May 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mchezo wa Simba na Yanga waota mbawa

Spread the love

 

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba umeahilishwa kufuatia mkanganyiko wa muda wa kuanza mchezo huo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). 

Mchezo huo hapo awali ulipaswa kuchezwa majira ya saa 11 jioni lakini masaa matatu kabla ya mechi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilifanya mabadiliko ya muda mara baada ya kupokea maelekezo kutoka kwa Wizara ya Habari, utamaduni Sanaa na michezo ya kuwa mchezo huo upigwe saa 1 usiku.

Majira ya saa 12:20 lilitolewa Tangazo la kuahilishwa mchezo huo, huku kikosi cha Simba kikiwa kinapasha misuli Uwanjani huku Yanga wakiwa wameshaondoka mara baada ya kutokubaliana na uamuzi huo.

error: Content is protected !!