Wednesday , 1 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

MichezoTangulizi

Kocha Simba ahaidi Burudaani dhidi ya Yanga

  KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa kikosi chake kesho kimepanga kwenda kuonesha burudani kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake 18 wamtesa Ndugai

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai analazimika kutoa maelezo ya mara kwa mara kutokana na ‘mashambulizi’ yanayoelekezwa katika kiti chake, kuhusu kushindwa kuwatimua...

MichezoTangulizi

Kocha Yanga: Siwaogopi Simba, awaita mashabiki uwanjani

  WAKATI joto la mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21 kati ya watani wa jadi, Simba dhidi ya Yanga likipamba moto, Kocha...

HabariMichezo

Kaizer Chiefs dhidi ya Simba kupigwa Mei 15

  MCHEZO war obo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati ya Kaizer Chief dhidi ya Simba rasmi sasa utachezwa...

HabariMichezo

Chama, Gomes washinda tuzo VPL mwezi Aprili

  KIUNGO wa klabu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili 2021 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara huku kocha...

HabariMichezo

Jeshi la Polisi latoa masharti matano mchezo Simba na Yanga

  JESHI la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limetoa masharti matano kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba...

Habari za Siasa

Rais Samia aongoza kikao baraza la mawaziri

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea). Kikao hicho, kimefanyika leo...

Habari za Siasa

‘Wafadhili wa miradi ya maji wapunguziwe kodi’

  SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuwapunguzia mzigo wa kodi wafadhili wa miradi ya maji. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea).  Ushauri...

Habari za SiasaTangulizi

Wenyeviti wa Bunge Tanzania, giza nene

  LICHA ya Kanuni za Bunge la Tanzania, kutaka kuwepo kwa Wenyeviti wa Bunge, mpaka sasa wenyeviti hao hawapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge Tanzania laweka historia mpya

  KWA mara ya kwanza, kipindi cha maswali kwa waziri mkuu bungeni nchini Tanzania, kimekosa maswali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Dk....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe azungumzia ziara Rais Samia Kenya “Tanzania tunakusubiri”

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania- Chadema, amempongeza Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kwa kauli zenye upatanishi...

HabariMichezo

Man United wahamia kwa Harry Kane

  Klabu ya Manchester United ya nchini England ipo tayari kutoa kiasi Euro 90 milioni sawa na shilingi 250.8 bilioni, kwa jili ya...

Habari za Siasa

Rais Samia atoa msimamo ushirikiano Tanzania-Kenya

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewata watu kutolichonganisha Taifa hilo na Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Rais...

Habari za Siasa

Rais Samia awavunja mbavu wabunge Kenya

  MABUNGE ya Kenya leo Jumatano, tarehe 5 Mei 2021, yametawaliwa na vicheko, furaha wakati Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kampeni Buhigwe: Majaliwa amwaga sera, ahadi

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga zaidi ya Sh.1 bilioni kwa ajili ya kuboresha hospitali ya wilaya Kibondo, mkoani Kigoma, ili kuhakikisha wakazi wa...

Habari za Siasa

Serikali yaweka nguvu barabara ya Handeni – Kiteto -Singida

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 6 Bilioni kwa ajili ya kuanza maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Handeni – Kiberashi – Kiteto...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe akumbuka wema wa Mdee, Zitto Chadema

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema, Halima Mdee, Zitto Kabwe na Shaibu Akwilombe ni miongoni mwa watu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Kenya kuna Uhuru, Tanzania kuna Suluhu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia mazingira mazuri wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania, akisema upande mmoja kuna uhuru wa kufanyabiashara na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Tunakuja kwa miguu yote Kenya

  TANZANIA imeahidi kuingia kwa miguu miwili katika uwekezaji nchini Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Kenyatta amwambia Samia ‘safari hii tutafika mbali’

  RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema, ana matumaini kwa taifa lake na Tanzania kufika mbali kutokana na kuimarika ushirikiano. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Mkakati wasukwa kuwang’oa Mdee, wenzake

  MAKAKATI umeanza kusukwa ili kuhakikisha Halima Mdee na wenzake 18, wanang’olewa bungeni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mkakati huo...

Habari za SiasaKimataifa

Rais wa Tanzania Samia atua Kenya

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili salama nchini Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ndege ya Shirika la Ndege ya Tanzania...

HabariMichezoTangulizi

Sakata la rushwa Yanga dhidi ya Prisons latua Bungeni

NAIBU waziri wa utumishi na utawala bora Deogratius Ndenjembi amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa timu mbalimbali hapa nchini wakifungwa na Yanga...

Habari za Siasa

Uhuru wa Habari: Sheria kandamizi Tanzania ziondolewe

  SHIRIKA lisilo la kiserikali linalotoa msaada wa kisheria (Legal Services Facility-LSF), limeiomba Serikali ya Tanzania, kuondoa sheria zinazokandamiza uhuru wa vyombo vya...

