JESHI la Polisi nchini Nigeria, limethibitisha kumkamata mchezaji filamu maarufu nchini humo, Chiwetalu Agu kwa kuvaa vazi lenye bendera ya kikundi cha jamii...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2021HAFTHOR Julius Bjornsson ndiye mwanaume mwenye nguvu zaidi duniani ambaye pia ni mcheza filamu nchini Marekani. Ni raia wa Iceland, alipata umaarufu...
By Masalu ErastoOctober 8, 2021MWANDISHI wa habari na mfanyabiashara maarufu nchini Malawi, Russell Chimbayo amefariki dunia siku mbili baada ya kufunga ndao na mchumba wake, Jacqueline...
By Masalu ErastoOctober 7, 2021WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameapishwa kutumikia muhula wa pili katika nafasi hiyo huku taifa lake likikumbwa na mzozo wa kidiplomasia...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021BAADA ya Panama Papers mwaka 2016, Paradise Papers mwaka 2017, Mauritius Leaks mwaka 2019 na Luanda Leaks mwaka 2020, hatimaye Jumuiya ya...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021UKISTAAJABU ya Mussa uyataona ya Firauni. Ndivyo unavyoweza kuelezea kile alichokifanya Khoirul Anam, raia wa Indonesia aliyeamua kufunga ‘ndoa’ na ‘rice cooker.’...
By Masalu ErastoOctober 2, 2021MWENDESHA mashitaka nchini Ujerumani, ameanza uchunguzi dhidi ya raia mmoja wa Uturuki, anayetuhumiwa kwa ujasusi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ofisi ya...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2021KIONGOZI wa kijeshi nchini Guinea, Kanali Mamady Doumbouya anatarajiwa kuapishwa leo tarehe 1 Oktoba 2021kama rais wa mpito. Anaripoti Patricia Kighono, TUDARCo...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021RAIS wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama kuu ya Paris nchini huko baada ya...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021HALI ya majonzi imetanda katika Chuo kikuu cha Laikipia nchini Kenya baada ya mwanafunzi mmoja wa kike kuuawa kinyama kwa kuchomwa kisu...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021WAPALESTINA wawili wauawa na vikosi vya Israel kwenye matukio tofauti huko Palestina. Anaripoti Glory Massamu TUDARCo kwa msaada wa mitandao ya kimataifa...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021KANSELA wa Ujerumani, Angela Merkel amempongeza mgombea wa ukansela aliyekuwa mpinzani wake kupitia chama cha Social Democratic SPD Olaf Scholz. Anaripoti Helena...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021MAOFISA wanne wa jeshi la Rwanda wameuawa nchini Msumbiji, katika operesheni ya kijeshi dhidi ya wanamgambo wa kiislamu, katika jimbo la Cabo...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2021AWET Tesfaiesus, mbunge wa kwanza wa chama cha Green akiwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika, kuchaguliwa kuwa mbunge katika Bunge...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2021RAIS wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un maarufu kama ‘Kiduku’ kutokana na staili yake ya nywele, amesimamia urushwaji wa kombora la masafa mafupi...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021WAJERUMANI wameamua. Ndivyo unavyoweza kutafsiri matokeo ya uchaguzi uliofanyika tarehe 26 Septemba mwaka huu nchini humo, baada ya kuupiga chini muungano wa...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021MWANDISHI wa habari kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Sosthène Kambidi amekamatwa na maofisa wa Jeshi la nchi hiyo na kuhojiwa kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021DEREK Chauvin (46), aliyekuwa askari polisi wa mji wa Minneapolis, Jimbo la Minnesota nchini Marekani, anayetumikia kifungo cha miaka 22 na nusu...
By Masalu ErastoSeptember 25, 2021RAIS wa Marekani, Joe Biden amedaiwa kumchefua Mwakilishi wake maalumu nchini Haiti, Balozi Daniel Foote baada ya kukataa mapendekezo yake kuhusu njia...
