Afya
WANAWAKE 1,580 wamepoteza maisha nchini Tanzania wakati wa kujifungua katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuMay 16, 2022WAKATI Ugonjwa wa Lupasi unakadiria kuathiri watoto 15 kati ya watoto 52 waliopimwa serikali imeweka mikakati ya kukabiliana na ugonjwa huo ikiwa pamoja...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Bohari ya Dawa (MSD) na kuagiza watu wote waliohusishwa na tuhuma za ubadhirifu...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amesema kiwanda cha kutengeneza mionzi inayotibu ugonjwa saratani, kinatarajiwa kuanza kufanya kazi Juni, 2022. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi ya maafisa ununuzi wa umma kukubali zabuni za watoa huduma zenye bei...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022HALMASHAURI 61 kutoka katika mikoa sita ya Tanzania Bara, imetajwa kuongoza kwa kuwa na mamabukizi ya ugonjwa wa malaria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea)....
By Gabriel MushiApril 25, 2022WIZARA ya Afya, imetangaza nafasi za ajira 1,650 za wataalamu wa kada mbalimbali za sekta ya afya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeApril 16, 2022ZAIDI ya wananchi 10,000 kutoka katika Kata ya Sangambi, wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wanatarajiwa kupata unafuu wa matibabu baada ya Kituo cha...
By Gabriel MushiApril 13, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelaani hatua “rahisirahisi” zilizochukuliwa na Serikali dhidi ya mwenendo mbovu wa utoaji huduma za Afya katika Hospitali ya Taifa...
By Mwandishi WetuApril 7, 2022SERIKALI ya Tanzania imewataka wananchi kujenga tabia ya kupima afya zao kwenye magonjwa yasiyoambukiza hususani saratani kutokana na idadi ya wagonjwa hao...
By Faki SosiApril 6, 2022IMEELEZWA kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Kituo cha Afya Kifunda kilichopo Kata ya Lupilo katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya, kumeokoa jahazi la...
By Gabriel MushiApril 4, 2022TAASISI isiyo ya kiserikali ya Univeristy of Maryland Baltimore (UMB) kwa kushirikiana na serikali ya Mkoa wa Njombe imeandaa mjadala wa kitaifa...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2022MKOA wa Manyara umeshika nafasi ya mwisho kwa uchanjaji wa UVIKO-19 ikiwa na asilimia tatu tu ya watu waliopata chanjo hadi sasa....
By Danson KaijageMarch 16, 2022SERIKALI imesema jumla ya watu 803 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa korona huku 33,789 wakiambukizwa tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza nchini....
By Danson KaijageMarch 16, 2022KADA mkongwe kutoka Chama cha ADA – Tadea na mgombea ubunge kwa awamu kadhaa katika jimbo la Nachingwea, Saliana Dovela ameeleza ‘kukoshwa’ na...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022VIONGOZI na watumishi wa Wizara ya Afya wametakiwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma na kuzingatia taaluma zao ili kuleta tija na ufanisi...
By Gabriel MushiMarch 13, 2022HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imekana kurekodi na kusambaza video ya Msanii wa Bongo fleva, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay anayeendelea kupatiwa matibabu...
By Gabriel MushiMarch 10, 2022SERIKALI ya Tanzania imetoa taadhari kwa kwa wananchi dhidi ya ugonjwa wa homa ya manjano ambao umeonekana kutokea katika nchi ya jirani...
By Danson KaijageMarch 9, 2022HATIMAYE kilio cha wakazi wa Kata ya Kivulini Manispaa ya Lindi, mkoani Lindi kuhusu upatikanaji wa huduma za afya, kimepata suluhu baada ya...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022WATU 800 wamefariki dunia kati ya 33,726, waliothibitika kuwa na Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza...
By Regina MkondeMarch 8, 2022JUMLA ya Sh milioni 250 zilizopatikana kutokana na tozo za miamala ya simu zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Kituo cha Afya Rukuba kilichopo...
