Afya
RITTA Kabati, Mbunge Viti Maalumu mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ameiomba Serikali kuwapunguzia gharama za matibabu wagonjwa wa saratani na figo....
By Mwandishi WetuJune 11, 2020SERIKALI ya Tanzania imetoa mwenendo juu ya hali ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19)....
By Mwandishi WetuJune 10, 2020SIKU ya miguu kifundo au nyayo za kupinda ulimwenguni huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Tarehe hii ilitokana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020TAKWIMU za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni...
By Masalu ErastoMay 28, 2020MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150...
By Hamisi MgutaMay 27, 2020CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kubwa ya ugonjwa wa COVID-19 hasa kipindi hiki ambacho wanafunzi wa vyuo na...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imetangaza kuregeza baadhi ya mambo wakati huu wa mapambano ya ugonjwa wa COVID-19 ikiwemo, kufungua shule kwa...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa COVID-19 ambao umeanza kupungua nchini humo. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMay 24, 2020WAZIRI wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu amesema Wanawake wenye matatizo ya Fistula wanatakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake waende kupata...
By Hamisi MgutaMay 23, 2020SERIKALI ya Tanzania imeanzisha maabara mpya ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeMay 23, 2020WAKATI Serikali ya Tanzania ikinadi kupungua kwa maambukizo mapya ya virusi vya corona, Shirika la Afya Duniani (WHO), limeeleza dunia kufikia rekodi ya...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba (SSC) wamekabidhi vituo vya kuosha mikono, sabuni pamoja...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kufunguliwa kwa vyuo vyote nchini, michezo ya aina yote pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita kuanzia...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020DK. Faustine Ndigulile, amekuwa kiongozi wa sita, ndani ya wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, kuenguliwa kwenye wadhifa wake....
By Mwandishi WetuMay 18, 2020TANZANIA Bara, leo Jumamaosi tarehe 16 Mei, 2020, imeingia siku ya 17 bila ya taarifa za mwenendo wa hali ya ugonjwa wa homa...
By Regina MkondeMay 16, 2020UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, amewataka Watanzania kuwalinda watoto na wazee dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na...
By Hamisi MgutaMay 15, 2020SARATANI ya Mlango wa Kizazi ndio saratani inaoongoza nchini Tanzania kuliko nyingine zinazowakabili binadamu. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea) Hata hivyo imeelezwa kwa pamoja na...
By Danson KaijageMay 15, 2020MJI wa Hong Kong nchini China, leo Jumatano tarehe 13 Mei 2020, umeripoti wagonjwa wawili wapya wenye maambukizo wa virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti...
By Mwandishi WetuMay 13, 2020TAASISI ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini (NIMR) nchini Tanzania, inafanya utafiti kubaini chanzo cha watu wenye magonjwa sugu, kuathirika zaidi na...
By Regina MkondeMay 9, 2020WAGONJWA 1,394,965 kati ya 4,030,053 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) wamepona ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ugonjwa...
By Mwandishi WetuMay 9, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema haijajitenga na mataifa mengine katika utafiti wa dawa na chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na...
By Mwandishi WetuMay 9, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema itafanyia uchunguzi dawa za kinga na kutibu ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosabaishwa na virusi vya corona (COVID-19),...
By Regina MkondeMay 9, 2020WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti...
By Hamisi MgutaMay 7, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya corona 196, ambapo kati yao kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla...
By Hamisi MgutaApril 29, 2020SERIKALI imepokea msaada wa Sh. 14.9 bilioni kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa...
By Hamisi MgutaApril 27, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia (AZAKI) katika kupambana na janga la ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19)....
By Hamisi MgutaApril 25, 2020FOUNDATION for Civil Society (FCS) imezindua Kampeni ya ‘Jumanne ya Utoaji’ kuwasaidia na kuwalinda watoa huduma wa afya nchini Tanzania. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageApril 24, 2020WAGONJWA 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya...
By Hamisi MgutaApril 24, 2020WIZARA ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya 23 wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuApril 19, 2020SERIKALI imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 53, wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeApril 17, 2020RAIS John Magufuli ametaka Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu mfululizo, ili awanusuru na athari za Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa...
By Mwandishi WetuApril 16, 2020KAIMU Meneja wa forodha Mikoa ya Songwe na Mbeya, Anangisye Mtafya amewataka Wasafiri na wafanya biashara wa maeneo ya mipakani kutochoka kusafisha mikono...
By Mwandishi WetuApril 16, 2020WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya sita (6) wa Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta,...
By Hamisi MgutaApril 16, 2020WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020JIJI la Dar es Salamu linaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa figo huku Arusha ikishika namba mbili. Mkoa wa Simuyu unaongoza kwa wagonjwa...
By Danson KaijageApril 15, 2020SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya sita wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020MWANDISHI wa habari wa Sauti ya Ujerumani (DW), anayefanyia shughuli zake Visiwani Zanzibar, Salma Said, amethibitika kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule na vyuo vya kati na vya elimu ya juu, liliotolewa tarehe 17 na...
By Mwandishi WetuApril 14, 2020CHANGANYA lita moja ya Jik na lita sita za maji, kisha pulizia gari lao, hapo litakuwa salama dhidi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 14, 2020SERIKALI imeshauriwa kuona namna bora ya kutoa elimu kwa watu wenye walemavu wa kutosikia (viziwi) jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona. Anaripoti...
By Danson KaijageApril 13, 2020SERIKALI imetangaza ongezeko la “kesi mpya kumi na nne” (14) za maambukizi ya ugonjwa wa Corona (Covid 19) nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuApril 13, 2020SERIKALI ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TCAA), imefuta safari za ndege za abiria za kimataifa, huku ikiweziwekea masharti ndege za...
By Regina MkondeApril 12, 2020ASKOFU Evance Chande wa Kanisa la EAGT Dodoma, ameviomba vyombo vya habari na waandishi wa habari kutoa elimu ya maambukizi ya corona kwa...
By Danson KaijageApril 12, 2020FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemhoji Rais John Magufuli ya kwamba, idadi ngapi ya vifo vitakavyotokana na Ugonjwa...
By Mwandishi WetuApril 11, 2020WATU wanaosumbuliwa na magonjwa sugu pamoja na unene uliopitiliza wako hatarini kupoteza maisha, kutokana na Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na...
By Regina MkondeApril 10, 2020WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakini katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe...
By Mwandishi WetuApril 9, 2020SERIKALI ya Tanzania imetangaza wagonjwa wanne wapya wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 6, 2020BORIS Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza amekimbizwa hospitali kutokana na makali ya virusi vya corona (COVID-19). Linaripoti Shirika la Habari la BBC. Boris...
By Mwandishi MaalumApril 6, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimeiomba serikali kutoa taarifa za kina zaidi juu ya maambukizi ya ugonjwa wa Homa...
By Regina MkondeApril 3, 2020CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimeiomba serikali na wananchi kutoa ushirikiano kwa watalaamu wa afya, katika mapambano dhidi ya mlipuko wa Ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuApril 3, 2020