Saturday , 15 June 2024
Home Kitengo Michezo Eliud Ambokile mchezaji bora wa mwezi Septemba
Michezo

Eliud Ambokile mchezaji bora wa mwezi Septemba

Spread the love

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Mbeya City, Eliud Ambokile, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuwashinda wenzake wawili Ibrahim Ajibu wa Yanga na Stamili Mbonde wa Mtibwa Sugar. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea).

Ambokile ambaye mpaka sasa ndiyo kinara wa ufungaji kwa wachezaji wa Ligi Kuu baada ya kupachika wavuni mabao sita katika michezo nane aliocheza na klabu yake ya Mbeya City huku akifuatiwa na Meddy Kagere wa Simba mwenye mabao manne.

Ligi hiyo inatarajiwa kuendelea tena mwisho wa juma hili kwa kupigwa michezo kumi kabla ya kwenda mapumziko ili kupisha michezo ya timu za taifa iliyopo kwenye kalenda ya Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Serikali yaondoa kodi vifaa vya ‘VAR’

Spread the love  SERIKALI ya Tanzania kupitia Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu...

Michezo

Leo Tanzania ipo dimbani beti na Meridianbet

Spread the love  Mechi nyingi za kufuzu Kombe la Dunia kwa Afrika...

Michezo

Meridianbet inakwambia beti mechi spesho za EURO sasa

Spread the love Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuja na Spesho ODDS...

Michezo

Jumamosi ni zamu yako kufurahia mkwanja na Meridianbet

Spread the loveWikendi ndiyo hii imefika jaman na wewe kama mteja wa...

error: Content is protected !!