Categorizing posts based on type of post
KUELEKEA mchezo wa kesho wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, Simba inapewa nafasi kubwa ya...
By Kelvin MwaipunguMay 14, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatakoa Watanzania wote sherehe njema ya Eid El Fitri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuMay 14, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imewaachia huru, aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Mkurugenzi...
By Mwandishi WetuMay 13, 2021RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), amesema sababu za kiusalama ndiyo zilipelekea kuarishwa kwa mchezo kati ya Simba na...
By Kelvin MwaipunguMay 13, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani, Tanzania- Chadema-Bara, Tundu Lissu, amekosoa uamuzi wa Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kumteua...
By Mwandishi WetuMay 13, 2021BUNGE la Tanzania, limewathibitisha, Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu; Mbunge Viti Maalum, Najma Murtaza Giga na Mbunge wa Mufindi Kusini, David...
By Mwandishi WetuMay 12, 2021KADHIA ya malori kutoshusha wala kuoandisha mizigo kwa siku tano mfululizo, imelisukuma Bunge kuahirishwa kwa dakika 20 ili kujadili mkwamo huo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 12, 2021SHABIKI wa Yanga, Mansur Hussen aliyetembea kwa miguu kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam kwa ajili ya kutazama mchezo wa Simba na...
By Kelvin MwaipunguMay 12, 2021MKUU wa zamani wa usalama wa Rais wa Uganda, marehemu Milton Obote, ambaye alidhaniwa amekufa, amerejea nyumbani kwao Uganda baada ya miaka...
By Saed KubeneaMay 12, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekwenda nchini Uganda, kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo, Yoweri Museveni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 12, 2021KLABU ya Manchester City imetangzwa kuwa bingwa mpya wa Ligi Kuu nchini England mara baada ya Manchester United kukubali kichapo cha mabao...
By Kelvin MwaipunguMay 11, 2021MHAZINI wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), katika jimbo la Kawe, Esther Dafi amesema, amesikitishwa na upotoshaji...
By Masalu ErastoMay 11, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani saba, amemuongezea muda Jaji wa Mahakama ya Rufani...
By Mwandishi WetuMay 11, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameishauri Serikali ifanye marekebisho ya Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB),...
By Mwandishi WetuMay 11, 2021RATIBA ya michuano ya Kombe la Azam Federation CUP (ASFC) nchini Tanzania, hatua ya robo fainali, itashuhudia Yanga ikisafiri kwenda Shinyanga kuwavaa Mwadui...
By Kelvin MwaipunguMay 11, 2021MBUNGE asiye na chama, Esther Matiko amelishauri Bunge liunde kamati maalum kwa ajili ya kuchunguza miradi ya maji yenye harufu ya ubadhirifu. Anaripoti...
By Regina MkondeMay 10, 2021MARA baada ya kuahirisha mchezo dhidi ya Yanga bodi ya Ligi Kuu imeahirisha tena mchezo wa Simba dhidi ya Coastal union kutoka...
By Kelvin MwaipunguMay 10, 2021BARAZA la Habari Tanzania (MCT) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limeiomba Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, iondoe sheria zote...
By Regina MkondeMay 10, 2021PROFSA Abdallah Safari, mmoja wa wananasheria mahiri nchini Tanzania, amesema, hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuendelea kuwakingia kifua wabunge 19,...
By Kelvin MwaipunguMay 10, 2021WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kutoa tamko kuhusiana na...
By Kelvin MwaipunguMay 10, 2021ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wakazi wa Jimbo la Buhigwe, Kigoma wasitishike na watu wanaowashinikiza kuchagua mgombea wa Chama Cha...
By Mwandishi WetuMay 10, 2021SERIKALI imetangaza nafasi za ajira kwa walimu wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa kada mbalimbali za sekta ya afya....
By Regina MkondeMay 9, 2021BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeishauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ifanye marekebisho ya Katiba ili nchi...
By Regina MkondeMay 9, 2021Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba umeahilishwa kufuatia mkanganyiko wa muda wa kuanza mchezo huo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar...
By Kelvin MwaipunguMay 8, 2021MABINGWA wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam umesema, utaipeleka timu yao katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, muda uliopangwa...
By Kelvin MwaipunguMay 8, 2021MZEE Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, leo Jumamosi, tarehe 8 Mei 2021, ametimiza miaka 96. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 8, 2021SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL), limezindua safari za moja kwa moja za ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou, nchini China....
By Mwandishi WetuMay 8, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo (IGP), Simon Sirro, akomeshe vitendo vya uhalifu katika Mkoa...
By Mwandishi WetuMay 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema katika serikali yake, atateua mtu yeyote mwenye uwezi kutoka chama chochote cha siasa ili kujenga...
By Regina MkondeMay 7, 2021WAZEE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wameiomba Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ianzishe utaratibu wa kundi hilo kuwa na...
By Regina MkondeMay 7, 2021BARAZA la Wazee la Mkoa wa Dar es Salaam, limemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aongeze juhudi katika uimarishwaji misingi ya...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021KOCHA msaidizi wa Simba Suleiman Matola, awataka washabiki wa simba wajitokeze kwa wingi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekwisha kuwasili ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam, ambapo atazungumza na wazee wa mkoa huo....
By Masalu ErastoMay 7, 2021KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa kikosi chake kesho kimepanga kwenda kuonesha burudani kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021SPIKA wa Bunge, Job Ndugai analazimika kutoa maelezo ya mara kwa mara kutokana na ‘mashambulizi’ yanayoelekezwa katika kiti chake, kuhusu kushindwa kuwatimua...
By Regina MkondeMay 7, 2021WAKATI joto la mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21 kati ya watani wa jadi, Simba dhidi ya Yanga likipamba moto, Kocha...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021MCHEZO war obo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati ya Kaizer Chief dhidi ya Simba rasmi sasa utachezwa...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021KIUNGO wa klabu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili 2021 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara huku kocha...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021JESHI la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limetoa masharti matano kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea). Kikao hicho, kimefanyika leo...
By Mwandishi WetuMay 6, 2021SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuwapunguzia mzigo wa kodi wafadhili wa miradi ya maji. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ushauri...
By Regina MkondeMay 6, 2021LICHA ya Kanuni za Bunge la Tanzania, kutaka kuwepo kwa Wenyeviti wa Bunge, mpaka sasa wenyeviti hao hawapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuMay 6, 2021KWA mara ya kwanza, kipindi cha maswali kwa waziri mkuu bungeni nchini Tanzania, kimekosa maswali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Dk....
By Mwandishi WetuMay 6, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania- Chadema, amempongeza Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kwa kauli zenye upatanishi...
By Mwandishi WetuMay 6, 2021Klabu ya Manchester United ya nchini England ipo tayari kutoa kiasi Euro 90 milioni sawa na shilingi 250.8 bilioni, kwa jili ya...
By Kelvin MwaipunguMay 5, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewata watu kutolichonganisha Taifa hilo na Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Rais...
By Mwandishi WetuMay 5, 2021MABUNGE ya Kenya leo Jumatano, tarehe 5 Mei 2021, yametawaliwa na vicheko, furaha wakati Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga zaidi ya Sh.1 bilioni kwa ajili ya kuboresha hospitali ya wilaya Kibondo, mkoani Kigoma, ili kuhakikisha wakazi wa...
By Masalu ErastoMay 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 6 Bilioni kwa ajili ya kuanza maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Handeni – Kiberashi – Kiteto...
By Masalu ErastoMay 5, 2021