MBUNGE wa Viti Maalum, Fakharia Shomari Khamis (CCM) ameihoji serikali namna ilivyojipanga katika kuzuia uvuvi haramu nchini, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali bungeni...
By Danson KaijageMay 23, 2017SERIKALI imetekeleza mradi wa majisafi kutoka Ziwa Victoria kwenda katika mji wa Ngudu na vijiji vilivyopo kando kando ya bomba linalopeleka maji katika...
By Danson KaijageMay 22, 2017MBUNGE wa Viti Maalum, Jesca Kishoa (Chadema) amehoji ni kwanini serikali haioni haja ya kuwasaidia wafanyabiashara kwa kuwapa riba yenye mikopo nafuu ili...
By Danson KaijageMay 22, 2017SERIKALI imekiri kuwepo changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uingizwaji wa dawa za mifugo na kilimo ambazo hazikidhi viwango, anaandika Dany Tibason. Mbali...
By Danson KaijageMay 22, 2017MBUNGE wa Viti Maalum, Rhoda Kunchela (Chadema) ameomba mwongozo wa kutaka Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge kuharisha shughuli za bunge kwa lengo la...
By Danson KaijageMay 22, 2017WATU watatu wanaozaniwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza wakati walipokaidi amri ya Polisi ya kujisalimisha eneo...
By Moses MsetiMay 19, 2017BODI ya kahawa Tanzania inakusudia kuongeza uzalishaji kutoka tani 80,000 za mwaka 2017 hadi kufikia tani 100,000 mwaka 2021, anaandika Christina Haule. Hayo...
By Christina HauleMay 19, 2017MBUNGE wa Gando, Othman Omar Haji (CUF) ameihoji serikali kueleza namna Tanzania ilivyofaidika na utekelezaji wa mkataba wa ushirikiano baina yake na Serikali ya...
By Danson KaijageMay 18, 2017SERIKALI imekiri kukithiri kwa majanga ya moto mashuleni na kusababisha uharibifu mkubwa wa majengo, anaandika Dany Tibason. Akijibu swali bungeni leo, Naibu Waziri...
By Danson KaijageMay 18, 2017MAMLAKA ya udhibiti chakula vipodozi na dawa TFDA imefungia machinjio ya ng’ombe ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kuendelea na huduma ya uchinjaji...
By Danson KaijageMay 18, 2017JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania leo amefanya uteuzi mpya Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), anaandika Hamisi...
By Hamisi MgutaMay 17, 2017MAHAKAMA ya Mkazi Kisutu imemuachia huru Naibu Waziri wa Fedha wa awamu ya nne, Adam Malima leo kwa dhamana ya shilingi milioni tano,...
By Hamisi MgutaMay 16, 2017SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Taasisi za Kiislam Tanzania ameibuka na kumtetea anayeitwa jambazi aliyeuwawa katika tukio la uvamizi wa ATM, kuwa...
By Hamisi MgutaMay 16, 2017SERIKALI inaangalia uwezekano wa kuongeza posho ya wazee wa mabaraza ya Mahakama kutokana na kiwango cha Sh. 5,000 kinacholipwa hivi sasa kwa wazee...
By Danson KaijageMay 8, 2017SERIKALI imesema inatekeleza programu ya miaka mitano ya kukuza ujuzi inayolenga kuwezesha vijana 4,419,074 kupata ujuzi wa kuajiliwa au kujiajiri katika sekta mbalimbali,...
By Hamisi MgutaMay 8, 2017KAMANDA wa Polisi, mkoani Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha kuwa watu 32 wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Karatu, eneo la Rhotia Marera, anaandika Hamisi Mguta. Waliofariki...
By Hamisi MgutaMay 6, 2017OFISI ya Kamishna wa Ardhi Kanda ya Ziwa, imewafikisha mahakamani wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi 310, walioshindwa kulipa kodi hiyo kwa kipindi...
By Moses MsetiMay 5, 2017SERIKALI imepiga marufuku tabia ya baadhi ya wakurugenzi ambao wanawahamisha watumishi bila kuwa na bajeti ya kuwalipa fedha zao, anaandika Dany Tibason. Kauli...
By Danson KaijageMay 4, 2017MBUNGE wa Mtambile, Masoud Abdallah Saim (CUF) ameihijo serikali ina mipango gani ya kupiga marufuku tabia ya watu kurithi wajane, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageMay 4, 2017WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harison Mwakyembe amepiga marufuku watangazaji wa vipindi vya magazeti kwenye redio na televisheni kusoma habari...
By Christina HauleMay 4, 2017MBUNGE wa Viti Maalum, Upendo Peneza (Chadema) ameitaka serikali iangalie uwezekano wa kupunguza kodi katika vifaa vya ujenzi ili wananchi waweze kujenga nyumba...
By Danson KaijageMay 2, 2017SERIKALI imepiga marufuku halmashauri zote nchini kutumia magari ya chanjo kwa ajili ya kukusanya mapato anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri...
