Michezo
IKIWA imebaki siku moja tu kufikia Julai 13, siku ya mechi ya Everton ya Uingereza na mabingwa wa Sportspesa, Gor Mahia itachezwa katika...
By Masalu ErastoJuly 12, 2017KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefanya mabadiliko ya Kamati ya Uchaguzi na kuwaengua wajumbe wanne walioonyesha kumtetea...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2017KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania, Salum Mayanga amemuongeza kwenye kikosi straika wa Simba, John Bocco kuchukua nafasi ya Mbaraka Yussuf aliyekuwa...
By Masalu ErastoJuly 4, 2017JAMAL Malinzi (57), Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), anatarajiwa kufikishwa mahakamani mchana huu jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za matumizi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2017TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kuwachunguza Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu...
By Mwandishi WetuJune 28, 2017KIKOSI cha wachezaji 22 wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kinaondoka leo Alhamisi Juni 22, 2017 kwenda Afrika Kusini katika michuano ya kuwania...
By Mwandishi WetuJune 22, 2017RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha shabiki maarufu...
By Mwandishi WetuJune 21, 2017MBIO za kuwania nafasi Urais wa Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF), zinazidi kushika kasi ambapo watu mashuhuri katika medani hiyo wanaendelea kujitokeza,...
By Mwandishi WetuJune 19, 2017REAL Madrid, mabingwa wa soka nchini Hispania na barani Ulaya, wameendelea kushikilia msimamo wao kutotaka kumuuza mshambuliaji wao Alvero Morata kwa kiasi cha...
By Mwandishi WetuJune 16, 2017SHIRIKISHO la soka nchini Tanzania (TFF), limetangaza kufungua rasmi dirisha la usajili wa wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara, 2017/2018 kuanzia leo 15...
By Mwandishi WetuJune 15, 2017WAKATI serikali ikikataza uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuwa halikushirikishwa kwa kuwa wao ndio wasimamizi wakuu, Celestine Mwesigwa,...
By Mwandishi WetuJune 14, 2017KLABU ya Chelsea ya jijini London, Uingereza, imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka England msimu wa 2016/17, baada ya kuifunga West Bromwich,...
By Jabir IdrissaMay 14, 2017KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia Machi 24, 2017,...
By Masalu ErastoApril 19, 2017MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa...
By Hamisi MgutaApril 10, 2017NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe...
By Hamisi MgutaApril 7, 2017JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ameliagiza Jeshi la Polisi kumwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ huku...
By Faki SosiMarch 27, 2017UPENDO ambao mashabiki wa mpira wa miguu waliuonesha jana kwa Nape Nnauye, aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo ulimliza kiongozi huyo, anaandika...
By Charles WilliamMarch 26, 2017KLABU ya Yanga imesitisha mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi, Hans Van Der Pluijm kutokana na klabu hiyo kutokuwa na uwezo wa kuendelea...
By Masalu ErastoMarch 3, 2017WEMA Sepetu na wenzake wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashitaka matatu yanayohusiana na matumizi ya dawa za...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2017Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa Miaka 17, ‘Serengeti Boys’ ikiongozwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini...
By Masalu ErastoFebruary 8, 2017WEMA Sepetu, msanii wa filamu na mshindi wa taji la Miss Tanzania 2006 leo ameshindwa kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo, anaandika Kelvin...
By Masalu ErastoFebruary 7, 2017KLABU ya Azam FC itakuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar, katika raundi ya tano ya kombe la Shirikisho (FA) mchezo utakaopigwa kwenye dimba la...
By Masalu ErastoFebruary 6, 2017BAADA ya kukamilika kwa michuano ya kombe la mataifa Afrika iliokuwa inafanyika nchini Gabon, na timu ya taifa ya Cameroon kufanikiwa kutwaa ubingwa...
By Masalu ErastoFebruary 6, 2017HATIMAYE timu ya Taifa ya vijana chini umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefuzu kucheza michuano ya kombe la mataifa Afrika baada ya...