Habari za Siasa

Hivi serikali inatambua madhara ya Zebaki?- Mbunge ahoji

  SERIKALI ya Tanzania, inatambua madhara ya afya kwa binadamu, mimea na mazingira yanayosababishwa na matumizi ya kemikali ya Zebaki katika shughuli za...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai awakumbatia Mdee, wenzake 18, ananga Chadema

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameendelea kuwakingia kifua waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na...

Habari za Siasa

Kiwanja cha ndege Manyara kujegwa

  SERIKALI nchini Tanzania, inatarajia kuanza ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Mwada, mkoani Manyara. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea). Kauli hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ateta na Rais mstaafu Obasanjo Ikulu Dodoma

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee wamponza Nape bungeni

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemwonya Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye kuacha kuwasema vibaya, Halima Mdee na wenzake 18,...

HabariMichezo

Mukoko, Feisal, Sarpong kurejea Uwanjani dhidi ya Simba

WACHEZAJI watatu wa klabu ya Yanga, Feisal Salum, Tonombe Mukoko pamoja na Michael Sarpong watarejea Uwanjani kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi...

Habari za Siasa

Vifungo vya nje vyaokoa bilioni 1.5

  SERIKALI ya Tanzania, imefanikiwa kuokoa kiasi cha Sh. 1.5 bilioni kutokana na kutumika adhabu ya vifungo vya nje kwa Mwaka wa Fedha...

Habari za Siasa

Nyalandu ainanga Chadema

  SIKU mbili baada ya kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lazaro Nyalandu, amesema chama hicho tawala ni imara kuliko Chama cha Demokrasia na...

Habari za Siasa

Nyalandu amnasihi Mbowe

  LAZARO Nyalandu, aliyerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemshauri, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutoweka masharti magumu ya...

MichezoTangulizi

Liverpool dhidi ya Manchester United kuamua ubingwa wa Man city

  MCHEZO wa Ligi Kuu nchini England kati ya Liverpool dhidi ya Manchester United utamua hatma ya ubingwa wa Manchester City kwa msimu...

Habari za SiasaTangulizi

Vyeti feki: Zitto apongeza uamuzi wa Rais Samia

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepongeza hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuagiza watumishi waliostaafishwa kazi ikiwemo walioghushi vyeti, kulipwa...

MichezoTangulizi

Chama mchezaji bora mwezi Aprili

  KIUNGO wa timu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashabiki wa klabu hiyo wa mwezi Aprili mara baada ya...

Habari za Siasa

Wakili amshauri Rais Samia

WAKILI Kuawayawaya Stephen Kuwayawaya, amemshauri Rais Samia Suluhu kuwa makini na watendaji wa ofisi yake. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kuwayawaya ametoa ushauri huo...

Habari za SiasaTangulizi

Mei Mosi: Mambo 11 aliyosema Rais Samia

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewahutubia kwa mara ya kwanza, wafanyakazi na kutoa ahadi mbalimbali zenye kurejesha tabasamu miongoni mwao. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza darasa la saba, vyeti feki kulipwa mafao yao

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameagiza watumishi wa umma waliofukuzwa kazi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vyeti vya kughushi ‘feki’, walipwe...

Habari za Siasa

Rais Samia atangaza ajira mpya 40,000

  SERIKALI ya Tanzania, ametangaza ajira mpya 40,000 na kupandisha vyeo watumishi 90,000 katika mwaka wa fedha 2021/22. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Kodi ya mishahara yashushwa 1%

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepunguza Kodi ya Mshahara (PAYE), kutoka asilimia tisa hadi nane. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Nitaongeza mishahara mwakani, 90,000 kupandishwa vyeo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewapa pole wafanyakazi waliokuwa na matarajio ya nyongeza ya mishahara na kuwaahidi kufanya hivyo Mei Mosi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tucta: Mishahara haijaongezwa miaka nane, ianzie Sh. 970,000

  SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aongese mishahara ya watumishi wa umma huku ikipendekeza kima cha...

Habari za Siasa

Katibu mkuu CCM amuomba Rais Samia aongeze mishahara

  KATIBU Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aboreshe maslahi ya watumishi wa umma, kama...

Habari za Siasa

Watumishi 99 wadai milioni 300, Silinde atoa maagizo

  NASHON Bidyanguze, Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), amehoji lini watumishi waliohamishiwa halmashauri ya Uvinza kutoka Kigoma Vijijini watalipwa stahiki zao. Anaripoti Jemima...

MichezoTangulizi

Simba dhidi ya Kaizer Chiefs, robo fainali Ligi ya Mabingwa CAF

  KLABU ya Simba imepangwa kucheza na Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya...

Habari za SiasaTangulizi

CCM kufumuliwa upya

  SAMIA Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, amesema atashirikiana na viongozi wa chama hicho, kupitia upya sera na miongozo...

HabariHabari za Siasa

Chongolo amrithi Dk. Bashiru CCM, Shaka…

  DANIEL Chongolo, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, amethibitishwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za Siasa

Samia aota uchaguzi mkuu 2025

  MWENYEKITI mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho, kutekeleza vyema Ilani ya Uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Nyalandu, Mathew wajiunga CCM, Rais Samia asema…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo baada ya kuondokewa na wenyeviti wawili wa kanda na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

error: Content is protected !!