By Masalu ErastoSeptember 24, 2021BAADA ya miaka 30 kupita pasina uongozi wa juu wa Zambia kualikwa White House ya Marekani, hatimaye Rais mpya wa Taifa hilo,...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni imetangaza kulegeza masharti dhidi ya janga la maambukizi ya Uviko-19 ambapo nyumba za ibada zitafunguliwa huku idadi...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021POLISI wa jimbo la Lagos nchini Nigeria wamemtia mbaroni mwanaume mmoja kwa madai ya kuyaondoa matiti ya binti yake mwenye umri wa...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021UMOJA wa Mataifa (UN) umeunda Kamati maalumu ya siri yenye wajumbe tisa kujadili mkanganyiko uliojitokeza kuhusu viongozi wa Serikali Afghanistan wanaopaswa kuhudhuria...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021WAZIRI Mkuu wa Pakistani, Imran Khan ameuonya uongozi mpya ya Afghanistan kuunda haraka Serikali shirikishi ili kuzuia uwezekano wa kuibuka kwa vita...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021SHIRIKA la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linasema, mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), zilipuuza tahadhari za...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021ALEXANDER Litvinenko, jasusi wa zamani wa Urusi, aliuawa kwa sumu na majasusi yaliyotumwa na taifa hilo, Mahamaka ya Haki za Binadamu ya...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021MAPACHA wawili raia wa Japan, Umeno na Koume wenye miaka 107, wamevunja rekodi ya kuwa pacha wazee zaidi duniani. Anaripoti Noela Shila,...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021MAMLAKA ya usalama nchini Sudan imeripoti kuwa jaribio la mapinduzi lililofanywa leo asubuhi tarehe 21 Septemba 2021 na kundi la wanajeshi walioasi...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021TAKRIBAN watu wanane wameuawa na wengine sita kujeruhiwa vibaya na mtu mwenye bunduki aliyefyatua risasi katika Chuo kikuu Perm kilichopo katika mji...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021DAKTARI mmoja mkazi wa Nakuru nchini Kenya anadaiwa kuwaua wanawe wawili kisha kujaribu kujitoa uhai usiku wa Jumamosi tarehe 18 Septemba mwaka...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021ANAFUATA nyayo za Hayati Mwalimu Nyerere? Ndilo swali linaloibuka miongoni mwa Watanzania baada ya Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema kuelekea nchini Marekani...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021POLISI wilayani Mazabuka mkoa wa Kusini nchini Zambia wamemtia mbaroni mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) katika Hospitali Kuu ya Mazabuka...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2021RAIS wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika aliyefariki dunia siku ya juzi, anatarajiwa kuzikwa leo tarehe 19 Septemba 2021 katika makamburi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2021SERIKALI ya Marekani chini ya utawala wa Rais Joe Biden inaendelea na mpango wake wa kuwarudisha nyumbani wahamiaji kutoka Haiti. Anaripoti Glory...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021MKUU wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus anaweza kuwa mgombea pekee katika nafasi anayoshikilia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2021RAIS wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika amehitimisha safari ya maisha yake hapa duniani akiwa na miaka 84. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021BABA mmoja raia wa Marekani amedai alipwe dola milioni moja sawa na Sh bilioni 2.3 baada ya binti yake mwenye umri wa...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021NAIBU Rais wa Kenya, William Ruto amekubaliana na ombi la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini humo la kumpatanisha na Rais Uhuru Kenyatta....
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021SERIKALI ya Ufaransa imetangaza kuwaachisha kazi wahudumu wa afya 3,000 waliogoma kuchanjwa chanjo ya Corona licha ya nchi hiyo kupitisha sheria ya...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021WAENDESHA mashtaka nchini Uganda wamewaongezea mashtaka ya ugaidi wabunge wawili wa chama cha upinzani nchini humo – National Unity Party (NUP). Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021RAIS wa zamani wa Angola, José Eduardo dos Santos amerejea nchini humo kimya kimya ili isizue mtafaruku hasa ikizingatiwa bado ana nguvu...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021ARIEL Henry, waziri mkuu wa Haiti, amemfuta kazi mwendesha mashItaka mkuu wa taifa hilo, Bed-Ford Claude, kufuatia uamuzi wake wa kutaka kumfungulia...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2021RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi mapema wiki hiii amepokea dozi yake ya kwanza ya chanjo dhidi ya Covid-19....
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2021UTAWALA wa kijeshi ulioipindua serikali ya Guinea zaidi ya wiki moja iliyopita umeanza mikutano ya siku nne, kwa lengo la kuunda serikali...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2021MKUU wa misaada ya kimataifa, Martin Griffiths ameahidi kutoa dola bilioni 1.2 kuwasaidia mzozo unaoendelea nchini Pakistani. Anaripoti Helena Mkonyi TUDARCo …...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIA zaidi ya 20 wameuawa katika bonde la maajabu la Panjshir nchini Afghanistan katika mapigano baina ya Taliban na vikosi vya upinzani....
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021KIMBUNGA Nicholas kimetokea Texas nchini Marekani na kusababisha mvua kubwa, kuharibu miundobinu ya barabara na majengo. Anaripoti Glory Massamu, TUDARCo … (endelea)....
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021WAANDISHI wawili wa habari wawili nchini Afghanistan, wameumizwa vibaya kufuatia kushambuliwa na kundi la Taliban, baada ya kukamatwa wakipiga picha maandamano mjini...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2021RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameahidi kumpiga Joe Biden ambaye ni Rais wa sasa, kama itatokea likaandaliwa pambano litakalowakutanisha ulingoni...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2021JAJI Mustapha Siyani, kesho Ijumaa tarehe 10 Septemba 2021 ataanza kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha...
By Kelvin MwaipunguSeptember 9, 2021