Michezo
KLABU ya Yanga kupitia kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wameanza zoezi la uchukuaji fomu kwa ajili ya...
By Kelvin MwaipunguNovember 9, 2018MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba watamenyana dhidi ya Mbabane Swallows katika hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa...
By Kelvin MwaipunguNovember 9, 2018MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Obrey Chirwa amejiunga rasmi na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa mwaka mmoja katika dirisha dogo la...
By Kelvin MwaipunguNovember 8, 2018BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu hatimaye Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Mwenyekiti wake, Malangwe Mchungahela imetangaza...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2018MKURUGENZI mkuu wa kampuni ya Wasafi Naseeb Abdul maarufu kama ‘Diamond Platnumz’ ametangaza ujio wa tamasha kubwa la burudani Wasafi Festival ambalo linatarajia...
By Masalu ErastoNovember 5, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kamati ya maadili imemfungia maisha kujihusisha na soka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetangaza tarehe 8 Januari, 2019 itafanyika hafla ya utoaji tuzo mbalimbali za wachezaji pamoja na timu...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2018KOCHA Mkuu wa Simba, Patric Aussems ameonekana kutorizishwa na nyasi za uwanja wa Mkwakwani uliopo mkoani Tanga mara baada ya kufanya mazoezi ya...
By Kelvin MwaipunguNovember 3, 2018SHIRIKISHO la Mpiwa wa Miguu Duniani (FIFA) limemfungia maisha kujihusisha na masuala ya soka aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini Ghana (GFA), Kwesi Nyantakyi...
By Kelvin MwaipunguNovember 1, 2018WEMA Sepetu, Msanii wa Filamu nchini, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kuchapisha video yake ya ngono...
By Faki SosiNovember 1, 2018WEMA Sepetu, Miss Tanzania mwaka 2006 na mwigizaji wa filamu Tanzania, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018....
By Mwandishi WetuNovember 1, 2018KAMATI ya kuzuia na kupambana na dawa zisizo ruhusiwa michezoni ya kanda ya tano Afrika (RADO) imemfungia kiungo wa Yanga, Mohamed Issa ‘Banka’...
By Kelvin MwaipunguOctober 31, 2018NAHODHA wa Real Madrid, Sergio Ramos anaonekana kutokukubaliana na ujio wa kocha wa zamani wa Chelsea Antonio Conte ndani ya kikosi hicho baada...
By Kelvin MwaipunguOctober 30, 2018KATIKA kuhakikisha anaunga juhudi za serikali ya viwanda na kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Mfinanga...
By Moses MsetiOctober 27, 2018KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera katika hali ya kushangaza ameonekana kutofurahishwa na kiwango cha mshambuliaji wake, Heritier Makambo katika mchezo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inahitaji kiasi cha Sh. 350 milioni kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mchezo ujao wa kutafuta tiketi...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Simba, Mtemi Ramadhani amejondoa kwenye kinyang’anyiro hicho kwa sababu ya kuwa na...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemteuwa kocha Ammy Ninje kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Ufundi ndani ya shirikisho hilo leo Oktoba 22,...
By Kelvin MwaipunguOctober 22, 2018RAMADHANI Mrisho Ditopile, msanii wa maigizo katika Kundi la ‘Kaole Sanaa Group’ amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 20 Oktoba 2018 katika hospitali...
By Regina MkondeOctober 20, 2018RAIS John Magufuri ameichangia timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kiasi cha Sh. 50 milioni kwa ajili ya maandalizi ya mchezo unaofuata...
By Kelvin MwaipunguOctober 19, 2018RAIS John Magufuli amewataka wachezaji wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kuifunga timu ya taifa ya Lesotho katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza...
By Regina MkondeOctober 19, 2018BAADA ya kufikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka mawili, hatimaye mwenyekiti wa kamati ya usajiri wa klabu ya Simba...
By Kelvin MwaipunguOctober 16, 2018ZACHARIA Hans Pope, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuunganishwa kwenye kesi...
By Regina MkondeOctober 16, 2018MKUU wa mkoa wa Mtwara, Gilasius Byakanwa ameamua kuuweka pembeni uongozi wa klabu ya Ndanda FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya...
By Kelvin MwaipunguOctober 12, 2018WAKATI michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa imesimama kupitisha michezo ya kimataifa ambayo ipo kwenye kalenda ya Shirikisho la Mpira wa Miguu...
By Kelvin MwaipunguOctober 12, 2018SERIKALI kupitia Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Harison Mwakyembe ameeleza sababu za ndege ya serikali aina ya Dreamliner kushindwa kuisafirisha timu...
By Kelvin MwaipunguOctober 9, 2018KOCHA mkuu wa Manchester Unite Jose Mourinho yupo katika wakati mgumu tena baada ya Chama cha Mpira wa Miguu England (FA) kumchunguza kufuatia...