By Danson KaijageMay 2, 2017MBUNGE wa Viti Maalum, Rhoda Kunchele (Chadema) ameitaka serikali ieleze ni lini itakuwa tayari kutatua mgogoro wa shamba lililokuwa likimilikiwa na NBC katika...
By Danson KaijageMay 2, 2017SHIRIKISHO la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TCTA) Mkoa wa Dodoma, kipato cha mshahara kwa mfanyakazi kwa mwezi hakikidhi mahitaji kwa mfanyakazi, anaandika Dany...
By Danson KaijageMay 1, 2017WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene amewataka wananchi kuchangamkia fursa za kimaendeleo zinazopatikana katika mkoa wa...
By Danson KaijageApril 27, 2017ASKOFU wa kanisa Methodist jimbo la Dodoma,Joseph Bundala amemtaka rais Dk. John Magufuli kuingilia kati suala la mfumko wa bei ya vyakula ili...
By Danson KaijageApril 27, 2017VISIWA vinne kati ya 38 vilivyopo Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, vitaanza kupata umeme wa nishati ya jua baada ya Kampuni ya Rex...
By Moses MsetiApril 27, 2017VIJANA waliohitimu elimu ya juu nchini wameshauriwa kuanzisha shughuli za ujasiriamali na kukuza uchumi wao kwa kujitokeza kwenye ofisi za mikopo badala ya...
By Christina HauleApril 26, 2017SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na...
By Hamisi MgutaApril 24, 2017MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa...
By Christina HauleApril 21, 2017ESTOMIAH Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, ameiomba Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri...
By Moses MsetiApril 21, 2017WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ameiagiza bodi mpya ya wakurugenzi wa Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini (REA) kuwakagua wakandarasi...
By Danson KaijageApril 20, 2017WAKATI Serikali ikijinasibu kuwa nchini hakuna njaa, bado jamii imeendelea kulalamikia upandaji wa bei ya vyakula, anaandika Dany Tibason. Kwa nyakati tofauti baadhi...
By Danson KaijageApril 20, 2017MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) inakusudia kupunguza mwingiliano wa utendaji kazi baada ya kuanza kuweka mikakati kwa watumiaji...
By Moses MsetiApril 20, 2017SIMON Sirro, Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, amewataka wakazi wa jiji hilo kuwa makini hasa katika kipindi hiki uchunguzi dhidi...
By Hamisi MgutaApril 19, 2017SERIKALI imewataka watendaji wa vyama vya wafanyakazi kuzisoma, kuzitambua na kuzitumia vyema kanuni na sheria za kazi ili kutatua migogoro ya wafanyakazi na...
By Christina HauleApril 19, 2017HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari, Josephat Isango tayari umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta....
By Hamisi MgutaApril 18, 2017SERIKALI imeitaka mifuko ya kijamii ambayo inatoa mikopo kwa jamii kufanya marekebisho upya ili kuona uwezekano kupunguza kiwango cha riba, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageApril 18, 2017WAFUGAJI wa nguruwe kwenye kata ya Kingolwila, Morogoro wametakiwa kutoiachia mifugo yao kudhurula hovyo mitaani huku ikitapanya kinyesi hali inayopelekea uchafuzi wa mazingira,...
By Christina HauleApril 18, 2017WAKATI hofu juu ya usalama wa maisha ya wananchi wa Kibiti, Pwani ikizidi kutanda baada ya tukio la mauaji ya askari Polisi nane yaliyotekelezwa...
By Hamisi MgutaApril 15, 2017MWILI wa aliyekua Mwandishi wa habari Josephat Isango unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne, saa nne asubuhi nyumbani kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta....
By Hamisi MgutaApril 15, 2017NIMEPOKEA kwa mstuko mkubwa taarifa ya kifo cha mwandishi wa habari mwenzetu na aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL),...
By Masalu ErastoApril 14, 2017KAMISHNA wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Nsato Marijani amesema Jeshi la Polisi linakwenda kufanya operation kali dhidi ya majambazi...
By Hamisi MgutaApril 14, 2017MWANDISHI wa habari Josephat Isango amefariki dunia mapema asububi leo, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mdogo wake aitwae Christopher...
By Hamisi MgutaApril 14, 2017MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa...
By Hamisi MgutaApril 10, 2017MASHIRIKA ya Umma yatalazimishwa kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) kwa kuwa sheria inawataka hivyo na ndiyo maana hata...
By Danson KaijageApril 10, 2017WABUNGE wameelezwa kuwa kiasi cha Sh. 20 bilioni hazikutumika ambazo ni za mfuko wa pamoja wa afya ujulikanao kama ‘Basket Fund’ kwa mwaka...
By Danson KaijageApril 10, 2017IKIWA ni siku tatu tangu tukio la kupotea kwa msanii wa miondoko ya Hip Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na wenzake watatu Kamishna...
By Hamisi MgutaApril 8, 2017NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe...
By Hamisi MgutaApril 7, 2017SERIKALI mkoani Mwanza, imekamata na kuwataifisha samaki kilogramu 3482 wenye thamani ya Sh. 20,892,000 waliovuliwa ‘kimagendo’ na wavuvi haramu kinyume na sheria za...
By Moses MsetiApril 7, 2017