Rais wa Gambia, Adama Barrow ameshinda tena uchaguzi mkuu wa nchi hiyo katika kura zilizopigwa kwa mara ya kwanza kwa miongo kadhaa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021KATI ya wanakwaya 24 ambao wameripotiwa kufariki dunia kutokana na ajali mbaya ya basi iliyotokea katika mto wa Enziu, eneo la Mwingi...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021DUNIANI kuna mambo ya kushangaza, ndivyo unaweza kutafisiri Uchaguzi Mkuu wa Gambia baada ya kushuhudiwa wananchi wa taifa hilo lililo magharibi mwa...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021Serikali ya Uganda na ubalozi wa China mjini Kampala wamekanusha ripoti kwamba China inaweza kuchukua udhibiti wa uwanja wa ndege wa kimataifa...
By Masalu ErastoDecember 2, 2021WAZIRI wa Ujenzi na Usafirishaji nchini Uganda, Jenerali Edward Wamala ameagiza kusimamishwa kazi wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Uganda baada ya video...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MATAIFA mbalimbali duniani ikiwemo Ufaransa yameanza kuzuia safari za ndege kutoka mataifa ya Kusini mwa bara la Afrika, baada ya aina mpya ya...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021BONDIA mstaafu raia wa Marekani, Mike Tyson ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2021MAGAIDI watatu walionaswa kichakani katika kijiji cha Kamuluyuni kilichoko kaunti ya Kitui nchini Kenya baada ya kutoroka gereza la Kamiti, walijaribu kuwahonga...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021MWANAMKE mmoja raia wa Kenya aliyefahamika kwa jina la Karambu Meme (40) anadaiwa kumshambulia na kumkata korodani mumewe Meme Kabati (56) kwa...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni aamesema waasi wa kundi Allied Democratic Forces (ADF) linastahili kujisalimisha na kusisitiza kuwa serikali yake imejitolea kukabiliana...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021TAASISI ya Usimamizi wa Dawa nchini Uingereza (NHS) pamoja na mashirika mengine ya msaada imeidhinisha matibabu ya sindano mpya yenye ufanisi wa...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2021SIKU chache baada ya wafungwa watatu wa ugaidi nchini Kenya kutoroka katika gereza lenye ulinzi mkali, askari saba waliokuwa wanalinda gereza hilo...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2021JUMLA ya watu sita wameripotiwa kupoteza maisha nchini Uganda na wengine 33 kujeruhiwa vibaya kutokana na milipuko ya bomu iliyotokea leo asubuhi...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021KATIKA milipuko miwili ya bomu iliyotokea leo asubuhi katikati mwa jiji la Kampala nchini Uganda, imedaiwa kusababisha majeruhi na vifo vya watu...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021JUMLA ya watu 400 raia wa Misri wamelazwa hospitalini baada ya kung’atwa na nge na kujeruhiwa katika sehemu mbalimbali za miili yao. Pia...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021Milipuko miwili imetokea katikati mwa jiji la Kampala nchini Uganda na kujeruhi watu kadhaa ambao idadi yao haijajulikana. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea)...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021MWANAHARAKATI na mmiliki wa chaneli ya Ishema TV katika mtandao wa Youtube, Dieudonné Niyonsenga amehukumiwa kwenda jela miaka saba na kulipa faini...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021NI takribani miaka 34 imepita tangu kuuawa kwa aliyekuwa Rais wa Burkina Faso, Thomas Sankara. Lakini kesi juu ya mauaji yake imeanza...
By Masalu ErastoNovember 11, 2021RAIS wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, Frederik Willem de Klerk amefariki dunia akiwa na umri...
