WANANCHI wa kijiji cha Bulige kata ya Bulige katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamemkataa mwenyekiti wa kijiji hicho, mtendaji pamoja...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2017BODI ya Mamlaka ya Ngorongoro (NCAA), imesema itakabiliana na changamoto zinazoikabili mamlaka hiyo kufikia dira ya uhifadhi, anaandika Mwandishi Wetu. Kaimu Mwenyekiti mpya...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2017WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Mawakili Tanzania Bara(TLS), Emmanuel Makene amekilalamikia Chama hicho kuwa hakiwasaidii wanachama wake wakati...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017CHAMA cha walemavu Tanzania (CHAWATA), kimeiomba serikali ya awamu ya tano kuwaangalia kwa jicho la tatu katika swala zima la uchumi wao, anaandika Victoria...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017MKUU wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo amesema mwananchi yeyote atakayeshindwa kutoa ushirikiano wa kujua idadi ya mifugo aliyo nayo atatiwa nguvuni, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017WANAWAKE wamehimizwa kunyonyesha watoto kwa kipindi kinachoshauriwa kitaalamu ili kuwaepusha na madhara ya utapiamlo na udumavu wa akili, anaadika Mwandishi Wetu. Mratibu wa...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuwa wazalendo kwa nchi yao...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017ANGELINA Mabula, NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, ameitaka halmashauri ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, kuhakikisha zinamaliza uhaba wa...
By Moses MsetiJuly 25, 2017WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amewatoa hofu wananchi wa Kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga kwamba hakuna mtu atakayechukuliwa...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017HALMASHAURI ya Wilaya ya Simanjiro, imeendelea kupata hati safi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG), kwa mwaka...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017WANAFUNZI wanaosoma shule ya sekondari ya Kwamkabara kata ya Kwamkabara wilayani Muheza mkoani Tanga wamepatwa na ugonjwa wa ajabu unaosababisha kuanguka hovyo, anaandika...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2017SERIKALI imewaagiza Maofisa ardhi wa Manispaa ya Iringa pamoja na halmashauri zote nchini kufanya kazi kwa weledi pamoja na kutatua kero za wananchi...
By Hamisi MgutaJuly 22, 2017WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.669 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji katika wilaya ya Ileje mkoani...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2017MAKUNDI mawili ya vijana wapatao 40 kutoka wilaya ya Kilosa mkoani hapa wamepatiwa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 10 milioni...
By Christina HauleJuly 22, 2017TAASISI ya kuendeleza mifumo ya masoko kwenye kilimo nchini (AMDT), imepanga kuwafikia wakulima 500,000 wa zao la alizeti wa mikoa 12 ya Tanzania...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2017SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatarajia kukusanya kiasi cha Sh.trilioni 1.3 kwa mwaka wa fedha 2018/2019, anaadika Christina Haule. Mkurugenzi...
By Christina HauleJuly 21, 2017JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu 45 kwa tuhuma mbalimbali pamoja na kukamata silaha, mali za wizi na madawa ya kulevya katika...
By Danson KaijageJuly 21, 2017MAHAKAMA ya Wilaya ya Manyoni, imewahukumu kifungo cha miaka 25 jela kila mmoja majangili wawili baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mbalimbali ikiwemo...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2017Wizara ya Nishati na Madini imefanya mabadiliko kufuatia kupitishwa kwa sheria mpya ‘the written laws (miscellaneous amendmend ) Act 2017 iliyofanyiwa marekebisho kadhaa...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017WIZARA ya Maji na Umwagiliaji kupitia Bonde la Wami Ruvu inakusudia kutangaza eneo hilo kama hifadhi ya vyanzo vikuu vya maji nchini, anaandika...
By Christina HauleJuly 21, 2017JUMUIYA ya Tawala ya Mitaa (ALAT) Tanzania inatarajia kuhamia mkoani Dodoma ifikapo tarehe 1 mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya kutekeleza agizo la Rais John...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017JESHI la Polisi Kanda maalum Dar es salaam limewakamata watuhumiwa 44 wa wizi wa vifaa vya magari pamoja na vifaa hivyo vya magari, katika oparesheni...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017CHAMA cha Wapangaji Tanzania (Tanzania Tenants Association), kimeiomba serikali kuweka chombo maalum kwa ajili ya kulinda maslahi ya wapangaji, anaandikaCatherine Kayombo. Akizungumza na wanahabari,...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017SAKATA la Muuguzi anayedaiwa kumbaka binti mwenye miaka 18 limeingia katika sura mpya, baada ya serikali kuingilia kati na kuomba Baraza la Wauguzi...
By Hamisi MgutaJuly 19, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Yusuph Manji, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, anaandika Hamisi Mguta. Manji...
By Hamisi MgutaJuly 19, 2017ANTONY Diallo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha televisheni Star TV, Redio Free Africa (RFA) na Kiss...
