Tuesday , 16 April 2024
Home Kitengo Michezo Chirwa aibukia Azam FC
Michezo

Chirwa aibukia Azam FC

Spread the love

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Obrey Chirwa amejiunga rasmi na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa mwaka mmoja katika dirisha dogo la usajili akitokea Nagoom El Mostakbal FC ya Misri baada ya kuvunja mktaba wake. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea)

Chirwa ambaye hapo awali alitaka kurudi kwenye klabu yake ya Yanga ila kocha mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera aligomea swala hilo kwa sababu ya kumuona mchezaji huyo yupo kimaslahi zaidi.

Mshambuliaji huyo ambaye alikuwa kinara wa ufungaji ndani ya kikosi cha Yanga katika msimu wa 2017/18 anakwenda kuongeza nguvu ndani ya kikosi cha Azam FC ambacho kinaongozwa na kocha Hans Van Pluijm.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love  IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC, Yanga wazindua kadi  za kimataifa za uanachama

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Klabu...

Michezo

TFF, Amrouche ngoma nzito

Spread the loveVIPENGELE vya mkataba wa kazi aliotia saini Kocha Mkuu wa...

Michezo

Jumapili ya maokoto na Meridianbet ni hii

Spread the love BAADA ya jana kushuhudia mitanange kibao kutoka ligi mbalimbali,...

error: Content is protected !!