Michezo
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), kupitia kamati yake ya nidhamu imemfungia miaka 12, Rais wa Chama cha Soka cha Palestina, Jibfril...
By Kelvin MwaipunguAugust 25, 2018BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevitaka vyuo na taasisi za elimu kutoa matokeo ya wahitimu wao mapema kwa ajili ya...
By Regina MkondeAugust 24, 2018MICHEZO namba 14 na 19 ya Ligi Kuu Bara kati ya mabingwa watetezi Simba na Mbeya City na ule wa Azam FC dhidi...
By Kelvin MwaipunguAugust 24, 2018YANGA SC imeanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa mjini...
By Kelvin MwaipunguAugust 23, 2018KOCHA mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Emmanuel Amunike ameita kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini hivi karibuni, kujiwinda na...
By Kelvin MwaipunguAugust 21, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wamepitisha majina ya waamuzi 82, watakao chezesha michezo mbali mbali ya ligi kuu Tanzania bara katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 21, 2018WIZARA ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imehamisha umiliki wa viwanja viwili kutoka Makonde kwenda kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) vilivyokuwa...
By Masalu ErastoAugust 20, 2018SIMBA wamefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya pili mfululizo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 18, 2018RAIS wa klabu ya Simba Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wameendelea tena kusota mahakamani baada ya kusubiri kibali kutoka kwa...
By Kelvin MwaipunguAugust 17, 2018MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uganda ‘The Crains’ kitakachowakabili timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ mchezo wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 17, 2018SERIKLI ya Misri kupitia Waziri wa Michezo, Ashraf Sobhy ametangaza rasmi kuwaruhusu mashabiki wa mpira wa miguu kuingia uwanjani katika michezo ya Ligi...
By Kelvin MwaipunguAugust 15, 2018EDWIN Van Der Sar, mlinda mlango wa zamani wa Manchester United ni moja kati ya majina matatu yaliotajwa kuja kukalia kiti cha Mkurugenzi...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018MSHAMBULIAJI wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohammed Salah ameingia matatizoni na polisi wa Merseyside baada ya kuibuka kwa video mitandaoni...
By Kelvin MwaipunguAugust 14, 2018BODI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania imefanya mabadiliko ya ratiba ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni wiki mbili kabla ya...
By Kelvin MwaipunguAugust 13, 2018MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Heritier Makambo amepewa ruhusa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ‘CAF’ kuitumikia klabu hiyo katika mchezo wa Kombe...
By Kelvin MwaipunguAugust 11, 2018JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema linalaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa mwandiishi wa habari wa Wapo Radio...
By Masalu ErastoAugust 10, 2018HAKIMU mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Thomas Simba ametoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kubadilisha hati ya mashtaka ili kuwaondoa kwenye kesi...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2018JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumfungulia Mwanahabari wa gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma mashitaka ya kuandamana...
By Regina MkondeAugust 10, 2018MWANAMUZIKI wa kizazi kipya Nasibu Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnum leo tarehe 9 Agosti, 2018 amezua kizaazaa kwenye msiba wa Amri...
By Faki SosiAugust 9, 2018RAIS wa Tanzania, John Magufuli na Rais mstaafu Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya watanzania kuaga mwili wa marehemu muigizaji wa vichekesho Amri Athumani...
By Faki SosiAugust 9, 2018KIUNGO wa Simba Haruna Niyonzima amezua taharuki na hali ya sintofahamu kwa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo baada ya kutoonekana jana katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 9, 2018MUIGIZAJI maarufu Amir Athuman (Mzee Majuto) amefariki dunia usiku huu kwenye Hospital ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiAugust 9, 2018IKIWA zimebaki siku tatu kabla ya michuano ya vijana ya kufuzu fainali za Afrika chini ya umri wa miaka 17, katika ukanda wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 8, 2018MABINGWA wa Tanzania Bara Simba kupitia mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wao Haji Manara wametangaza vingilio katika tamasha lao kubwa la...
By Kelvin MwaipunguAugust 3, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Africa (CAF) limetoa majibu ya uchunguzi wa waamuzi wanne wa Tanzania waliofikishwa kwenye Shirikisho hilo kufuatia kuripotiwa kwa...
By Kelvin MwaipunguAugust 3, 2018MFALME wa maigizo ya uchekeshaji nchini, Amri Athuman anayefahamika kama ‘Mzee Majuto’ amelazwa chumba cha wagonjwa mahtuti (ICU) kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili....
By Masalu ErastoAugust 3, 2018ALIYEKUWA nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ”Cannavaro” anatarajiwa kuagwa rasmi ndani ya klabu hiyo tarehe 12 Agosti, 2018 kwa mchezo maalumu wa kirafiki...