By Masalu ErastoNovember 11, 2021RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemfuta kazi Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo, Jaime Augusto Neto bila kufafanua sababu halisi za kumchukua...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2021Watu 115 waliofariki katika mlipuko wa tenki la mafuta wiki iliyopita tarehe 5 Novemba, 2021 nchini Sierra Leone, wanazikwa kwa pamoja katika...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2021WAKATI nchi mbalimbali duniani zikiendelea kuagiza mamilioni ya chanjo dhidi ya Virusi vya Corona, sasa vimepatikana vidonge vyenye uwezo wa kutibu ugonjwa...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2021MAKUNDI tisa yanayoipinga serikali ya Ethiopia kikiwemo chama cha Tigray People’s Liberation Front yamekubali kuunda muungano dhidi ya utawala wa Waziri Mkuu,...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2021MASWALI yameibuka kuhusu usalama wa mchezo wa masumbwi nchini Zimbabwe baada ya Bondia mmoja chipukizi mwenye umri wa miaka 24 kupoteza maisha...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2021Kundi la Taliban limetangaza kupiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni nchini Afghanistan hatua ambayo inazidi kuongeza mdororo wa uchumi nchini humo...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2021NYOTA wa muziki wa rhumba na soukous ambao ni maarufu zaidi Barani Afrika, Koffi Olomidé amekumbwa na majanga mengine huko nchini Ufaransa...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2021SHULE tatu za msingi katika jimbo la New York nchini Marekani zimepiga marufuku mavazi ya ‘Halloween’ yanayofanana na yale yaliyovaliwa na washiriki...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni ametangaza kuwa nchi hiyo itakuwa tayari kuanza shughuli za kawaida ifikapo Januari 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Uganda...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2021WAKATI mvutano wa kisiasa ukizidi kupamba moto nchini Sudan, imeelezwa kuwa watu wenye silaha wamedaiwa kuwakamata baadhi ya maofisa wa serikali ya...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2021NI kama muvi hivi! Ndivyo unavyoweza kutafsiri mkasa uliowakumba polisi wa kituo cha Ruai katika Kaunti ya Nairobi nchini Kenya, baada ya...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2021VIONGOZI wa mapinduzi nchini Guinea wametangaza baraza lao la kwanza la mawaziri, linalojumuisha Jenerali wa zamani wa kijeshi na watu wengine watatu...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2021RAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, amesema Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaendesha nchi kwa kufuata misingi ya utawala bora. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2021MWANAMKE mmoja amefariki dunia huku mwanaume mmoja akijeruhiwa baada ya muigizaji Alec Baldwin kufyatua risasi kwa kutumia bunduki ya maigizo wakati wakiandaa...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2021MAMIA ya wanafunzi wamelivamia Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wakishinikiza walimu wao waongezewe mshahara. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 22, 2021MWANAFUNZI mmoja wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya wavulana ya Gathiruini, kaunti ya Kiambu nchini Kenya, amefariki dunia baada...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2021RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameamrishwa kuwateua majaji sita waliosalia kati ya wale 40 , katika kipindi cha siku 14 zijazo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021IKIWA imepita miezi mitatu na ushee kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Naibu wake, William Rutto kutoonana ana kwa ana, jana...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021NDOA tamu! Eeh… ndivyo ‘couple’ moja huko nchini India ilivyothibitisha kuwa kilichohalalishwa na Mungu mwanadamu hawezi kukipinga baada ya kuwasili salama kanisani...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2021BARAZA kuu la Serikali ya Misri limewateua kwa mara ya kwanza wanawake 98 kuwa majaji katika baraza hilo hilo ambalo ni moja...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2021NI MIUJIZA! Ndivyo unavyoweza kueleza tukio la Mwanamke mmoja aliyejifungua watoto saba kwa mpigo mjini Abbottabad huko nchini Pakistan. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2021ASKARI mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi nchini Kenya, ameburuzwa katika mahakama ya Kibera kwa tuhuma za kumrekodi mwanamke akiwa msalani katika...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2021WANAKIJIJI wanne wakongwe wameteketezwa kwa moto jana tarehe 17 Oktoba, 2021 baada ya kutuhumiwa kuwa ni wachawi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021WAKATI mataifa mengi duniani yakikwepa utawala wa kijeshi, kwa upande wa Sudan baadhi ya wananchi wameandamana kupinga Serikali ya mseto inayoundwa na...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021POLISI nchini Uingereza imesema, kisa cha mbunge David Amess kuuawa Ijumaa kwa kudungwa kisu, kilikuwa kitendo cha kigaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021MASTEN Wanjala mtuhumiwa aliyegonga vichwa vya habari nchini Kenya baada ya kukiri kuwaua zaidi ya watoto 13 na baadaye kutoroka katika kituo...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2021RAIS wa Marekani, Joe Biden amekutana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Ikulu ya White House huku Biden akiahidi kutoa dozi milioni...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2021RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani, Joe Biden wakati akimaliza ziara yake ya siku mbili...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2021SIKU chache baada ya uongozi wa kikundi cha wanamgambo wa Taliban walioshika madaraka nchini Afghanistan kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2021MGOGORO wa kuwania eneo la pembe tatu lililopo katika bahari ya Hindi kati ya mataifa ya Kenya na Somalia umezidi kutokota baada...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2021BAADA ya kuondoka shule ya sekondari ya wasichana wenye vipaji ya Kilakala, mkoani Morogoro miaka 30 iliyopita akiwa mhitimu wa kidato cha...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021