By Kelvin MwaipunguOctober 9, 2018NAHODHA wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o anataraajia kuja nchini Tanzania tarehe 10 Oktoba mwaka huu, kuzindua ujenzi wa...
By Kelvin MwaipunguOctober 8, 2018MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Argentina na klabu ya Machester City, Sergio Aguero ameungana wachezaji mahiri duniani waliotajwa kuwania tuzo ya FIFA...
By Faki SosiOctober 8, 2018MAKOCHA Mwinyi Zahera wa klabu ya Yanga na Amri Said wa Mbao kutoka jijini Mwanza wameshinda tuzo za kocha bora wa mwezi kwenye...
By Kelvin MwaipunguOctober 4, 2018MSHAMBULIAJI wa klabu ya Mbeya City, Eliud Ambokile, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuwashinda...
By Kelvin MwaipunguOctober 4, 2018MARA baada kiungo wa Simba, James Kotei kumpiga ngumi ya mgongo mlinzi wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael wakati wakiwania mpira kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguOctober 4, 2018TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars itatua jijini Praia, nchini Cape verde na Dreamliner mali ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)...
By Kelvin MwaipunguOctober 3, 2018KLABU ya Tottenham Hotspur ya Uingereza itawakosa wachezaji wake sita wa kikosi cha kwanza kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi...
By Kelvin MwaipunguOctober 2, 2018TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeingia rasmi kambini leo kujiwinda na mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu kwa michuano ya mataifa...
By Kelvin MwaipunguOctober 1, 2018Mchezo wa Ligi Tanzania bara namba 72, uliowakutanisha mabingwa watetezi Simba dhidi ya Yanga jana 30 septemba, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa jijini...
By Kelvin MwaipunguOctober 1, 2018MWANAMKE mmoja kutoka jimbo la Las Vegas nchini Marekani, Kathryn Mayorga ameibuka hadharani na kumtuhumu nyota wa mpira wa miguu duniani, Cristiano Ronaldo...
By Regina MkondeOctober 1, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) limethibitisha kumfungia mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa mshambuliaji wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo baada ya...
By Kelvin MwaipunguSeptember 27, 2018KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Emmanuel Amunike ametangaza majina ya wachezaji 30 watakaoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo...
By Kelvin MwaipunguSeptember 27, 2018MICHEZO mbalimbali iliendelea jana barani Ulaya kwa kushuhudia magwiji wa tatau Liverpool, Barcelona na Real Madrid wakikubali kupokea vichapo ambavyo viliwashangaza wadau wengi...
By Kelvin MwaipunguSeptember 27, 2018JONESIA Rukyaa kutoka Kagera ametangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kuwa mwamuzi wa kati kwenye mechi ya Simba na Yanga...
By Kelvin MwaipunguSeptember 26, 2018KITENDO cha Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kutotokea kwenye hafla ya utoaji tuzo ya Mchezaji Bora wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani...
By Kelvin MwaipunguSeptember 25, 2018KUELEKEA mchezo utakaowakutanisha watani wajadi Simba na Yanga, Septemba 30, 2018 wachezaji tegemeo kwa vikosi vyote viwili Feisal Salumu ‘Fei Toto’ wa Yanga...
By Kelvin MwaipunguSeptember 24, 2018KIUNGO wa Manchester United ambaye ni raia wa Ubelgiji, Marouane Fellaini, ameongezewa mshahara unaomfanya ashike namba nne kati ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa...
By Faki SosiSeptember 24, 2018BONDIA wa Uingereza, Anthony Joshua (28), usiku wa kuamkia Jumapili Septemba 23, 2018, ameendeleza ubabe kwa kumtwanga Alexander Povetkin (39) kwa KO (Knock...
By Faki SosiSeptember 23, 2018RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Ahmad Ahmad kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametuma salamu...
By Kelvin MwaipunguSeptember 22, 2018BAADA ya kutokuwa na mwenendo mzuri wa matokeo katika michezo miwili ya Ligi kuu Tanzania Bara, Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba inatarajia...
By Kelvin MwaipunguSeptember 21, 2018BEKI wa Yanga, Kelvin Yondani ataukosa mchezo Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida United unaotarajia kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...
By Kelvin MwaipunguSeptember 21, 2018SITAKI kumtetea Patrick Aussems na wala sitaki kusimama upande wa Masoud Djuma lakini najisikia kusema jambo dogo tu baada ya dakika 90 pale...
By Mwandishi MaalumSeptember 21, 2018KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaondoa kikosini wachezaji Haji Mwinyi, Ramdhani Kabwili, Pius Buswita na Said Makapu kutokana na sababu za utovu...
By Kelvin MwaipunguSeptember 18, 2018