Rais wa Serikali ya Mpito Mali, Assimi Goita, amenusurika kifo baada ya watu wasiojulikana kujaribu kutaka kumchoma kisu tumboni. Inaripoti BBC …...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2021MUHAMMAD Bin Salman, Mwanamfalme wa Saudia, ameidhinisha kutolewa fedha milioni 3.74 za riyali, sawa na dola milioni 1 za kimarekani, ili zigawiwe...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2021GHASIA zilizoibuliwa na wafuasi wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, zimesababisha uharibifu wa mali zenye thamani ya Dola za...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2021ASKARI Polisi nchini Kenya, Koplo Caroline Kangogo, aliyekuwa akitafutwa kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili, amepatikana akiwa amefariki dunia kwa kujipiga...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2021USALAMA wa maisha ya wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), Afrika Kusini, uko rehani kufuatia ghasia...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2021REBECCA Akufo-Ado, mke wa Rais wa Ghana, Nana Akufo-Ado, amegoma kupokea mshahara wa Dola za Marekani 3,500 (Sh. 8.1 milioni) kila mwezi,...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021SERIKALI ya Afrika Kusini imelazimika kuingiza Jeshi mtaani, ili kutuliza ghasia zilizoanzishwa na wafuasi wa rais mstaafu wa nchi hiyo, Jacob Zuma...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021CHRISTIAN Emmanuel Sanon (63), anayedaiwa kusuka mikakati ya mauaji ya aliyekuwa Rais wa Haiti, Jovenel Moise (53), amedakwa na Jeshi la Polisi...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2021WATU 16 nchini India, wamefariki dunia kwa kupigwa na radi, wakati wakijipiga picha ‘Selfie’. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2021MARTINE, mjane wa Rais aliyeuawa wa Haiti, Jovenel Moise ameshutumu mauaji ya mumewe kwa kusema maadui walilenga kusitisha mabadiliko ya demokrasia. Inaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021MAHAKAMA Kuu nchini Afrika Kusini, imetupilia mbali maombi ya dhamana ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma, anayetumikia kifungo cha miezi...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2021JACOB Zuma (79), Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, ameanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021JOVENEL Moise (53), Rais wa Haiti ameuawa leo Jumatano, tarehe 7 Julai 2021, katika shambulio akiwa katika makazi yake. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemwalika Rais wa Marekani, Joseph Biden kutembelea nchini humo ili kuzidi kuimarisha uhusino uliopo kati ya...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021MWILI wa aliyekuwa Muasisi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN), Temitope Balogun Joshua ‘TB Joshua’ (57), unatarajiwa kuzikwa Jumapili...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021WAFUASI wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, wamezingira nyumba yake ili kuzuia kiongozi huyo asikamatwe. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021MAHAKAMA nchini Afrika Kusini, leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, imemhukumu kifungo cha miezi 15 gerezani aliyekuwa rais wa taifa hilo, Jacob...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021JUMLA ya watu 126 nchini Uganda wameripotiwa kufariki dunia ndani ya siku nne zilizopita kutokana na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuJune 25, 2021NCHI Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), zimekubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi katika Jimbo la Cabo Delgado, Msumbiji. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuJune 24, 2021KUANZIA Jumatatu, tarehe 28 Juni hadi 11 Julai 2021, Bunge la Uganda litasitisha shughuli yake kutokana na hofu ya kuenea kwa virusi...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021TARATIBU za mazishi ya Rais mstaafu wa kwanza wa Zambia, Dk. Kenneth David Kaunda zimeanza rasmi leo Jumatano, tarehe 23 Julai 2021...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021ABIY Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia anayetetea nafasi hiyo, ambapo wananchi wa taifa hilo, wanapiga kura kuchagua waziri mkuu mpya leo tarehe...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth...
By Regina MkondeJune 18, 2021MASHAMBULIZI ya anga baina ya Jeshi la Israel na Wanamgambo wa Kipalestina ‘Hamas’, yameibuka tena baada ya kusitishwa wiki tatu zilizopita.Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuJune 16, 2021WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau, ameng’olewa katika wadhifa huo alioushikilia kwa miaka 12, baada ya Bunge kupiga kura za kumuondoa madarakani....
By Mwandishi WetuJune 14, 2021DAMIEN Tarel, amehukumiwa kifungo cha miezi minne jela, kwa kosa la kumpiga kofi Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, hadharani. Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuJune 11, 2021SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF), limesema liko tayari kuipatia mkopo wa dharura wa Dola za Marekani 574 milioni (Sh. 1.3 trilioni), Serikali...
