August 18, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Wenye ulemavu waiangukia serikali ya JPM

Spread the love

CHAMA cha walemavu Tanzania (CHAWATA), kimeiomba serikali ya awamu ya tano kuwaangalia kwa jicho la tatu katika swala zima la uchumi wao, anaandika Victoria Chance.

CHAWATA kimedai kuwa serikali imekuwa ikiwaacha nyuma katika nyanja mbalimblali ikiwemo kielimu,kiuchumi, kitamaduni, kisisasa na hata kiutamaduni.

Wameiomba serikali kuwapatia Bajaji ili waweze kuitumia kuwatatlia changamoto mbalimbali za uchumi kwa watu wenye ulemavu.

Wamemuomba Rais John Magufuli kupitia serikali yake ya awamu ya tano,kuzuia watu wengine ambao ni wazima kuendesha Bajaji badala yake, wapewe wao ili wafanye kazi hiyo.

error: Content is protected !!