By Masalu ErastoJuly 19, 2017ALIYEKUWA Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya, amefariki dunia leo Julai 19 katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa baada...
By Hamisi MgutaJuly 19, 2017JESHI la Zimamoto na Uokoaji nchini limetengewa Sh. 3 bilioni kwa ajili ya kununulia vitendeakazi zikiwemo gari za kuzima moto na madawa ya...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2017MFANYABIASHARA ambaye pia ni Naibu katibu wa Wafanyabiashara kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es salaam, John Shayo ametangaza kuuburuza mahakamani uongozi...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017BAADHI ya wajumbe na wanachama wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) wameendelea kuvutana na uongozi wa juu chama hicho wakitaka viongozi kuachia madaraka...
By Danson KaijageJuly 18, 2017BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewataka waumini wake na watanzania wote nchini kumpuuza mtu mmoja aliyejitokeza huko mkoani Pwani, akidai kuwa yeye...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi katika maeneo kadhaa, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa...
By Masalu ErastoJuly 18, 2017JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, limewakamata watuhumiwa mbalimbali wanaojihusisha na makosa mbalimbali ya kiuhalifu yakiwemo makosa ya kutumia madawa ya...
By Masalu ErastoJuly 17, 2017IMEELEZWA asilimia 80 ya watanzania nchini wanategemea kilimo kutokana na watu wengi kuendesha maisha yao ya kila siku na wengine kujipatia kipato kupitia...
By Moses MsetiJuly 16, 2017JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limekiweka kiporo kituo cha Televisheni cha Channel Ten kwa kukiuka makubaliano ya kutoandika wala kutangaza habari zinazomuhusu Mkuu...
By Hamisi MgutaJuly 15, 2017ACACIA Mining Limited imekubali kuilipa serikali mrabaha wa asilimia sita (6%) baada ya sheria ya madini kubadilishwa, anaandika Victoria Chance. Kampuni hiyo inayomiliki...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017CHRISTINA Mndeme, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini amevifungia vituo nane vya mafuta visivyofuata sheria za utendaji wilayani hapo ikiwemo kutokuwa na mashine...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekusanya Sh. 9.6 bilioni kutoka kwa kampuni za simu za mkononi kutokana na faini walizotakiwa kulipa baada ya...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017EMMANUEL Macron, Rais wa Ufaransa ameafiki uamuzi wa Donald Trump, Rais wa Marekani kijitoa katika mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi wa Ufaransa,...
By Masalu ErastoJuly 14, 2017CHUO cha Ufundi Stadi (VETA) kimeanzisha kozi itakayozalisha wahitimu watakaosaidia kuchakata na kung’arisha madini ya vito, anaandika Jovina Patrick. Kozi hiyo inakuja kipindi...
By Masalu ErastoJuly 13, 2017SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) amefanya mabadiliko ya kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani pamoja na kamanda wa polisi...
By Masalu ErastoJuly 13, 2017SHIRIKA lisilo la kiserikali la Foundation For Civil Society (FSC) kesho linatarajia kuzindua kampeni ya “Chungulia Fursa Boda to Bado,” anaandika Victoria Chance....
By Masalu ErastoJuly 13, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru aliyekuwa Kamishna wa TRA, Tiagi Masamaki na wenzake watano waliokuwa wakishtakiwa na makosa ya uhujumu uchumi...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2017KAMPUNI binafsi ya ulinzi la Stemo Security imedaiwa kujiingiza katika vitendo vya kiharifu badala ya kufanya kazi zake za ulinzi wa mali za...
By Danson KaijageJuly 12, 2017KESI ya Alphonce Lusako, mwanafunzi wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anayehangaikia haki yake ya kikatiba ya kujiendeleza kielimu baada...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017KAMPUNI ya Kuja na Kushoka Tools Manufactures Group kimezindua mashine ya kutengeneza mkaa unatokana na taka na kukaushia zao la tumbaku, anaandika Irene...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017SERIKALI mkoani Mwanza, imekipa siku 10 kiwanda cha ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo Wilaya ya Ilemela jijini hapa, kuhakikisha kinaondoa vyuma chakavu mara...
By Moses MsetiJuly 12, 2017KESHO kunatarajiwa kuanza kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 60 tangu Mtukufu Aga Khan alipochaguliwa kuwa imamu Mkuu wa dhehebu la Shia Ismailia ulimwenguni, tukio...
By Pendo OmaryJuly 6, 2017WAFANYABIASHARA wa maduka ya nguo za jumla na rejareja katika Jiji la Mwanza, wametishia kufunga biashara zao kutokana na Kiomoni Kibamba, Mkurugenzi wa...
By Moses MsetiJuly 4, 2017KAULI ya Rais John Magufuli kuwataka wanafunzi wote wa kike wa shule za msingi na sekondari watakaopata ujauzito kutorejea mashuleni imeendelea kupingwa na...
By Masalu ErastoJuly 4, 2017