By Masalu ErastoFebruary 4, 2017KIUNGO wa zamani wa klabu ya Chelsea, New York City FC na timu ya taifa ya England, Frank Lampard (38) leo ametangaza kustaafu...
By Masalu ErastoFebruary 2, 2017BAADA ya kuvunja mkataba na klabu yake ya SønderjyskE inayoshiriki ligi kuu nchini Denmark, hatimaye mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi amerudi...
By Masalu ErastoFebruary 2, 2017KLABU ya Azam FC leo itashuka dimbani dhidi ya mabingwa Klabu Bingwa Afrika, Mamelodi Sundown katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa majira ya saa...
By Masalu ErastoFebruary 1, 2017ALIYEKUA kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Charles Boniface Mkwasa ametangazwa kuwa katibu mkuu wa klabu ya Yanga, baada...
By Masalu ErastoJanuary 31, 2017HATIMAYE Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, ameruhusu klabu za Simba na Yanga kuendelea kutumia uwanja wa Taifa, katika michezo...
By Masalu ErastoJanuary 27, 2017JAMAL Malinzi Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuwa mmoja kati...
By Masalu ErastoJanuary 19, 2017BEKI raia wa Zimbabwe anayekipiga ndani ya klabu ya Simba, Method Mwanjali amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya klabu hiyo katika mwezi Disemba,...
By Masalu ErastoJanuary 18, 2017TIMU ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ leo itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya kombe la mataifa Afrika (AFCON) inayofanyika nchini...
By Masalu ErastoJanuary 17, 2017BAADA Ya kuifunga klabu ya Simba na kuchukua ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa mara ya tatu, rekodi pekee iliyowekwa na klabu ya...
By Masalu ErastoJanuary 14, 2017BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya rufaa ya Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) juu ya mchezaji wa timu ya...
By Masalu ErastoJanuary 14, 2017SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), imetoa droo ya makundi 12, kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la...
By Masalu ErastoJanuary 13, 2017WACHEZAJI wa klabu ya Arsenal Oliver Giroud 30, Laurent Koscielny 31 na Francis Conquelin 25, wameongeza mikataba yao ndani ya timu hiyo na...
By Masalu ErastoJanuary 12, 2017KOCHA wa West Ham United Slaven Bilic, amesema winga wa klabu hiyo Dimit Payet 29 amekataa kucheza tena kwenye timu hiyo, kutokana na...
By Masalu ErastoJanuary 12, 2017HATIMAYE klabu ya Azam Fc imeingia mkataba wa miezi sita na Aristica Cioba 45, raia wa Romania kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo...
By Masalu ErastoJanuary 10, 2017SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Dunia (Fifa) kupitia wajumbe wake, wamefikia makubaliano ya kuongeza idadi za timu kufikia 48 kutoka 32 zilizokuwa zikishiriki...
By Masalu ErastoJanuary 10, 2017HATIMAYE washindi katika tuzo za FIFA (The FIFA best Awards) wamefahamika jana katika hafla iliyofanyika Zurich, huku Cristiano Ronaldo akiibuka kuwa mchezaji bora...
By Masalu ErastoJanuary 10, 2017RAIS wa klabu ya Fc Barcelona Josep Maria Bartomeu ataongoza ujumbe wa klabu katika tafrija ya utoaji tuzo wa mchezaji bora wa FIFA,...
By Masalu ErastoJanuary 9, 2017HATIMAYE mahasimu wa wawili katika soka la Tanzania, Simba na Yanga wataminyana kesho katika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya Kombe la...
By Masalu ErastoJanuary 9, 2017KIUNGO wa Manchester United na Hispania, Ander Herrera anatarajiwa kutembelea nchi mbili zilizopo kwenye Ukanda wa Afrika ya Mashariki ikiwemo Tanzania bila kuweka...
By Masalu ErastoJanuary 7, 2017KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu England na Timu ya Taifa ya Algeria, Lihard Mahrez amefanikiwa kutwaa tuzo ya...
By Masalu ErastoJanuary 6, 2017