Friday , 29 March 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atoa ya moyoni

TUNDU Lissu, Mbunge was Singida Mashariki amesema kuwa upinzani umeshambuliwa kuliko kipindi chochote nchini Tanzania. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Lissu amesema hivyo...

Habari za Siasa

Katibu wa Bunge aficha sababu za Ghasia kujiuzuru

HAWA Ghasia, Mbunge wa Mtwara Vijijini kupitia CCM, amejiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti leo tarehe 28 Agosti, 2018. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Sugu: Kifo cha Mama kimesabishwa na kifungo changu

JOSEPH Mbilinyi, Mbunge wa Mbeya Mjini amedai kuwa, kifo cha marehemu mama yake, Desderia Mbilinyi kilichotokea tarehe 26 Agosti, 2018 katika hospitali ya...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda chali

MPANGO wa Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuzuia kuuzwa makontena zaidi ya 20 yaliyoingizwa kwa jina lake kutoka nje,...

Habari za Siasa

Kesi ya Mbowe na wenzake yahairishwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi imeipiga karenda kesi inayowakabili viongozi waandamizi tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wa Taifa wa...

Habari za Siasa

Masikini Abdul Nondo!

MAHAKAMA ya Mkoa wa Iringa imemkuta na kesi ya kujibu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP) Abdul Nondo aliyeshitakiwa kwa madai ya...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yamliza Makonda, atoa laana

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yupo kwenye mtihani wa kunasua ‘makontena yake yaliyobeba samani’ bandarini jijini Dar es Salaam....

Habari za Siasa

Kikwete, Cheyo kuwamwakilisha Rais Magufuli kuapishwa Mnangagwa

DK. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, anatarajiwa kumwakilisha Rais John Magufuli katika sherehe za kuapishwa wa Emmerson Mnangagwa, Rais...

Habari za Siasa

NEC watangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Liwale

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Liwale Mkoa wa Lindi, kufutia kujiuzulu kwa Zuberi  Kuchauka aliyekuwa Mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Ridhiwani Kikwete ‘apaniki’

RIDHIWANI Kikwete, Mbunge wa Chalinze ameishiwa uvumilivu. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mbunge huyo kijana anaeleza kukerwa na tuhuma zinazoelekezwa kwake kwamba ‘anakerwa’...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe anena mazito wakili wao kujitoa

BAADA ya Jeremiah Mtobesya, wakili anayetetea viongozi waandamizi wa Chadema wanaokabiliwa na kesi ya jinai namba 112, kujitoa katika kesi hiyo. Freeman Mbowe,...

Habari za Siasa

Wabunge 19 Chadema kulinda kura Dodoma

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema watawatumia wabunge kumi na tisa wa chama hicho kulinda kura katika uchaguzi mdogo wa...

Habari za Siasa

Waislam wamporomoshea dua JPM

SWALA ya Eid Alhaj iliyoswaliwa kitaifa jijini Dar es Salaam imemalizika kwa kuombewa dua Rais John Magufuli. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Dua...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola awasha moto NIDA, vigogo watatu mbaroni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemwagiza Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini kuhakikisha anawatia mbaroni wafanyakazi wa Mamlaka ya...

Habari za Siasa

Dada wa Rais Magufuli azikwa Chato

MWILI wa Monica Magufuli, dada wa Rais John Magufuli umezikwa leo tarehe 21 Agosti mwaka huu, nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato...

Habari za Siasa

Wadau waitwa kutoa maoni miswada ya sheria

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaalika wadau kutoa maoni yao yatakayotumika katika mchakato wa uchambuzi wa miswada ya sheria kwenye ngazi...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge watatu Upinzani kutua CCM kabla Bunge kuanza

WABUNGE watatu wa upinzani- wawili Chadema na mmoja Chama cha Wananchi (CUF), wako mbioni kuvikimbia vyama vyao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

Dada wa Rais Magufuli afariki dunia

MONICA Joseph Magufuli, Dada wa Rais John Magufuli amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 19 Agosti, 2018 kwenye Hospitali ya Bugando iliyoko jijini...

Habari za Siasa

CUF watoa msimamo madiwani wake kuhama

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetoa msimamo wake kuhusu kuhama kwa waliokuwa viongozi, wabunge na madiwani wa chama hicho, kikisema kuwa kitafanya vikao vyake...

Habari za Siasa

Serikali yaja na vifaa vya kisasa vya upimaji ardhi

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema, wizara yake imeleta Vifaa vya kisasa vya upimaji wa ardhi ambavyo vitagawiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Moto wateketeza mali za mamilioni Ngara

MAGARI matano ya mizigo, yameteketea kwa moto katika kituo cha forodha kilichomo eneo la Rusomo, wilayani Ngara, mpakani mwa Tanzania na Rwanda, leo...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba kummaliza rasmi Maalim Seif

HARAKATI za Profesa Ibrahim Lipumba kumtosa Maalim Seif, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) zinaelekea ukingoni. Anaandika Faki Sosi … (endelea).  Kwa sasa...