By Gabriel MushiMarch 5, 2022MKUU wa Wilaya ya Muheza, Halima Bulembo amesema fedha kutoka katika Mpango wa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko 19, zilizotokana...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022SERIKALI ya Tanzania imeokoa Sh.249 bilioni zilizokuwa zitumike kugharamia wagonjwa kwenda nje ya nchi kufuata huduma za matibabu ambazo awali zilikuwa hazipatikani...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MKUU wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022MKUU wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema mkoa wake unakusudia kuanzisha kituo cha Mifupa (Orthopaedic Centre) kwa ajili ya watu wanaopata...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022SERIKALI ya Tanzania, imewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa Polio, ulioibuka hivi karibu katika nchi jirani ya Malawi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022WANANCHI wametakiwa kutumia vipimo maalumu vinavyoonesha ugonjwa na aina ya matibabu yake sahihi, ili kuepukana na tatizo la usugu wa dawa. Anaripoti Regina...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022IMEELEZWA kuwa Serikali imejibu kilio cha muda mrefu cha watumiaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, kwa kuwezesha upatikanaji wa huduma...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022WANASAYANSI jana Jumatano tarehe 16 Februari 2022, wametangaza ufanisi wao wa kumponya mwanamke wa kwanza aliyekuwa anaishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU),...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2022SERIKALI ya Zanzibar, imezindua rasmi matumizi ya teknolojia mpya inayotambua maambukizi ya virusi vya korona (UVIKO-19) kupitia vipimo vya smaku umeme yaani electromagnetic....
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022HOSPITALI ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma nchini Tanzania, imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 26 kuanzia tarehe 22 Machi 2018 kutoka mikoa mbalimbali nchini...
By Danson KaijageFebruary 15, 2022WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema, katika kila watu 100,000 watu 76 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageFebruary 4, 2022MWANAJESHI wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwanajeshi...
By Gabriel MushiFebruary 2, 2022WAKURUGENZI wa Hospitali za Rufaa za Mikoa, Kanda Maalumu, Taifa pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya, wametakiwa kusimamia vipaumbele...
By Danson KaijageJanuary 27, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema hadi kufikia tarehe 23 Januari, 2022 jumla ya Watanzania 33,000 wamethibitika kuwa na maambukizi na watu 781 wamepoteza...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE), zimesitisha safari za ndege kwa abiria wanaotoka nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia na Nigeria, huku ikiongeza...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema hadi kufikia tarehe 18 Desemba 2021, watu takribani 28,214 wameambukizwa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), huku zaidi...
By Regina MkondeDecember 22, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuchanja chanjo ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), kwa wananchi 80,000 hadi 100,000 kwa siku, kupitia mpango...
By Regina MkondeDecember 22, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, maambukizi ya virusi vya korona (UVIKO-19), yanaendelea kwa kasi nchini humo na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuongezeka kwa idadi ya watu wenye dalili za kukohoa, mafua, maumivu...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, Watoto na Walemavu, Dk. Dorothy Gwajima ameanzisha utaratibu wa watumishi wa wizara hiyo kujipima...
By Danson KaijageDecember 14, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imechangia zaidi ya Sh milioni 84 kusaidia mipango ya serikali katika mapambano dhidi ya VVU na...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021WATAALAMU wa sekta ya afya nchini, wameitahadharisha jamii juu ya ujio wa wimbi la nne la Ugonjwa wa Korona (Uviko-19), huku wakihimiza...
By Regina MkondeNovember 27, 2021MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS), Profesa Deodatus Kakoko, ametoa wito kwa wananchi kuchanjwa chanjo ya Ugonjwa wa...
By Regina MkondeNovember 27, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Rafiki Surgical Mission ya Australia kwa mara nyingine mwaka huu imeendeleza udhamini...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limeagiza kurudiwa upya kwa mitihani iliyovuja ya utabibu ndani ya wiki sita kuanzia tarehe...
By Danson KaijageNovember 4, 2021WAZIRI Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima ameziagiza taasisi za afya kufuata utaratibu wa mikataba ya utoaji...
By Regina MkondeOctober 25, 2021TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), imesema uzito uliozidi na kiribatumbo ni chanzo kikuu cha magonjwa sugu na yasioyakuambukiza. Anaripoti Selemani...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia jana tarehe 15 Oktoba, 2021 jumla ya Watanzania 940,507 walikuwa wamekwishachanja chanjo ya Covid –...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imetenga Sh. bilioni sita kwa ajili ya kuiboresha Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, mkoani Kilimanjaro. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 15, 2021