By Kelvin MwaipunguAugust 2, 2018MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzani Bara, Simba wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko kutoka Ghana katika maadhimisho ya siku ya...
By Kelvin MwaipunguAugust 1, 2018ALIYEKUWA katibu mkuu wa klabu ya Yanga na kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa amesafiri jana kuelekea...
By Kelvin MwaipunguAugust 1, 2018NI wazi kuwa klabu ya Coastal Union imemsajili Msanii maarufu nchini Ally Kiba kwa sababu za kibiashara zaidi na uwezo wa staa huyo...
By Kelvin MwaipunguJuly 27, 2018BAADA ya dirisha la usajiri kufungwa jana majira ya saa sita usiku, klabu ya Yanga imetoa orodha ya wachezaji tisa ambao hawatotumikia timu...
By Kelvin MwaipunguJuly 27, 2018IKIWA yamebakia masaa machache kabla ya dirisha la usajiri la Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na ligi daraja la kwanza hatimaye klaba ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 26, 2018MTANZANIA anayechezea klabu ya Leicester City, Ben Antony Starkie anatarajiwa kutua leo nchini 26 Julai, 2018 kujiunga na kambi ya timu ya taifa...
By Kelvin MwaipunguJuly 26, 2018KUELEKEA kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa angalizo kwa klabu zinazoshiriki ligi kuu na...
By Kelvin MwaipunguJuly 26, 2018MSEMAJI wa Simba, Haji Manara amewashutumu vikali chombo cha Habari cha Clouds FM, kwa kutangaza taarifa za uongo kuhusu klabu ya Simba kucheza...
By Kelvin MwaipunguJuly 25, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limeweka hadharani orodha ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia kwa mwaka 2018,...
By Kelvin MwaipunguJuly 25, 2018KIKAO cha dharula kilichofanywa na Kamati ya Utendaji na Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Yanga imemteua na kumtangaza Omar Kayaa kuwa Katibu...
By Kelvin MwaipunguJuly 24, 2018MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya uongozi ndani ya klabu hiyo kutokana na kusambaa kwa kipande cha video...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2018MWEKEZAJI wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amewataka wanachama na viongozi wa klabu ya Yanga kuungana upya, ili kuinusulu klabu katika kipindi...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linavikumbusha klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili ambavyo havijafanya...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2018MPAKA sasa bado siku tano dirisha la usajili lifungwe, Yanga haijasajili mchezaji mwenye hadhi yake, ambaye angeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2018Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kulipa faini ya Sh 1Milioni kwa kila kosa au kwenda jela mwaka...
By Faki SosiJuly 20, 2018KLABU ya Simba imemtangaza rasmi Kocha wake Mpya, Mbelgiji Patrick Aussems ambaye ametoa maneno ambayo mashabiki wa klabu ya Yanga hawatapoenda kutasikia. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJuly 19, 2018MCHEZAJI bora Dunia, Cristiano Ronaldo anafanyiwa vipimo vya Juventus kabla ya kukamilisha uhamisho wake wa pauni 100 milioni wa kujiunga na miamba hiyo...
By Kelvin MwaipunguJuly 16, 2018KLABU ya Azam FC imemtambulisha rasmi, Hans van der Pluijm kama kocha mkuu wa klabu hiyo baada ya kusaini mktaba wa mwaka mmoja...
By Kelvin MwaipunguJuly 6, 2018KOMBE Dunia linaingia katika hatua ya mtoano bila kuwa na timu kutoka Bara la Afrika, baada timu zote tano kutolewa hatua ya makundi....
By Mwandishi WetuJune 29, 2018MAHASIMU wa soka Tanzania, Simba na Yanga watakutanishwa mapema katika michuano ya Kombe la Kagame, linalotarajiwa kutimua vumbi nchini kuanzia Juni 28 hadi...
By Kelvin MwaipunguJune 5, 2018MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo fleva, Nasib Abdul ‘Diamond,’ Hamis Tale ‘Babu Tale’ amepelekwa rumande baada ya kushindwa kulipa fedha kama...
By Faki SosiMay 23, 2018MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imembadilishia kifungo Msanii wa Filamu, Elizabeth Micheal ‘Lulu’ kutoka kwenye kifungo cha Magereza na kutumikia kifungo...
By Mwandishi WetuMay 14, 2018MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope, ameongezwa katika kesi ya tuhuma za kughushi nyaraka na kujipatia fedha inayowakabili Rais...
By Jabir IdrissaApril 30, 2018