Tuesday , 7 May 2024

Michezo

Michezo

Michezo

Niyonzima azua taharuki Simba

KIUNGO wa Simba Haruna Niyonzima amezua taharuki na hali ya sintofahamu kwa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo baada ya kutoonekana jana katika...

MichezoTangulizi

Mzee Majuto afariki dunia

MUIGIZAJI maarufu Amir Athuman (Mzee Majuto) amefariki dunia usiku huu kwenye Hospital ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Michezo

Timu za CECAFA U-17 zawasili, kupimwa umri Muhimbili

IKIWA zimebaki siku tatu kabla ya michuano ya vijana ya kufuzu fainali za Afrika chini ya umri wa miaka 17, katika ukanda wa...

Michezo

Simba watangaza viingilio vya ‘Simba Day’

MABINGWA wa Tanzania Bara Simba kupitia mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wao Haji Manara wametangaza vingilio katika tamasha lao kubwa la...

Michezo

CAF yawatoa kifungoni waamuzi wa Tanzania

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Africa (CAF) limetoa majibu ya uchunguzi wa waamuzi wanne wa Tanzania waliofikishwa kwenye Shirikisho hilo kufuatia kuripotiwa kwa...

Michezo

Mzee Majuto alazwa tena Muhimbili

MFALME wa maigizo ya uchekeshaji nchini, Amri Athuman anayefahamika kama ‘Mzee Majuto’ amelazwa chumba cha wagonjwa mahtuti (ICU) kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili....

Michezo

Yanga kumuaga rasmi Canavaro Agosti 12

ALIYEKUWA nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ”Cannavaro” anatarajiwa kuagwa rasmi ndani ya klabu hiyo tarehe 12 Agosti, 2018 kwa mchezo maalumu wa kirafiki...

Michezo

Simba kukipiga na Asante kotoko kutoka Ghana

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzani Bara, Simba wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko kutoka Ghana katika maadhimisho ya siku ya...

Michezo

Mkwasa kwenda India kwa Matibabu

ALIYEKUWA katibu mkuu wa klabu ya Yanga na kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa amesafiri jana kuelekea...

Michezo

Biashara yampeleka Ally Kiba Coastal Union

NI wazi kuwa klabu ya Coastal Union imemsajili Msanii maarufu nchini Ally Kiba kwa sababu za kibiashara zaidi na uwezo wa staa huyo...

Michezo

Yanga yawatema makinda, mafaza

BAADA ya dirisha la usajiri kufungwa jana majira ya saa sita usiku, klabu ya Yanga imetoa orodha ya wachezaji tisa ambao hawatotumikia timu...

Michezo

Yanga yazinduka jioni

IKIWA yamebakia masaa machache kabla ya dirisha la usajiri la Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na ligi daraja la kwanza hatimaye klaba ya...

Michezo

Kinda wa Leicester City yaiongeza nguvu Serengeti Boys

MTANZANIA anayechezea klabu ya Leicester City, Ben Antony Starkie anatarajiwa kutua leo nchini 26 Julai, 2018 kujiunga na kambi ya timu ya taifa...

Michezo

Dirisha la Ligi Kuu kufungwa leo, TFF watoa onyo

KUELEKEA kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa angalizo kwa klabu zinazoshiriki ligi kuu na...

Michezo

Manara ang’aka Simba kupigwa sita Uturuki

MSEMAJI wa Simba, Haji Manara amewashutumu vikali chombo cha Habari cha Clouds FM, kwa kutangaza taarifa za uongo kuhusu klabu ya Simba kucheza...

Michezo

FIFA yatangaza orodha watakaowania tuzo ya mchezaji bora

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limeweka hadharani orodha ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia kwa mwaka 2018,...

Michezo

Omary Kaaya Katibu mkuu mpya Yanga

KIKAO cha dharula kilichofanywa na Kamati ya Utendaji na Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Yanga imemteua na kumtangaza Omar Kayaa kuwa Katibu...

Michezo

Yanga wazidi kupukutika

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya uongozi ndani ya klabu hiyo kutokana na kusambaa kwa kipande cha video...

Michezo

MO Dewji awaombea mema Yanga

MWEKEZAJI wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amewataka wanachama na viongozi wa klabu ya Yanga kuungana upya, ili kuinusulu klabu katika kipindi...

Michezo

TFF wazikumbusha klabu zisizokamilisha usajili wa kieletroniki

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linavikumbusha klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili ambavyo havijafanya...

Michezo

Yajayo Yanga yanasikitisha

MPAKA sasa bado siku tano dirisha la usajili lifungwe, Yanga haijasajili mchezaji mwenye hadhi yake, ambaye angeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha...

Michezo

Wema Sepetu ahukumiwa mwaka mmoja jela au faini

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kulipa faini ya Sh 1Milioni kwa kila kosa au kwenda jela mwaka...

MichezoTangulizi

Kocha Mpya wa Simba aichokonoa Yanga

KLABU ya Simba imemtangaza rasmi Kocha wake Mpya, Mbelgiji Patrick Aussems ambaye ametoa maneno ambayo mashabiki wa klabu ya Yanga hawatapoenda kutasikia. Anaripoti...

Michezo

Cristiano Ronaldo apima afya Juventus

MCHEZAJI bora Dunia, Cristiano Ronaldo anafanyiwa vipimo vya Juventus kabla ya kukamilisha uhamisho wake wa pauni 100 milioni wa kujiunga na miamba hiyo...

Michezo

Pluijm apewa mkataba wa mwaka mmoja Azam

KLABU ya Azam FC imemtambulisha rasmi, Hans van der Pluijm kama kocha mkuu wa klabu hiyo baada ya kusaini mktaba wa mwaka mmoja...