Habari za Siasa

Naibu Meya wa Dar atimkia CCM

ALIYEKUWA Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mussa Kafana amejiuzulu uanachama wa CUF na kuomba kupokelewa ndani ya CCM....

Habari za Siasa

Zile trilioni 1.5 kuanza kusakwa

VIKAO vya Kamati ya Bunge vinaanza wiki ijayo ambapo miongoni mwa kazi zitazofanywa ni pamoja na kupitia na kuchambua Taarifa ya Mkaguzi Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli akata ngebe za wanaoibeza Dreamliner

RAIS John Magufuli amekata mzizi wa fitina kwa wanaoibeza ndege ya Dreamliner wakidai mbovu, baada ya kuamua kutumia ndege hiyo kwenda jijini Mwanza...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aula SADC

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....

Habari za Siasa

Chadema wateua wa kupambana na Waitara, Kalanga

CHAMA cha Chadema kimeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi baada ya wabunge wawili kujiuzulu na mmoja kufariki. Anaripoti Regina Kelvin …...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba: Ninaongoza kwa kuwatetea Wazanzibar

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa amesema, ni kinara kwa kuwatetea Wazanzibari. Anaandika Faki...

Habari za Siasa

Chadema waanika ubatili wa NEC kwenye uchaguzi wa marudio

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU NEC KUHALALISHA UBATILI ULIOFANYIKA KWENYE UCHAGUZI Chama cha Demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

LHRC yafichua madudu mengine

MATOKEO ya ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2017 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yamebainisha kwamba...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo waomba mkutano wa maridhiano

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali pamoja na wadau wa demokrasia nchini kuitisha mkutano wa kitaifa wa maridhiano ya kisiasa kwa ajili ya kujadili...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: Wabunge kujivua uanachama ni faida kwa Upinzani

DK. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM amesema kitendo cha wabunge na madiwani wa vyama vya CUF na Chadema kujivua unachama na kujiunga...

Habari za Siasa

Lukuvi abadili staili utoaji vibali vya ujenzi

WaAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema kwamba kuanzia sasa vibali vya ujenzi vitakuwa vinatolewa kila wiki na vitakuwa...

Habari za Siasa

CCM wawarudisha Waitara, Kalanga

KAMATI Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM imeteuwa wagombea watatu watakaokiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Maneno mazito ya Mbunge wa Chadema baada ya Uchaguzi

NENO LA SHUKRANI Na Elia F Michael Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa chama wilaya ya Kakonko na Chama Taifa kuniona kama...

Habari za Siasa

Afya ya Dk. Kigwangalla yaimarika

HALI ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla inazidi kuimarika ambapo kwa mara ya kwanza tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwenda mahakamani kupinga ushindi wa CCM

CHAMA cha Demorasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara, kimepanga kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mdogo...

Habari za Siasa

Alichokifanya JPM hiki hapa

IFUATAYO ni orodha ya majina ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali walioteuliwa na kuhamishiwa vituo vya kazi leo tarehe 13...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge mwingine wa upinzani akimbilia CCM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Zubeir amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin …...

Habari za Siasa

Rais Magufuli afumua wakuu wa mikoa, wakurugenzi

RAIS John Magufuli leo tarehe 13 Agosti, 2018 amefanya mabadiliko kadhaa kwa Wakuu wa Wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini huku sehemu...

Habari za SiasaTangulizi

NEC wamrudisha rasmi Chiza Buyungu

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Buyungu, Lusubilo Mwakabibi amemtangaza Christopher Chiza, Mgombea wa CCM kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika...

Habari za Siasa

Majaliwa atema cheche Ruangwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Pudencis Protas  kumkamata Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC)...

Habari za SiasaTangulizi

Lema apigwa, visu vyatamba Arusha

GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari...

Habari za Siasa

Mambo yameiva Buyungu

WAKAZI wa Jimbo la Buyungu lililoko Wilayani Kankonko mkoa wa Kigoma, wamejitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin …...

Habari za SiasaTangulizi

Ukistaajabu ya Lipumba utayaoona ya Mtatiro

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amekula matapishi yake baada ya kutangaza kuunga mkono juhudi za...

Habari za Siasa

‘Mtatiro amefuata fursa kwa JPM’

KWENYE siasa hatufuati watu. Ukiwafuata watakuacha solemba. Fuata misingi. Anaandika Ansbart Ngurumo … (endelea). Msando na Mtatiro walikuwa wafuasi. Hawakuwa waanzilishi. Hata wangekuwa...

Habari za Siasa

Lowassa ataja sababu za Kalanga kurudi CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa. Edward Lowassa leo amewahutubia wananchi wa Kata ya Migungani Wilayani Monduli katika...

Habari za SiasaTangulizi

Pole Maalim Seif

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ameondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi  (CCM)....

Habari za Siasa

Nape Nnauye atoa neno kuhama kwa Mtatiro

NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama ametoa neno baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF Taifa, Julius Mtatiro kukihama chama...

Habari za SiasaTangulizi

Mtatiro aitosa CUF, amuunga mkono Rais Magufuli

JULIUS Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, amejivua uanachama wa chama hicho na kuonesha nia ya kuhamia Chama...

error: Content is protected !!