KIONGOZI mpya wa kijeshi wa Burkina Faso ameahidi kurejea kwa utaratibu wa kawaida wa kikatiba wakati hali itakapokuwa sawa. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni ameshutumu vikali mapinduzi yaliyotekelezwa nchini Burkina Faso dhidi ya serikali ya Rais wan chi hiyo, Roch Marc...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022MKUU wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus ana uhakika wa kuiongoza taasisi hiyo kwa muhula wa pili baada ya kupigiwa...
By Gabriel MushiJanuary 26, 2022Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anajiandaa kubaki au kutoka ofisini baada ya kukamilika kwa matokeo ya uchunguzi wa sherehe zilizofanyika katika makazi...
By Gabriel MushiJanuary 26, 2022Jeshi nchini Burkina Faso limetangaza kutwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Tangazo hilo la jeshi limetolewa kupitia...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022GAVANA wa Benki ya Uganda, Emmanuel Tumusiime-Mutebile amefariki dunia akiwa nchini Kenya alipokuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Nairobi. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022Rais wa Burkina Faso, Roch Marc Christian Kaboré amezuiliwa katika kambi ya jeshi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto amethibitisha rasmi kuwa chama kipya cha UDA kitaingia katika ushirikiano na chama cha Musalia Mudavadi –...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imeziagiza familia za wanadiplomasia na wafanyakazi wasio wa dharura kwenye ubalozi wa Marekani mjini Kiev kuondoka...
By Gabriel MushiJanuary 24, 2022MKUU wa jeshi la wanamaji nchini Ujerumani, Kay-Achim Schoenbach amejiuzulu, kufuatia matamshi yake yenye utata kuhusu mzozo wa Ukraine. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022CHAMA Cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimempitisha Maimuna Said Kassim kuwa mgombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
By Gabriel MushiJanuary 22, 2022WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anakabiliwa na kitisho katika utawala wake baada ya wabunge kadhaa wa chama chake kupanga kuwasilisha barua za...
By Gabriel MushiJanuary 19, 2022SIMBA na Puma katika bustani ya wanyama ‘zoo’ nchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wahudumu wao. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022Mwanawe Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amemwandikia Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ujumbe ulioibua mjadala mzito miongoni mwa mataifa hayo...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022RAIS wa Mali aliyeondolewa madarakani, Ibrahim Boubacar Keita amefariki akiwa na umri wa miaka 76, familia yake na rafiki zake wamesema. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022Mwenyekiti wa Chama cha ODM nchini Kenya, Elgeyo Marakwet Micah Kigen amemkosoa kiongozi wake na mgombea urais wa chama hicho Raila Odinga...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2022WAHENGA husema kipendacho roho hula nyama mbichi na miaka si chochote wala lolote mbele ya mapenzi, miaka ni namba tu. Hilo limejitokeza...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2022Musah Noah Kamara, mchezaji kandanda wa Sierra Leone, ameagwa kwa mapenzi na bashasha la kipekee kutoka kwa mkewe wakati akijiandaa kuelekea katika...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2022POLISI nchini Liberia wamemkamata na kumfungulia mashtaka mwanamume mmoja raia wa Sierra Leone mwenye umri wa miaka 29 kwa madai ya kujaribu...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2022RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura Nyusi wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona na sasa wamejitenga kwa muda. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2022WATU wenye silaha wamedaiwa kujaribu kumuua Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry wakati wa sherehe ya kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru wa nchi...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2022WAZIRI Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok, aliyewekwa madarakani na jeshi la nchi hiyo Novemba 2021, amejiuzulu kufuatia maandamano ya wananchi, wanaoshinikiza utawala...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2022SERIKALI ya Afrika Kusini ambako ndiko aina mpya ya kirusi cha Corona (Omicron) ilianzia, imesema huenda wimbi la sasa la maambukizi limeshapita kilele...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021Mazishi ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Afrika Kusini na mwanaharakati wa muda mrefu dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021Nguli wa muziki wa Rhumba kutoka Congo, Général Defao (63) amefariki dunia nchini Cameroon alikokwenda kutumbuiza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Defao...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021RAIS wa Somalia, anayemaliza muda wake, Mohamed Abdullahi Farmajo, amemsimamisha kazi Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble, ili kupisha uchunguzi...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2021MWILI wa aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu Afrika Kusini, Desmond Tutu, unatarajiwa kuzikwa Jumamosi, tarehe 1 Januari 2022, mjini Cape Town, nchini humo....
