KUELEKEA Uchaguzi wa Kenya unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022 imezuka mishangao kwa wananchi mara baada ya baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemtaka msemaji wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo (MONUSCO), Mathias Gilman...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022RAIS wa Marekani, Joe Biden, amesema kiongozi wa Al-qaeda, Aymam Al-zawahiri, ameuawa katika shambulio lililofanywa na Marekani nchini Afghanistan. Anaripoti Erick Mbawala...
By Masalu ErastoAugust 2, 2022UNYANYASAJI wa kingono sasa unaonekana kumuathiri mtu yeyote bila ubaguzi wakiwemo wagombea urais. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea) Tukio hilo la aina...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2022VINARA wa kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, Raila Odinga wa Azimio na Dk. Wiliam Ruto wa Kenya Kwanza kimezidi kushika kasi...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri ya wito kwa Halima Mdee na wenzake saba kufika mahakamani hapo Tarehe 26...
By Faki SosiJuly 29, 2022VIONGOZI kutoka nchi za Ufaransa, Marekani na Urusi wanazuru bara la Afrika, katika kile kinachoelezwa ni kuyashawishi mataifa ya Afrika kuunga misimamo yao...
By Gabriel MushiJuly 28, 2022WATU tisa wamefariki dunia huku wengine kadhaa wakijeruhiwa, katika mlipo wa bomu la kujitoa muhanga, uliotokea kwenye Mji wa Marka, nchini Somalia....
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022RAIS wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaore ameiomba radhi familia ya kiongozi shujaa wa mapinduzi wa taifa hilo, Thomas Sankara kutokana...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesisitiza kwamba nchi hiyo haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei ya...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022SERIKALI ya kijeshi nchini Myanmar, imewaua wanaharakati wanne wa demokrasia nchini humo, ambao ilikuwa ikiwatuhumu kusaidia katika kutekeleza kile walichokiita, “matendo ya...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2022MTU anayetuhumiwa kumuua Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa hali yake ya kiakili ili kutathmini afya yake...
By Gabriel MushiJuly 23, 2022MKURUGENZI wa shirika la ujasusi la Marekani (CIA )William Burns amesema kuwa, “makadirio ya hivi karibuni kutoka ujasusi wa marekani ni kwamba...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022WAGOMBEA wawili katika kinyang’anyiro cha uongozi wa chama cha Conservative leadership wamewasilisha mipango yao kwa wajumbe wa chama ambao watamchagua mrithi wa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022CHANZO cha vijana 21 waliopoteza maisha mwezi Juni huko nchini Afrika Kusini katika klabu moja ya usiku, imebainika kuwa ni sumu aina...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2022WAANDAMANAJI wamekusanyika katika kituo cha treni mjini Colombo nchini Sri Lanka kutaka kaimu Rais Ranil Wickremesinghe aondoke madarakani. Ranil aliteuliwa kuwa rais wa...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022ALIYEKUWA Waziri wa fedha wa Uingereza, Rishi Sunak ameimarisha nafasi yake ya kuweza kuchaguliwa kuwa waziri mkuu mpya wa Uingereza, baada ya kuongoza...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022HALI ya hewa nchini Uingereza inatarajiwa kuwa ya joto kali la kuvunja rekodi leo tarehe 19 Julai, 2022 na kufikia nyuzi 38 za...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amepokea kwa masikitiko kicho cha aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha African National Congress (ANC), Komred...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2022RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy jana tarehe 17 Julai, 2022 ametumia amri za kiutendaji kuwafuta kazi mkuu wa idara ya usalama ya...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2022WAANDAMANAJI takribani 300, ambao ni wanachama wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini, wametinga makao makuu ya chama hicho jijini Johannesburg...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2022MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya, imeamua kuwa Mike Sonko, aliyekuwa Gavana wa Nairobi, aliondolewa afisini kwa mujibu wa sharia, katiba na kanuni...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2022WAZIRI Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ameapishwa leo, kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. Anachukua nafasi ya Gotabaya Rajapaksa, aliyejiuzulu...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2022RAIS wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa leo ameondoka kutoka visiwa vya Maldives alikowasili jana baada ya kuikimbia nchi yake kufuatia shinikizo la maandamano...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2022Polisi Uganda imewakamata waandamanaji 12 waliokuwa wakipinga kupanda kwa gharama ya maisha katika eneo la Jinja, lililopo kusini-mashariki mwa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao...
By Gabriel MushiJuly 13, 2022WAZIRI Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ameteuliwa kuwa Rais wa muda baada ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Gotabaya Rajapaksa kukimbilia nchi...