By Mwandishi WetuJune 10, 2021ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, ameunga mkono hatua ya Serikali ya Nigeria, kuufunga mtandao wa kijamii wa Twitter, nchini humo, huku...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ametangaza barabara lake jipya la mawaziri, lenye mawaziri 32, akiwemo mke wake, Janet Museveni, aliyemteuwa kuwa Waziri...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 10 Juni 2021, anatarajia kuzungumza na Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi, katika Ikulu ya...
By Masalu ErastoJune 9, 2021RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amejikuta katika wakati mgumu, baada ya kupigwa kofi la uso na mwananchi, katika ziara yake ya kikazi,...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ametangaza kufungwa kwa shule na taasisi za elimu ya juu na kusitisha mikusanyiko ya watu nchini humo...
By Mwandishi WetuJune 7, 2021NCHI ya Nigeria, imefungia mtandao wa kijamii wa Twitter kwa muda usiojulikana, ikijibu mapigo baada ya mtandao huo kufuta taarifa ya Rais...
By Mwandishi WetuJune 5, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), nchini Tanzania, Prof. Ibrahim Lipumba, ameishauri Serikali ya Tanzania, ifuate nyayo za Baba wa Taifa, Hayati...
By Mwandishi WetuMay 19, 2021KIONGOZI wa Kimila (Chifu) wa Zvimba, ametaka mwili wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Hayati Robert Mugabe (95), ufukuliwe kwa madai kwamba mazishi...
By Mwandishi WetuMay 13, 2021MAHAKAMA ya Kimataifa ya makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu (ICC), iliyopo mjini The Hague, nchini Uholanzi, imemuamuru...
By Mwandishi WetuMay 6, 2021RAHUL Gandhi, kiongozi wa chama cha upinzani cha Congress nchini India, amesema njia iliyobaki kuisaidia India kutokana na kuzama katika maambukizi ya...
By Mwandishi WetuMay 6, 2021MAHAKAMA ya Uhalifu wa Kivita (ICC), imemkuta na makosa 61 kati ya 70 aliyotuhumiwa Dominic Ongwen, aliyekuwa mpiganaji wa kundi la waasi...
By Mwandishi WetuMay 6, 2021RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema, ana matumaini kwa taifa lake na Tanzania kufika mbali kutokana na kuimarika ushirikiano. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuMay 4, 2021SAFARI ya miaka 27 katika maisha kati ya tajiri namba nne duniani – Bill Gets na mkewe Melinda, hatimaye imetamatika. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili salama nchini Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ndege ya Shirika la Ndege ya Tanzania...
By Mwandishi WetuMay 4, 2021SHEIKH Ali Amini, Imamu mashuhuri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), amepigwa risasi na kuuawa hapo hapo wakati akiswalisha swala...
By Mwandishi WetuMay 3, 2021SERIKALI ya Palestina, imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), iwachunguze maafisa wa Serikali ya Israel wanaotuhumiwa kufanya vitendo vya ukiukwaji...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2021KANISA la Bikira Maria la Orthodox, lililopo Ngecha, Kiambu Kaskazini mwa Mji Mkuu wa Kenya, Nairobi limelalamika kuibiwa kengele yake ya shaba...
By Mwandishi WetuApril 29, 2021IDADI kubwa ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona (COVID – 19), nchini India, imesababisha uhaba wa magogo ya kuchomea watu. Inaripoti...
By Mwandishi WetuApril 29, 2021SHIRIKA la Kimataifa la Kutetea Haki za Binaadamu (Amnesty International), limeshauri Serikali ya Tanzania kutumia kamati ya corona iliyoteuliwa na Rais Samia...
By Mwandishi WetuApril 27, 2021IDADI kubwa ya watu wanaoripotiwa kuambukizwa virusi vya corona (COVID-19) na kufariki dunia kwa siku nchini India, inatisha. Inaripoti mitandao ya kimataifa...
By Mwandishi WetuApril 26, 2021IDRIS Deby (68), Rais wa Chad ameuawa siku moja baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuApril 20, 2021KEN Kandodo, Waziri wa Kazi wa Malawi na maofisa wengine wanne wa serikali ya nchi hiyo, wametimuliwa kazi kwa kukwapua fedha zilizotengwa...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021JESHI la Israel limefanya mashambulizi ya kijeshi baada ya kudai, Palestina kushambuliwa nchi hiyo kwa maguruneti. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 17, 2021