By Mwandishi WetuDecember 27, 2021ASKOFU mkuu mstaafu nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu amefariki dunia leo Jumapili, tarehe 26 Desemba 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tutu...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2021UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE), zimesitisha safari za ndege kwa abiria wanaotoka nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia na Nigeria, huku ikiongeza...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2021SHEREHE za kumpata mshindi wa kula mkate na kunywa soda jana tarehe 22 Disemba, 2021 ziliisha kwa simanzi, baada ya mwanafunzi mmoja...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2021WAKENYA ambao hawatokuwa na cheti cha kupokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona hawatoruhusiwa kupokea huduma za serikali ya Kenya ifikapo mwishoni...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2021MKE wa Rais wa Ufaransa, Brigitte Macron amesema anatarajia kuchukua hatua za kisheria kuhusu madai ya mitandao ya kijamii kwamba yeye alizaliwa...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo tarehe 22 Disemba, 2021 wamekutana na kujadili ajenda ya kuiruhusu Jamhuri ya...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021JESHI la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mmiliki wa shamba, Gelvas Bambo pamoja na wenzake watatu kwa kosa la kufanya vurugu na kuchoma...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021MCHANGO wake Naibu Rais wa Kenya, William Ruto wa Sh milioni 20.3 kwa kukindi akiba na mikopo kilichoundwa na wanawake wanaojihusisha na...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021RAIS wa Congo-Brazzaville, Denis Sassou-Nguesso (78), amewekwa karantini baada ya watu kadhaa wa karibu naye kuthibitishwa kuwa wana maambukizi ya virusi vya...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021OMBI la nchi ya Kidemokrasia ya Congo ( DRC), kujiunga katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), linatarajiwa kujadiliwa tarehe 22 Desemba 2021....
By Regina MkondeDecember 18, 2021TAASISI ya Usimamizi wa Dawa ya Ulaya – (EMA), imeidhinisha matumizi ya aina mbili za dawa za kutibu maradhi ya COVID-19, pamoja...
By Faki SosiDecember 17, 2021KANSELA mpya wa Ujerumani, Olaf Scholz amelihutubia kwa mara ya kwanza bunge leo Jumatano, tarehe 15 Desemba 2021 na kuelezea miongozo ya...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021Mahakama ya Afrika Kusini imeamua rais wa zamani wa Taifa hilo, Jacob Zuma anapaswa kurejea gerezani, kwa sababu msamaha wa kimatibabu aliopewa...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021KAMPUNI ya Kuhifadhi Mafuta Tanzania (TIPER), imesema upo wezekano wa kudhibiti kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli kila mara iwapo...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) limezindua kampeni yake kabambe inayoitwa “WESE NDIO MCHONGO” inayotoa fursa kwa wateja wake kote nchini kujaziwa mafuta...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mine (GGML) imeibuka kuwa moja ya makampuni kinara kwa ulipaji kodi Tanzania kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021MRITHI wa Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amepatikana leo mjini Berlin, kufuatia Bunge la nchi hiyo, kumuidhinisha Olaf Scholz kuwa Kansela mpya. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2021SERIKALI ya Tanzania, imewakumbusha wananchi kuzingatia matakwa ya Ibara ya 30 ya Katiba, inayoweka mipaka ya uhuru wa watu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Regina MkondeDecember 8, 2021Takriban wafungwa 38 wamefariki dunia na wengine 69 kujeruhiwa katika ajali ya moto ulioteketeza gereza kuu la mji mkuu wa Burundi – Gitega...
By Gabriel MushiDecember 7, 2021Polisi katika jimbo la Maharashtra – Magharibi mwa India wamemkamata kijana anayeshukiwa kumkata kichwa dadake mkubwa aliyekuwa mjamzito. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Gabriel MushiDecember 7, 2021Rais wa Gambia, Adama Barrow ameshinda tena uchaguzi mkuu wa nchi hiyo katika kura zilizopigwa kwa mara ya kwanza kwa miongo kadhaa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021KATI ya wanakwaya 24 ambao wameripotiwa kufariki dunia kutokana na ajali mbaya ya basi iliyotokea katika mto wa Enziu, eneo la Mwingi...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021DUNIANI kuna mambo ya kushangaza, ndivyo unaweza kutafisiri Uchaguzi Mkuu wa Gambia baada ya kushuhudiwa wananchi wa taifa hilo lililo magharibi mwa...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021