By Gabriel MushiJuly 13, 2022WAOMBOLEZAJI wamepanga mistari kwenye barabara za mji mkuu wa Japan – Tokyo kumuaga aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo aliyeuawa Shinzo Abe. Inaripoti...
By Gabriel MushiJuly 12, 2022OMBWE la kisiasa nchini Sri-Lanka limeendelea kuivuruga nchi hiyo kwa siku ya pili mfululizo baada ya viongozi wa upinzani kushindwa kukubaliana nani atachukua...
By Gabriel MushiJuly 11, 2022MAHAKAMA moja nchini Uhispania, imeruhusu kufanyika kwa uchunguzi wa maiti ya aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, aliyeaga dunia akiwa mjini...
By Gabriel MushiJuly 11, 2022VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Sri Lanka vimekutana jana tarehe 10 Julai, 2022 kukubaliana kuhusu serikali mpya siku moja baada ya...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2022RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kwamba haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka mingine 20, na kuashiria kwamba atagombea muhula mwingine...
By Gabriel MushiJuly 10, 2022RAIS Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa leo tarehe 9 Julai, 2022 ameripotiwa kuhamishwa na kupelekwa mahali salama baada ya makundi ya watu kuvunja...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2022Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe amekubali kujiuzulu baada ya viongozi wa vyama vya siasa nchini humo kumtaka yeye na rais aliye...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2022RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kwamba alikuwa tayari kuachia madaraka baada ya mahakama kuu kufutilia mbali ushindi wake katika uchaguzi mkuu...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2022RAIS wa zamani wa Angola, Jose dos Santos, amefariki dunia leo Ijumaa, tarehe 8 Julai 2022, katika hospitali moja jijini Barcelona, nchini Uhispania,...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2022UINGEREZA leo tarehe 7 Julai, imeandika historia nyingine baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Boris Johnson ambaye pia ni kiongozi wa chama...
By Gabriel MushiJuly 7, 2022“Ninasikitika kuacha kazi nzuri zaidi duniani lakini ndiyo hali halisi”, hayo ni maneno ya Waziri Mkuu wa Uingerea, Boris Johnson ambaye leo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022MAOFISA wa magereza nchini Nigeria wamesema watu wenye silaha walishambulia jela moja katika mji mkuu juzi usiku tarehe 5 Julai, 2022 na...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WAZIIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anatarajiwa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha Conservative baadaye leo, lakini ataendelea kuhudumu kama waziri...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson ameendelea kusisitiza kuwa hatojiuzulu licha ya kuendelea kushinikizwa kufanya hivyo kutokana na kashfa mbalimbali zinazoiandama serikal...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zimekubaliana kuanza mchakato wa kumaliza tofauati zao, baada ya mkutano wa marais wa nchi hizo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022WATU takribani 10,000 wameripotiwa kufariki dunia nchini Ukraine, tangu ilipovamiwa kijeshi na Urusi mwishoni wa Februari, 2022, ambapo Umoja wa Mataifa (UN)...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2022SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema mlipuko wa hivi punde wa Ebola umedhibitiwa ndani ya miezi mitatu kutokana na “mwitikio wa haraka”...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2022ALIYEKUWA mgombea urais nchini Uganda, Dk. Kizza Besigye na mshtakiwa mwenzake Samuel Lubega Mukaaku wamepewa dhamana ya pesa taslimu ya Sh2.5 milioni...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022MGOMBEA urais katika Uchaguzi mkuu wa Kenya na wakili msomi Profesa George Wajackoyah ameendelea kujinadi kwa ahadi zenye utata kwa Wakenya baada...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2022TUME huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC), sasa ipo katika njia panda, kufuatia wagombeaji wawili wakuu wa urais katika uchaguzi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022BALOZI mpya wa Urusi nchini Tanzania, Andrei Avetisyan, amesema nchi yake imejipanga kuja na mikakati ya kuimarisha uhusiano na ushawishi wake katika...
By Regina MkondeJune 28, 2022MWANAMFALME wa Wales na Duchess wa Cornwall, wamewasili nchini Rwanda katika mji mkuu wa Kigali siku ya Jumanne usiku , kabla ya...
By Masalu ErastoJune 22, 2022RAIS wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua makamu wake Saulos Chilima mamlama yote aliyokabidhiwa, baada ya kutajwa katika kashfa ya ufisadi iliyohusisha kandarasi...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MAMLAKA ya Mapato nchini Kenya (KRA), imesema kuwa itaanza kutumia kamera zitakazovaliwa na wafanyakazi wake ili kushughulikia tatizo la wizi wa ushuru...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022