Saturday , 13 April 2024
Home Kitengo Michezo Sergio Aguero atajwa kuwania Ballon d’Or
Michezo

Sergio Aguero atajwa kuwania Ballon d’Or

Sergio Aguero, Mshambuliaji wa Manchester City
Spread the love

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Argentina na klabu ya Machester City, Sergio Aguero ameungana wachezaji mahiri duniani waliotajwa kuwania tuzo ya FIFA ya Ballon d’Or. Anaripoti Gerva Lyenda … (endelea).

Aguero anaungana na Gareth Bale (Real Madrid), kipa wa Liverpool, Alisson, mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema na Edinson Cavani (PSG).

Waandaaji wa tuzo hiyo mwaka huu, wamesema watakuwa wakiwatangaza wachezaji watakaowania tuzo hiyo kwa mafungu mpaka wafike wachezaji 30.

Tuzo hiyo iliyoanza kutolewa mwaka 1956, hutolewa kwa mchezaji wa mpira wa kiume bora zaidi kila mwaka.

Sherehe ya kumtangaza mshindi itafanyika tarehe 3, Desemba jijini Paris, Ufaransa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Usiku wa Ulaya kinawak tena leo

Spread the love  LIGI ya mabingwa barani ulaya itaendelea tena leo ambapo...

Michezo

Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya ni Usiku wa Kisasi

Spread the love  LEO utarejea ule usiku pendwa kabisa kwa mashabiki wa...

BurudikaMichezo

Kizz Daniel aunguruma na EP mpya ‘Thankz alot’

Spread the loveMKALI wa muziki nchini Nigeria, Kizz Daniel ametoa EP yake...

MichezoTangulizi

Samia aipa tano Yanga

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga licha ya...

error: Content is protected !!