Saturday , 18 May 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Josephat Isango kuzikwa Jumanne

MWILI wa aliyekua Mwandishi wa habari Josephat Isango unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne, saa nne asubuhi nyumbani kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta....

Habari MchanganyikoTangulizi

Pumzika kwa amani Isango wangu

NIMEPOKEA kwa mstuko mkubwa taarifa ya kifo cha mwandishi wa habari mwenzetu na aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL),...

Habari Mchanganyiko

Polisi kusaka waliyoua Askari Kibiti

KAMISHNA wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Nsato Marijani amesema Jeshi la Polisi linakwenda kufanya operation kali dhidi ya majambazi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Josephat Isango afariki dunia asubuhi hii

MWANDISHI wa habari Josephat Isango amefariki dunia mapema asububi leo, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mdogo wake aitwae Christopher...

Habari MchanganyikoMichezo

Roma: Hatupo salama, aeleza mateso waliyopata

MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa...

Habari Mchanganyiko

Mashirika na Umma yalazimishwa kujiunga NHIF

MASHIRIKA ya Umma yatalazimishwa kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) kwa kuwa sheria inawataka hivyo na ndiyo maana hata...

Habari Mchanganyiko

Serikali yawachongea Waganga kwa wabunge

WABUNGE wameelezwa kuwa kiasi cha Sh. 20 bilioni hazikutumika ambazo ni za mfuko wa pamoja wa afya ujulikanao kama ‘Basket Fund’ kwa mwaka...

Habari Mchanganyiko

Kamanda Sirro: Roma ‘kutekwa’ ni kawaida

IKIWA ni siku tatu tangu tukio la kupotea kwa msanii wa miondoko ya Hip Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na wenzake watatu Kamishna...

Habari MchanganyikoMichezoTangulizi

Wasanii wamvaa Sirro kumdai Roma

NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe...

Habari Mchanganyiko

Samaki wa Sh. 20 milioni wataifishwa Mwanza

SERIKALI mkoani Mwanza, imekamata na kuwataifisha samaki kilogramu 3482 wenye thamani ya Sh. 20,892,000 waliovuliwa ‘kimagendo’ na wavuvi haramu kinyume na sheria za...

Habari Mchanganyiko

Kondoa wanufaika na Bil 1 za Tasaf

ZAIDI ya Sh. bilioni moja zimetumika kuwalipwa walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini unaofadhiriwa na mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF kwa...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya Chai Rungwe kuvunjwa

MBUNGE wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda ameitaka Serikali kuvunja bodi ya chai ya Wilaya ya Rungwe kwa sababu wananchi hawana imani na bodi...

Habari Mchanganyiko

TPA yatakiwa kupima mizigo kwa tani

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Jaku Hashim Ayoub (CCM) ameitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuweka utaratibu wa kupima mizigo inayoingia...

Habari Mchanganyiko

Tanroads yatenga bil 3 kujenga madaraja Masasi

WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kutenga fedha kiasi cha Sh. 3 bilioni kwa ajili madaraja ya Halmashauri ya wilayani Masasi katika bajeti...

Habari Mchanganyiko

Kampuni ya Chai Kagera yakumbwa na ukata

WIZARA ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, imetaja kuwa ucheleweshaji wa malipo ya wakulima na wafanyakazi katika kiwanda cha chai cha Maruku mkoani Kagera...

AfyaHabari Mchanganyiko

Uhaba wa dawa wakithiri Nyamagana

UHABA wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, umezidi kuongezeka na kuwa kero kwa wagonjwa wanaofika kupata huduma kwenye hospitali...

Habari Mchanganyiko

Busara itumie kudai michango kwa wananchi

MKUU wa wilaya ya Bahi, Dodoma, Christina Kitundu, amewataka viongozi wasiwachangishe wananchi pesa za maendeleo kwa nguvu badala yake watumie busara, anaandika Dany...

Habari Mchanganyiko

Mfuko wa PTF kunufaisha vijana Morogoro

MFUKO wa Rais wa Kujitegemea (PTF) umewataka vijana wakiwemo waliohitimu vyuo vya ufundi stadi na taasisi zingine, kuitumia vyema fursa ya mikopo inayotolewa...

Habari Mchanganyiko

Watafiti wa mbegu watakiwa kufuata kanuni

WATAFITI wa mbegu ndani na nje ya nchi wametakiwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI)...

Habari Mchanganyiko

Mvomelo waomba marekebisho ya skimu

SERIKALI imeombwa kurekebisha na kupanua miundombinu ya skimu ya umwagiliaji maji iliyo chakavu kwenye kijiji cha Mlali, Mvomero ili iweze kusaidia wananchi wanaoikosa...

Habari Mchanganyiko

Bunge yaitaka TASAF kuongeza kwenye ajira

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za Mitaa, Mwanne Nchemba ameushauri Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wahariri, Waandishi wamsusia Makonda

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) na Klabu ya Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), wameazimia kumnyima Paul Makonda, Mkuu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lissu aibuka kidedea TLS

TUNDU Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki ameibuka na ushindi katika nafasi ya urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) huku...

Habari MchanganyikoTangulizi

Upigaji kura TLS wakamilika

HAKUNA marefu yasiyo na ncha. Hatimaye vuta nikuvute ya uchaguzi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), imehitimishwa leo asubuhi kwa mawakili kupiga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lissu aachiwa kwa dhamana, aenda Arusha

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameachiwa kwa dhamana ya Sh. 10 milioni na moja kwa moja anaenda Arusha kwenye uchaguzi wa Chama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uchaguzi TLS, Dk. Mwakyembe aanza kupukutika

WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) na hivyo...

