungeni. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea) Miongoni mwa matukio hayo ni...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema Karatu mbioni kupasuka  

NGOME pekee ya Chama cha Demokrasia naMaendeleo (Chadema), iliyokuwa imesalia – halmashauri ya wilaya ya Karatu – iko hatarini kuvunjika muda wowote kutoka...

Habari za Siasa

Bunge laanza, Waziri Mkuu kuulizwa maswali 16  

MKUTANO wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kuanza Jumanne ya tarehe 4 Septemba 2018, huku maswali 16 ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli kuwalipa Wafanyakazi wa meli Bil 3.7

RAIS John Magufuli ameahidi kutoa kiasi cha Sh. 3.7 bilioni ndani ya wiki mbili, kwa ajili ya kulipa malimbikizo ya mishahara ya miezi...

Habari za Siasa

Bakwata inaitumikia serikali?

BARAZA Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) limekuwa likituhumiwa kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kufanya kazi kwa maslahi ya serikali badala ya...

Habari za SiasaTangulizi

Laana ya Makonda yagonga mwamba, makontena yauzwa

BAADHI ya samani zilizokuwemo kwenye makontena yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na kukwama bandarini kutokana na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli hapendi hamahama za wabunge, madiwani

WIMBI la hamahama ya madiwani na wabunge wa upinzani nchini limelalamikiwa kuwa linaipeleka nchi kwenye giza la uchumi kutokana na kuingia kwenye gharama...

error: Content is protected !!