
Spread the love
KLABU ya Azam FC imemtambulisha rasmi, Hans van der Pluijm kama kocha mkuu wa klabu hiyo baada ya kusaini mktaba wa mwaka mmoja kuitumikia. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea).
Pluijm aliyeiongoza Yanga kwa mafanikio makubwa, ataingoza timu hiyo katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania akitokea akitokea klabu ya Singida United aliyeitumikia kwa mwaka mmoja.
More Stories
Kaze, Nizar halfani watimuliwa Yanga
Simba yalazimisha sare Sudan, yaongeza pointi CAF
Manula ‘out’ dhidi ya Al Merreikh