MichezoTangulizi

Afrika wawaachia wenye mpira wao

KOMBE Dunia linaingia katika hatua ya mtoano bila kuwa na timu kutoka Bara la Afrika, baada timu zote tano kutolewa hatua ya makundi....

Michezo

Simba, Yanga wakutanishwa mapema Kagame

MAHASIMU wa soka Tanzania, Simba na Yanga watakutanishwa mapema katika michuano ya Kombe la Kagame, linalotarajiwa kutimua vumbi nchini kuanzia Juni 28 hadi...

Habari MchanganyikoMichezo

Babu Tale ashindwa kulipa deni, alala sero

MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo fleva, Nasib Abdul ‘Diamond,’ Hamis Tale ‘Babu Tale’ amepelekwa rumande baada ya kushindwa kulipa fedha kama...

MichezoTangulizi

Mahakama Kuu yamtoa gerezani Lulu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imembadilishia kifungo Msanii wa Filamu, Elizabeth Micheal ‘Lulu’ kutoka kwenye kifungo cha Magereza na kutumikia kifungo...

MichezoTangulizi

Hans Poppe aongezwa kwenye kesi ya Aveva, Kaburu

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope, ameongezwa katika kesi ya tuhuma za kughushi nyaraka na kujipatia fedha inayowakabili Rais...

Habari za SiasaMichezoTangulizi

Ujumbe mzito wa kifo cha Masogange

JULIUS Mtatiro, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF ameandika ujumbe mzito wenye kufikirisha wengi juu ya msiba wa Agnes Gerrald “Masogange.’ Mtatiro...

Michezo

Wanamichezo Jumuiya ya Madola ‘wazamia’

WANAMICHEZO nane wa Cameroon hawaonekani katika makazi yao katika michezo ya Jumuiya madola nchini Australia, maafisa wa timu hiyo wamethibitisha. Anaripoti Mwandishi Wetu...

MichezoTangulizi

Wambura ashindwa rufaa, sasa kuburuzwa mahakamani

KAMATI ya Rufaa za Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF, Michael...

Michezo

Taifa Stars yazinduka kwa DR Congo

TIMU ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ imezinduka usingizi baada ya kuitandika DR Congo kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa. Anaripoti...

Michezo

Yanga sasa kuja kidigitali

KLABU Yanga imezindua kipindi cha televisheni kilichopewa jina la ‘Yanga TV Show’ sambamba na mfumo wa kuwapa habari wanachama wake utakaoitwa ‘Yanga Kidigitali’...

Michezo

Wambura hatunaye tena katika soka

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemfungia maisha kutojiusisha na soka Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho hilo, Michael Wambura...

Michezo

Ninje wa Chalenji, apewa Ngorongoro Heroes

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemteuwa Ammy Ninje kuwa Kocha Mkuu wa muda wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa...

Michezo

Yanga yazidi kuikaribia Simba, bado tatu

YANGA imerudi nafasi ya pili baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es...

Michezo

Usain Bolt asaini Mamelods ya Afrika Kusini

BAADA ya Mwanariadha Usain Bolt wa Jamaika kutamba katika mbio fupi duniani na kuweka rekodi kadhaa ameamua kugeukia mchezo wa soka baada ya...

Michezo

Serikali yamshika mkono Babu Seya hadi studio

SERIKALI imetangaza kuwabeba wasanii waliokuwa wamefungwa jela maisha ambao Desemba 9, 2017 walipewa msamaha na Rais John Magufuli ili kuinua vipaji vyao. Anaripoti...

Michezo

Wema Sepetu azidi kusota mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imehailisha usikilizwaji wa kesi  ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili msanii wa Filamu nchini Wema Sepetu mpaka...

MichezoTangulizi

Lulu ahukumiwa jela miaka miwili, ajipanga kukata rufaa

LEO, tarehe 13 Novemba 2017, mahakama kuu jijini Dar es Salaam, imemuhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani, msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth...

MichezoTangulizi

Mahakamani yamtia hatiani Lulu

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam imetia hatiani Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika kesi ya kuua bila kukusidia dhidi ya msanii mwenzake,...

MichezoTangulizi

Hatma ya Lulu kubaki uraiani au lupango, yamebaki masaa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam kesho inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya kuua bila kukusudi inayomkabili Msanii wa filamu Elizabeth Micheal,...

Michezo

Diamond Platnumz ambwaga Mobeto mahakamani

MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemgalagaza mzazi mwenzake, Mwanamitindo Hamisa Mabeto katika kesi ya madai aliyoifungua katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kudai...

Habari MchanganyikoMichezo

Wema Sepetu hatua nyuma

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imepokea hati ya upekuzi wa nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu anayekabiliwa na tuhuma za...

Habari MchanganyikoMichezo

Josephine Mushumbusi atajwa kesi ya Lulu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka askari aliyerekodi ushahidi wa Josephine Mushumbusi kufika mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Elizabeth Michael...

Habari MchanganyikoMichezo

Lulu: Kanumba alijiangusha chumbani

MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael au Lulu, atawasilisha utetezi mahakamani dhidi yashitaka la kuua bila ya kukusudia kwa kutumia mashahidi watatu, anaandika...

Habari MchanganyikoMichezoTangulizi

Daktari wa Kanumba afunguka mazito kesi ya Lulu

MAHAKAMA ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa jamhuri kwenye kesi inayomkabili msanii wa filamu, Elizabeth Michael...

Habari MchanganyikoMichezo

Kesi ya Lulu yaunguruma, mdogo wa Kanumba atoa ushahidi

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imeanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya mauaji ya bila kukusudia, inayomkabili msaanii wa filamu nchini, Elizabeth...

error: Content is protected !!