Afya
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imetenga Sh. bilioni sita kwa ajili ya kuiboresha Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, mkoani Kilimanjaro. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 15, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima anatarajia kumuwakilisha Rais wa Samia Suluhu Hassan katika Kongamano...
By Danson KaijageOctober 12, 2021TATIZO la afya ya akili duniani limeendelea kuwa tishio, huku ikikadiriwa kuwa litaongezeka kutoka asilimia 12 hadi 17 ifikapo mwaka 2030. Anaripoti...
By Danson KaijageOctober 11, 2021TANZANIA leo Ijumaa, tarehe 8 Oktoba 2021, imepokea dozi 576,558 za chanjo dhidi ya ugonjwa unaoambukizwa na virusi vya korona (UVIKO-19) aina...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021HOSPITALI ya Manipal kutoka nchini India kwa kushirikiana na Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), wameendesha mafunzo kwa wanahabari kuhusu teknolojia mpya...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021SHIRIKA la Afya duniani (WHO) limeidhinisha chanjo ya kwanza ya ugonjwa wa Malaria na kusisitiza kuwa inapaswa kutolewa kwa watoto wote Barani...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, haitawavumilia watumishi wa umma...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT)...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuna fedha ambayo ameipata na sasa anatarajia kushirikiana na halmashauri zenye uwezo kifedha kujenga madarasa 15,000 nchi...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema, idadi ya wananchi waliochanjwa chanjo ya corona imefikia 400,000. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo...
By Masalu ErastoSeptember 26, 2021MHANDISI Mohamed Mtambo, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo) mkoani Pwani ametoa Sh.500,000 kuchangia ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Dondo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021MPANGO wa Taifa wa Damu Salama umebadilisha mwelekeo wake wa kuigeukia jamii ili kukusanya damu kwa ajiri ya kukabiliana na changamoto ya...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021SERIKALI ya Tanzania imeongeza vituo vya utoaji huduma ya chanjo ya ugonjwa wa Corona (UVIKO-19), kutoka 550 hadi 6,784 nchi nzima. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021MKUU wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus anaweza kuwa mgombea pekee katika nafasi anayoshikilia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2021SERIKALI imewataka Watanzania kuchukua tahadhari kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo uliotokea katika jimbo la Tshopo nchini...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021Wizara ya afya maendeleo, jinsia, wazee na watoto inatarajia kuzindua mpango wa kuharakisha chanjo ya Uviko-19 kuanzia tarehe 20 Septemba, 2021. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021SERIKALI kwa kumtumia Wakala wa majengo (TBA) imeanza upembuzi yakinifu wa majengo yatakayofanyiwa ukarabati pamoja na yale yatakayobomolewa na kujengwa upya, Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2021MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM), Juliana Shonza ameitaka Serikali ieleze ni lini jingo la Hospitali ya Tunduma, Mkoa wa Songwe litafunguliwa. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 8, 2021MKUU wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi amesema anachelea kuamini taarifa iliyotolewa na wizara ya afya kuhusu tukio la daktari aliyemfumua mshono...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021KAMPUNI ya Johnson & Johnson kutoka nchini Marekani imesitisha majaribio ya chanjo ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) Barani Afrika baada ya chanjo...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2021KIRUSI kipya cha Corona kilichopewa jina la ‘Mu’ au B.1.621 kimeanza kutikisa nchi kadhaa za Bara la Amerika kusini na Ulaya huku...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021Kampuni ya Bayoteknolojia Moderna leo Jumatano Agosti 18, 2021 inaanza kufanya majaribio ya chanjo za Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa binadamu. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 18, 2021MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Said, amesema watoto wadogo hawaathiriki sana na Ugonjwa...
By Regina MkondeAugust 7, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameiomba Serikali iongeze vituo vya kutolea huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19). Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imesema huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), itaanza kutolewa kwa wananchi kuanzia Jumanne, tarehe 3...
By Regina MkondeJuly 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua zoezi la utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), kwa kuchanjwa aina ya Johnson &...
By Regina MkondeJuly 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaopinga chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), wakajifunze katika mikoa iliyoathirika na janga hilo....
By Regina MkondeJuly 28, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuingiza aina tano za chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo kwa...
By Regina MkondeJuly 28, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za magonjwa ya mlipuko. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeJuly 27, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa COVID-19, hivyo amewataka Watanzania...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, ameiagiza Wizara ya Afya itaifishe mali za wezi wa dawa na vifaa tiba vya...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa mwongozo mpya wa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam, … (endelea)....
By Regina MkondeJuly 26, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, mpaka sasa wagonjwa 29 walioambukizwa virusi vya corona (COVID-19), wamefariki dunia. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...
By Hamisi MgutaJuly 23, 2021WAGONJWA wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), nchini Tanzania, imeongezeka kutoka 408 hadi kufikia 682....
By Faki SosiJuly 23, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema chanjo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), imeshaingia...
By Regina MkondeJuly 21, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, ametoa siku 10 kwa Taasisi ya Tiba na Mifupa Muhimbili...
By Hamisi MgutaJuly 18, 2021WAKATI dunia ikiendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), Taasisi ya My Legacy nchini Tanzania, imetoa wito kwa wananchi...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2021SERIKALI ya Tanzania imetaja takwimu za wagonjwa wa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), ikisema nchi nzima...
By Danson KaijageJuly 10, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amesema, wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), limetua nchini humo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa utaratibu mpya wa kutoa maiti zinazodaiwa gharama za matibabu, hospitalini na kwamba kuanzia sasa kutakuwa na mfumo utakaowezesha...
By Regina MkondeJuly 6, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameiagiza Wizara ya Afya, ianzishe mfuko maalum wa fedha za vipimo vya ugonjwa wa homa kali...
By Regina MkondeJuly 6, 2021SERIKALI imewaomba viongozi wa dini na wa vyama vya siasa, wawe mstari wa mbele katika kuwahimiza wananchi kufuata miongozo ya kujikinga na...
By Regina MkondeJuly 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni tatu kwa taasisi mbalimbali zinazofanya utafiti katika...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Abebe Aemro Selassie kutoka Shirika la Fedha Duniani...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021TANZANIA na Shirika la Afya Duniani (WHO), wanatarajia kukaa meza moja ili kuangalia namna ya kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona...
By Mwandishi WetuJune 25, 2021KATIKA kuadhimisha kilele cha wiki ya utumishi wa Umma, Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetoa msaada wa shuka 431 katika vituo...
By Danson KaijageJune 24, 2021SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), imeeleza, hakuna mgonjwa yeyote wa corona visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kauli...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH)- Upanga na Mlonganzila, Mkoa wa Dar es Salaam, imeweka sharti kwa wananchi, wafanyakazi na wanafunzi wanaokuwa...
By Faki SosiJune 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu hassan, amesema atalifanyia kazi ombi la Taasisi ya Moyo ya jakaya Kikwete (JKCI), la kuajiri watalaam 12...
By Regina MkondeJune 12, 2021