Habari Mchanganyiko

Kaya 28 zakosa makazi kutokana na mvua

ZAIDI ya Familia 28 zilizopo katika kijiji cha Milengwelengwe Kata ya Mngazi Tarafa ya Bwakira chini wilayani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada...

Habari Mchanganyiko

Mgombea TLS: Lissu hatatuvuruga

WAKILI Victoria Mandari, ambaye ni miongoni mwa wagombea wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amesema anaamini wagombea wa nafasi hiyo ambao...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hatima ya uchaguzi TLS kutolewa leo

MAWAKILI wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) kimeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kutupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kanuni za uchaguzi iliyofunguliwa...

Habari Mchanganyiko

Wakulima watakiwa kuwa makini na mbegu

WAKULIMA nchini wamesisitizwa kununua mbegu kwenye maduka yaliyosajiliwa huku wakihakikisha ubora wa mbegu wanazonunua kwa kuwa na lebo ya TOSCI ili kuweza kupanda...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vyeti bandia vyazidi kutikisa

WANANCHI wamewataka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), pamoja na Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, wabuni njia mbadala...

Habari Mchanganyiko

Anywa soda 24 kwa saa moja

MTU aliyetambulika kwa jina moja la Salum, amesababisha shughuli mbalimbali kusimama katika eneo la maduka yaliyopo pembeni ya kituo cha mabasi cha Makumbusho...

Habari Mchanganyiko

Wapania kupanda miti milioni 50 kufikia 2020

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Raleigh International lenye makao makuu yake nchini Uingereza, linaendelea na kampeni yake ya utunzaji wa mazingira ukiwemo mpango...

Habari Mchanganyiko

Pombe za viroba, bangi zazua balaa Morogoro

OPERESHENI ya kukamata pombe ambazo hufungwa katika vifuko maalum maarufu kama viroba, imeendelea kushika kasi mkoani Morogoro ambapo sasa jeshi la polisi limewakamata...

Habari Mchanganyiko

Ajiua kwa risasi kisa viroba kukamatwa

FESTO Msalia mfanyabiashara wa vinywaji mkoani Dodoma amejiua kwa kujipiga riasasi kichwani kwa madai kuwa ameumizwa na kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa...

Habari Mchanganyiko

Magufuli, Zitto, Mwigulu wanena kuhusu wanawake

VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa pamoja na watu mashuhuri hapa nchini akiwemo Rais John Magufuli, wametoa salamu za kuwatakiwa heri wanawake katika kilele cha...

Habari Mchanganyiko

‘Wanawake saidieni vita dhidi ya dawa za kulevya’

REGINA Chonjo, Mkuu wa wilaya ya Morogoro amewataka wanawake nchini kutoa ushirikiano katika kufichua wanaohusika na biashara ya dawa ya kulevya ili kurahisisha...

Habari Mchanganyiko

Mama Kikwete afariki dunia

NURU Khalfan Kikwete, mama mlezi wa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefariki dunia mapema hii...

Habari Mchanganyiko

Watelekeza mashamba kuwakwepa tembo

WANAKIJIJI wa kijiji cha Mtipule kilichopo kata ya Msongozi wilayani Mvomero mkoani hapa wameyatelekeza mashamba yao kwa takribani miaka minne mfululizo wakihofia kuvamia...

Habari Mchanganyiko

Waliopora ardhi Morogoro kuburuzwa kortini

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa inatarajia kuwafikisha mahakamani watu 21 wanaodaiwa kujichukulia sheria mikononi na kujimilikisha hekari 66 za kijiji na kujenga nyumba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bodaboda wampinga Kamanda Sirro

WAENDESHA pikipiki ‘bodaboda’ jijini Dar es Salaam, wamepinga ushauri wa Kamanda wa Kanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro,...

ElimuHabari Mchanganyiko

DC Mwanza amsweka rumande mwalimu

FRANCIS Chang’ah, Mkuu  wa Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, ameamuru Eladislaus mwalimu wa shule ya msingi ya Uhuru, awekwe rumande kwa muda usiofahamika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Gwajima akamatwa, Kamanda Sirro ‘amkana’

MUDA mchache baada ya kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya kukamatwa kwa Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wema afikishwa mahakamani, aachiwa kwa dhamana

WEMA Sepetu na wenzake wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashitaka matatu yanayohusiana na matumizi ya dawa za...

Habari Mchanganyiko

Gwajima afyatuka, ataka Makonda ang’olewe

SIKU moja baada ya Paul Makonda kumtaja Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kuwa ni miongoni mwa watu 65 wanaoshukiwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda awavaa Mbowe, Gwajima amkwepa Masogange

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amezindua awamu ya pili ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya ikiwa ni muendelezo...

Habari MchanganyikoMichezo

Wema Sepetu kiza kinene Kisutu

WEMA Sepetu, msanii wa filamu na mshindi wa taji la Miss Tanzania 2006 leo ameshindwa kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo, anaandika Kelvin...

Habari Mchanganyiko

Dodoma ‘walilia’ chakula

RICHARD Kapinye, diwani wa kata ya Kibaigwa na Mwenyekiti wa kamati ya uchumi, ujenzi na mazingira ya halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ameiomba...

Habari Mchanganyiko

Nyumba ya mwenyekiti Rufiji yateketezwa kwa moto

WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameiteketeza kwa moto nyumba ya Bakari Msanga, mwenyekiti wa kijiji cha Jaribu Mpakani wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda atibua, Polisi kwawaka moto

SIKU mbili baada ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaja majina ya wasanii na askari wanaotuhumiwa kuhusika na utumiaji...

error: Content is protected !!